sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Kupotea kwa TMK ya Juma Nature na Chege ni Pigo kwa Muziki Industry, walinogesha sana matamasha, waliopo wanajichetua sana

    Wana JF, Kama ulikuwa hujui, kundi pekee la kibongo lilioanzoshwa chini ya Juma Nature na Chege Chigunda ndilo kundi pekee lililokuwa linashambulia jukwaa, kiasi kwamba kwenye kiti linahakikisha Hawaii mtu. Hata hivyo nashindwa kuelewa walifeli wapi? Mfano tuliambiwa Juma Nature alipata pesa...
  2. K

    Masanja Mkandamizaji: Watu ooh! Mama anasafiri sana. Ulitaka asafiri babaako?

    Kauli hii ya kifedhuli ameitoa Masanja Mkandamizaji alipopewa nafasi ya kuburudisha leo hii mbele ya mamilioni ya Watanzania na wana-Afirika Mashariki kwa ujumla, waliokuwa wanafuatilia sherehe za Uhuru wa Tanganyika kupitia runinga. Kauli hii inawabeza Watanzania wenye moyo wa kuipenda nchi...
  3. Huyu mmasai wa TikTok kutoka Tanzania anaipaisha sana Tanzania huko india, atambulike angalau..

    Habari zenu... Nimejikuta nimedondokea ktk instagram trends na kukuta kuna huyu mmasai wa tanzania anaitwa Kili Paul na mdogo wake wa kike Neema... Wamekua maarufu sana ktk mitandao ya kijamii haswa tiktok, indtagram na youtube... wanafanya interview na media za india online. Na kila muhindi...
  4. GSM atakuwa na hela nyingi sana za kufanyia mzaha

    Yes anafanya jambo jema kwa mpira wa miguu, ila kinachoonekana sasaa katika board yao of directors aidha kuna utoto mwingi au kuna ujinga mwingi.
  5. Visent Kigosi (Ray) Nyota yake ilikuwa inazunguka kwa Mgongo wa Kanumba. Kifo cha Kanumba kimeleta shida sana kwake

    Wana JF Ukisikia nyota kung'aa huwa ina msukumo wa dodoki, hii imetokea mwigizaji nguli Ray ambaye akiweka sana miaka 8 iliyopita kwa mgongo wa Kanumba, ambaye alitokea kupanda sana kutokana na juhudi zake za kukonga roho za watu kutokana na umahili wa kuigiza nyanja zote. Msindani wake...
  6. Rais Samia: Nitaendelea kuzunguka kuwaambia wawekezaji waje Tanzania

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, "Kama nimekubali kubeba mzigo wa kuongoza hii Nchi, kuna mambo kadhaa yaliyoelekezwa ndani ya Ilani niyatimize. Sitayatimiza kwa kukaa Ofisini Dodoma au hapo Magogoni, lazima nizunguke nitoke nikaonane na watu" Ameeleza hayo leo katika Uzinduzi wa...
  7. Ajinyonga kwa kutotajwa na Padri kwenye misa ya Shukrani

    Mwanaume mmoja kutoka wilayani Ludewa amekatisha uhai wake kwa kujinyonga sababu ikiwa ni kutotajwa na padri katika misa ya Shukrani. Bwana huyo na mke wake walikuwa wakitoa Shukrani katika Kanisa la Moravian kwa mtoto wao kupona lakini kwa sababu zisizofahamika Padri aliyeongoza misa hio...
  8. Kwanini wanawake wa kiarabu (machotara) wa Tabora, Shinyanga hawachangamani na jamii?

    Kuna muda huwa nashindwa hata kuelewa kama hawa ni wenzetu. Sizungumzii waarabu original wale wa Oman, Dubai, n.k ni hawa waarabu wa hapa hapa bongo wengi wakiwa machotara waliochanganyikana kabisa na wabantu, wengi wapo Sikonge, Igunga, Ngega, Tinde, Itobo, n.k Yani wao ni ndani tu mda wote...
  9. Nawashangaa sana watu wanaoniona mimi ni mtu mwenye akili. Sijui wameona nini kwangu?

