sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Hitimisho langu: Ujinga ni tatizo kubwa sana kwa Watanzania

    Amani iwe nanyi! Kama kichwa cha mada kinavyosema, kwa muda mrefu sasa nimegundua kwa nini mwalimu nyerere alitamka kuwa moja wa maadui wakubwa wa Tanzania ni ujinga! Nasikitika kusema pia, kuwa hatujaweza kumuondoa huyu adui ujinga! Mwana jf samurai katika uzi unaoelezea Mhe Rais kufanya...
  2. Nashauri Royal Tour izinduliwe Nchi nzima. Kumbe ina faida kubwa kwetu Watanzania kiasi hiki? Sikuwa najua

    Ule uzinduzi wa Marekani ulikuwa na faida sana kwa wale ambao tulipata nafasi ya kwenda kuhudhuria kule na kuhamasisha. Ingawa tulikaa siku chache sana lakini si haba. Wengi wameweza kufanya kitu nyumbani. Wengine wamepaua,wamenunua tugari,viwanja n.k mimi nimeangalia wanaopinga hii ni wivu tu...
  3. M

    Hongereni sana Clouds Media Group (CMG) kwa Kumrudisha Mburudishaji na Mchangamshaji katika Radio na Television Mbwiga Mbwiguke

    Nina uhakika Kitendo chenu cha Kuachana nae (Retrenching Him) pamoja na Watangazaji wenu Wengi wakiwemo Watangazaji Maarufu (Ninaowahifadhi) ambao wanafikia 27 mlitupoteza Wasikilizaji wenu. Ni Wiki ya Tatu sasa namsikiliza Mtangazaji Mburudishaji na Mchangamshaji Mbwiga Mbwiguke akiwa Clouds...
  4. M

    Jamani Ile Historia yetu nzuri sana bado ipo?

    Kwamba mtu wa kale zaidi kuishi hapa duniani alitoka Tanzania, katika mapango ya Olduvai Gorge!! Tuliisoma sana primary enzi hizo.
  5. I

    Watanzania tupo kwenye kipindi kigumu sana na kwa bahati mbaya kuna dalili za hali kuzidi kuwa mbaya

    Ishawahi kukukuta siku ambayo mpaka umefika mchana wa saa 9 hujaweka kitu tumboni, sio kwamba umefunga hapana bali huna hela ya kula? Ukaona kimbilio pekee ni kumtafuta mtu wako wa karibu akukopeshe angalau hela ya kula tu ili uondokane na zahma inayokukuta. Ukamtafuta wee kwenye simu bila...
  6. Wanaume wa Dar! Mitaa mitatu Mnatekwa na Panya Road?

    Mitaa mitatu yote kutekwa kwa wakati mmoja huko chanika,bila hata Panya mmoja kukamatwa au kujeruhiwa. Hili jambo nashindwa kulielewa kabisa! Nafikiria ingekuwa vipi kama hao Panya road wangejaribu huo ujinga huku mikoani. Sijui kama wangekuwa hai mpaka saa hii! Wanaume wa Dar es salaam...
  7. Tabia ya vijana wa Arusha kugeuka Omba Omba na kujiuza kwa Watalii inadhalilisha sana!!!

    Hili suala sijui litakuja kuisha lini, maana noana linaongezeka kila siku.
  8. Kaze anaihujumu Yanga, mtimueni haraka sana kwa mustakabali wa klabu

    Simaanishi kwamba anafanya fitna, la hasha ila uwezo wake mdogo kimbinu na ufundishaji ni zaidi ya hujuma. Nilianza kuwa na mashaka na uwezo wa Kaze kwenye mechi ya Yanga vs Gwambina msimu uliopita akiwa kocha mkuu pale alipo wapumzisha wachezaji muhimu eti...
  9. Tumezungukwa na majirani wanaotuangusha sana, yaani uchumi wa EAC yote ukijumuishwa haukaribii wa Nigeria

    Sijui shida nini haswa, ilhali raslimali nyingi tu za kumwaga....
  10. Askofu Dkt. Alex Malasusa alimpenda sana Rais Magufuli

    Malasusa: Magufuli alikuwa kiongozi, si mwanasiasa Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dkt. Alex Malasusa amesema kuwa uongozi wa Hayati Dkt. John Magufuli ulikuwa wa pekee kwani ulikuwa tofauti na viongozi wengi wa Afrika. Akihubiri...
  11. Wamiliki wa Mabasi na Daladala, kwani Mchawi wenu ni nani, mbona mnatutusi abiria?

