sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Ukimwangalia Mbowe machoni utadanganyika sana

    Mbowe ni mwanasiasa ambaye anatizama kushoto anachukua kulia. Usije ukawa unacheza naye draft kisha unamwangalia machoni ili uone atasogeza kete gani. Atakudanganya. Anaangalie kushoto anasukuma kulia. Ni aina ya wachezaji ambao huwa tunasema wanatema kushoto wanafukia kulia. Usimwangalie...
  2. S

    GE2025 All in all, kwa CHADEMA kugoma kushiriki huu uchaguzi, kunawatesa na kuwafedhehesha sana CCM

    Ukweli mchungu ni kuwa, hawa watu wameshafanya makosa mengi sana yakiwemo ya jinai kama vile tuhuma za wizi na ufisadi, mauji,kuteka na kupoteza watui na nyingine nyingi. Hivyo, si rahisi kwa wao kuaachia madaraka kwa hofu ya kushughulikiwa na kwahiyo wanalazimika kuhakikisha wanabaki madarakani...
  3. M

    Umri unavyoenda marafiki hupungua sana, Wanaobaki ni ndugu na familia, ushuhuda ni wajomba zangu waliokuwa hawapatani ila ukubwani wamekuwa karibu

    Miaka ya utotoni na ujanani imejaa options kibao za marafiki lakini ukubwani marafiki wanazidi kupungua au kupotea kabisa. option ambayo huwa inabaki kwa wengi ni ndugu na familia zao. wajomba zangu walikuwa na kabeef flani ka muda mrefu sana tangu wakiwa wadogo hadi ujanani lakini ukubwani...
  4. Unaagiza bia ya baridi sana alafu unakanayo nuusu saa haijaisha si bora ungeagiza ya moto

    niko maeneo ya makirikiri kibaha kwa Mathias Sehemu ya kubadili finra na mawazo Kaja kijanannanwenzie wanaagiza kwa masharti tupe za baridii sana Mpaka sasa nusu saa wanazo hizo bia si bora wa wangeagiza za moto tu Kama na wewe una tabia ya kukaa na bia moja bar agiza ya moto N matumizi...
  5. Nimeona gorikipa Goalkeeper Yakoub Suleiman akienda simba imenipa mwaswali magumu sana

    Sijui niseme tatizo ni uongozi unaosimamia huyu kijana, Au niseme ni tamaa ya fedha, Au sijui dogo kapenda kwenda kwenye timu kubwa, Sijui timu yenyewe ya JKT ndio hawajielewi. Kiufupi huyu kijana kafanya makosa makubwa sana, Tena haya makosa yamejirudia ndani ya mwaka huu rejea mkasa...
  6. Twendeni Msikitini, maombi yetu ni muhimu sana kwa Taifa

    Asalaam aleykum waungwana wote, Najiandaa kwenda masjid, tangu nimeamka nimefungulia surat al Kahf, nyumba nzima nimefukiza udi, nguo zangu nimezifukiza udi pia, nikimaliza kuandika na kupost naenda kuoga, najisugua vizuri kila kona ya mwili nikitoka hapo najifukiza udi mwili mzima, nachana...
  7. Wanawake wenye hela ni mwiba mkubwa sana kwa maisha ya wanaume

    1: Utawakuta wengi wao wanapenda shughuli shughuli na katika shughuli zao lazima wawashirikishe mchicha mwiba kutia shamsham na kuwapa sapoti mapapai ili na wao wajione watu wa maana 2: Utawakuta watoto wao wa kiume ni mayai mayai na mapapai ya baadae hakuna wanachoelewa kuhusu uanaume kutokana...
  8. Imam anayepingwa na kutukanwa sana hapa Tanzania

    Ni imam mkuu wa dhehebu la Shia hapa Tanzania. Anaitwa Hemed Jalala. Anakubali kashfa zote ambazo masuni wanawatuhumu mashia. Lakini naye akifungulia vitabu vya masuni, wanajawa uchungu maana kwa mujibu wake ni kwamba masuni wana majanga mengi zaidi kuliko mashia. Video yake juu uchambuzi wa...
  9. Huu ndio wakati wao, nitapiga sana block