    Ipo hivi, kuna ofisi moja kubwa sana hapa mujini nilianza kufanya nayo kazi takribani miaka minne hivi iliyopita mpaka sasa. Wakati huo nikiwa bwana mdogo, ila sasa sijui ilikuwa kuwaje hawa wafanyakazi wenzangu kadri mda ulivozidi kwenda, walikuwa wananichukulia wa tofauti sana, mchapa kazi na...
  10. Hizi timu ndogo huwa zinanikosha sana siku zikicheza

    Hivi wakuu ni kawaida kurudia kuangalia goli moja siku nzima?😁😁😁 Hili goli haliniishi hamu.Yaani narudia kuliangalia hadi simu inaisha chaji kisha nachaji tena simu narudia kuangalia tena hadi chaji inaisha tena😂😂 Haya mambo ni kawaida au nimewehuka wakuu?😁
  11. Wacheza mieleka ni waigizaji wazuri sana

    Mwaka huu nimemuona John Cena kwenye movie mbili. Suicide Squad na vacation friend. Amejitahidi sana bado japo kufikia level za kina The Rock. Nadhani mchezo wa mieleka unawandaa vema sana hawa jamaa kuea waigizaji. Ni kama training hivi. Maana mtu kama The Rock ni muigizaji mwenye uwezo...
  12. Hao watu inaonekana ni watu wenye nguvu sana

    Hicho kikundi cha watu wa ovyo anachokisema mheshimiwa Rais wetu, kinaonekana ni kama kina watu wenye nguvu kubwa sana Sasa sijui ni kina nani hao wenye nguvu kubwa kiasi hicho? Ni matumaini yangu, kwa nguvu kubwa za kikatiba alizonazo mheshimiwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania...
  13. Tukiendelea kuwatumia wana CCM kwenye miradi watatukwamisha sana

    Mimi naona tungeendelea kuwatumia ma professors wa vyuo vikuu hawana tamaa na pesa kabisa wanaridhika wangefanya kazi vizuri sana, WanaCCM wenzetu wangeendelea kukaa tu bungeni huko hawawezi kutuibia. Lakini kuendelea kuwatumia wana CCM wenzetu kutatukwamisha sana sana. Yaani mimi nafikiria...
  14. Upuuzi huu utaukuta sana tu kwa Wazazi wa Kiafrika

    Baba mmoja nchini Kenya amemshtaki mahakamani mwanae wa kiume akitaka asilimia 20 ya mshahara wa mtoto huyo ili kukidhi mahitaji yake ya kila mwezi na kudai kuwa aliuza mali zake nyingi ili kumsomesha lakini mtoto huyo hampi msaada. Chanzo: ITV Tanzania Hivi Wazazi wa Kiafrika mnapotaka Watoto...
  15. Mwanaume wewe ni mtu muhimu na wa thamani sana

    Nawatakia ijumaa njema kwenu wanaume wote wabeba majukumu ya uanaume, watufataji, wenye upendo na huruma. Mjue tuu nyie ni wa thamani sana Mwenyezi Mungu awape maisha marefu na yenye amani na furaha tele. Amani yenu ndio furaha yetu
  16. M

    Refa Martin Saanya adaiwa kuwabeba Simba kwenye mechi dhidi ya Geita Gold

    Soma mwenyewe
  17. Unajua sababu gani Zanzibar ufaulu Sekondari uko chini sana?

    Tulimsikia Rais Samia akitoa mfano wa Zanzibar wa kuruhusu wasichana wanaopata mimba kurudi kuendelea na elimu ya sekondari kwenye shule za umma. Lakini ambacho hakutaka kusema ni ufaulu hafifu wa muda mrefu wa Zanzibar kwenye mitihani ya kufuzu elimu ya sekondari. Ilifikia hatua hadi kudai...
  18. Wasiokujua kwa utamu wako ni wachache sana

    Hii ni mboga flani tamu sana hasa ikikutana na mpishi anaejua kuipika kwa kuchanganya viungo flan.. JE KWA KABILA Lenu MNAIITAJE HII MBOGA? naanza: lisebho (wangoreme na wakurya)
  19. Ewura: Bei ya gesi ya kupikia imepanda kwa kati ya Tsh 2000 hadi 5000 kutokana na kupanda kwenye soko la dunia

    Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupanda kwa bei ya Gesi ya kupikia kwa kati ya Tsh. 2,000 hadi Tsh. 5,000 kulingana na ujazo wa Mtungi Mabadiliko ya bei hizo ni kutokana na kupanda kwa bei ya Gesi katika Soko la Dunia. EWURA imesema kampuni za Gesi ndizo zitaamua lini...
  20. M

    Popote mlipo Viongozi wa Simba SC haraka sana epukeni 'Hujuma' hii Kubwa iliyopangwa na Yanga SC

    Kocha wa Geita Gold FC ambaye pia ni mwana Yanga SC lia lia (kindakindaki) Fred Felex Kataraiya 'Majeshi' Minziro amepewa Maagizo maalum ya kuhakikisha Wachezaji wake ama wanawaumiza vibaya au wanawatafutia Kadi Nyekundu Wachezaji Bernard Morrison, Jonas Mkude, Meddie Kagere, Larry Bwalya na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…