    Jana jioni kupitia Radio one nimemsikia Muwakilishi au Kiongozi wa Wamiliki wa Usafirishaji Dar akiongea kwa jazba sana kulalamikia nauli kutokupanda kwa namna ambavyo wangetamani. Bwana huyu alienda mbali zaidi na kuwalaumu sana LATRA kuwa ndio wanaowaangamiza wao Wamiliki wa Vyombo vya...
  12. Mamlaka simamieni vizuri huduma za usafiri, kuna 'uhuni' mwingi sana kule

    Siku chache zilizopita nimetumia muda mwingi barabarani nikitumia usafiri wa Mabasi yanayofanya safari kati ya Dar Es Salaama na Arusha. Hakika kuna mengi nimeshuhudia yanayokera mpaka unajiuliza ziko wapi Mamlaka zinazotakiwa kusimamia na kutoa miongozo, ina mana hawaoni haya? Kati ya mambo...
  13. Tanzania bado ni nchi maskini sana

    To be honest Watz 90% Bado tunaishi Maisha ya kuunga unga Hiyo 10% ndo kidogo wanaishi Maisha Mazuri yenye Nafuu . Mafuta yamepanda kidogo lakin watu wameamua kupaki Magari ndani huku wengine wakiomba msaada was kuchangiwa Mafuta . Yaani nashangaa watu wanawatukana jobless lakin still na. Wao...
  14. Onyo kwa wanawake Dodoma: Ni kosa kubwa sana kubinuka wakati umepanda Pikipiki😂

    Ni onyo kali sana kutoka Jeshi la Polisi Tanzania mkoani Dodoma. Je kuna athari yoyote ya kiusalama kama mteja akikaa kwa style hio ya kujibinua? inahatarisha usalama wake?
  15. Vigezo vya kazi ya Sensa mbona vipo chini Sana?

    Yaani vigezo vya kuwa Karani eti Kidato cha nne? Seriously? Yaan na hili la ukosefu wa Ajira. Tarajieni mafuriko, gombania goli hata huo mfumo wa kupokea applications Lazima uzimike!
  16. TCRA, BASATA zafungia video ya wimbo wa Diamond Platnumz ft Zuchu - "Watasubiri Sana"

    Mamlaka ya wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), imeufungia video ya wimbo wa Diamond Platnumz na Zuchu unaoitwa "Watasubiri Sana' baada ya kupata taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuwa wimbo na video hiyo inaleta ukakasi kwa waumini wa dini na dhehebu fulani. Wimbo huo unafungiwa...
  17. Diamond alimuimbia Wema Sepetu nyimbo nyimbo tamu, chungu na chachu..

    Ujana, mapenzi na ustaa. Maneno hayo machache yanatosha kuelezea maisha ya Wema Sepetu na Diamond Platnumz. Kama hukufaidi drama za hawa wawili, bado hujalijua vizuri game la muziki wa kizazi kipya. Kwa ufupi sana, hii ndiyo couple namba mbili iliyokuwa na nguvu kuliko zote katika historia ya...
  18. Hizi nyimbo tumeziimba sana sisi Wanasimba msimu huu

    Tangu kuanza kwa msimu huu sisi mashambiki wa simba tulikua na matumaini makubwa sana na timu yetu, na hii ilitokana na ukweli kwamba takribani misimu minne tulikua na timu bora sana na hivyo tulifanikiwa kudominate soka la bongo na hata katika medali za kimataifa tulijaribu kupambana kidogo na...
  19. S

    Sex ipo overrated sana sio tamu kihivyo

    Ni fikra tu za kijinga za kukulemaza uache kufanya mambo yako ya msingi uwaze hayo tu sex sio tamu kiivyo na mademu wasituone tunafaidi sana wakatugeuza mitaji
  20. "Nakwenda yaani basi tu" kauli hii imeninyima raha sana

    Wakuu, Salam. Juzi nilitaka huyu mwanamke aende mahali kutekeleza wajibu fulani akasema haendi hajisikii kutoka. Nikaumia kidogo lkn nikamezea. Baadaye akaniuliza "mahali kwenyewe ulitaka niende kufanyaje" nikamuambia asiende Tena Kule ambako ni mbali Bali aende kwingine karibu kunisaidia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…