    Siendekezi upumbavu.
  10. P

    Kawe Tayari pamepenza sana

    TUKAWASHANGAZE, HAIJAPATA KUTOKEA#Haijapatakutokea #Tukawashangaze🇹🇿🇹🇿🙏🇹🇿🇹🇿 Leo viwanja vya kawe vimependanza kwa kijani 2.TUKAWASHANGAZE, HAIJAPATA KUTOKEA#Haijapatakutokea #Tukawashangaze🇹🇿🇹🇿🙏🇹🇿🇹🇿 Leo viwanja vya kawe vimependanza kwa kijani 2.TUKAWASHANGAZE, HAIJAPATA KUTOKEA#Haijapatakutokea...
  11. M

    Ustaarabu kwa watanzania au waafrika kiujumla bado mdogo sana, Please Ukiazima gari au pikipiki rudisha ukiwa umefidia mafuta uliyochoma

    Ukiazima gari, hakikisha unarudisha na mafuta yale yale uliyokuta au hata zaidi. Si uungwana kurudisha chombo kikiwa na mafuta yaliyopungua.
  12. Nadhani Baba levo ni njia tu ya Zitto Kabwe kuingia bungeni , Safari ya Ukombozi bado ni ndefu sana .

    CCM ni chama chenye mizizi na matawi makubwa sana , nadhani kuna wana CCM wengi wako nje ya CCM kimkakati na tutawaona ndani ya Bunge lijalo . Saa ya ukombozi imekaribia ila ukweli ni kwamba safari bado ni ngumu sana . Tuendelee kuomba Mungu aingilie kati . #free TL
  13. Kwa 100% bingwa wa EPL ni Arsenal NBC wana Lunyasi bado, MO ana Drama sana kasajili nini? Anavuna asipopanda na ngojera ya 87B

    Habari Wana Sports, Kiukweli mwaka huu Arsenal imefanya sajili Bora sana ingizo la striker Victor ndani ya Chama letu inatupa confidence ya kusepa na makombe mwaka huu. Imagine Victor yupo pale mbele left Kuna TEMINADO SAKA right MADUEKE. Declan Rice anakichafua Dimba la chini na juu pale...
  14. Haya maisha! Kuna watu tunadhani wako bize na maisha, kumbe walishafariki kitambo. Mungu atulinde

    Jana kuna jamaa yangu mmoja tulisoma naye o level nilikutana naye ghafla maeneo ya SOWETO MBEYA tukawa yunajaribu kukumbushana mambo ya shuleni Maana ni muda hatujaonana tangu tumalize shule katika kukumbushana ndo tukawa tunajaribu kuwakumbuka baadhi ya wanafunzi Ile nimemta jamaa mmoja kwamba...
  15. Hizi simu zinashida gani mbona bei kitonga sana

    Naomba mnisanue kabla sijayakanyaga
  16. Anayoyafanya mtoto wa Samia Suluhu yanafikirisha na kuumiza sana

    Kuna post ya mtu mmoja hapa JF jina namhifadhi anawataka Watanzania waache kumsema vibaya mtoto wa Samia kutumia kodi zetu anavyotaka kwa kigenzo anakula juhudi za mama yake. Huyu mtu alienda mbali akawalaumu wazazi wetu kwa kusema walikuwa wapuuzi kisa hawakupambana kuwa kama Samia. Namuuliza...
  17. Leo nimewaza sana ni kama inachekesha ila inachekesha kwa kweli

    Nimekumbuka tu kibiti na Tanga alafu nikapata kuwaza mfano Nairob baada ya kujifunza kuwa na vitengo mbali mbali ambavyo kama kutakuwa na tukio mfano ugaidi,mabomu hatari,cyber attack,upelelezi wa kuchunguza uchumi,usalama na n.k Sasa huku kwetu yani aliyesema tuhamie burundi anakwenda na boda...
  18. K

    Ninaomba sana nielemishwe juu ya neno political legitimacy

    Nimekuwa nikisikia neno hili la Political Legitimacy. Naomba nijue maana yake na athari zake kama ipo. Nawasilisha.
  19. Ajabu sana kwamba Kumzuia MPINA kurejesha Fomu , ni Hadi mitutu ya Bunduki ??

    Hawa watu Maisha yako YAMEKAA Kuua ua na Kuteka teka !!.
  20. Tafiti isiyo rasmi inaonesha kwamba wanawake wenye nyusi nyingi juu ya jicho wanapenda kufanya mapenzi sana (high sex drive a.k.a libido)

    Copy code; Photo by: AI
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…