sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Ni kwamba sura ya Nyerere ni abstract sana au mwenyewe hataki?

    Habari wakuu Tangu nimeanza kuona picha za kuchora na za kuchonga za Hayati Mwenyeheri, Nyerere, haijawahi tokea siku wakamchora sahihi. Au wakamchonga sahihi. Kwamba hii nchi inashindwa kuipa heshima sura ya Baba wa Taifa? Naomba tu hili nimkabidhi Andrea Nyerere adili nalo kuhakikisha...
  2. Kazi ni rahisi sana Oktoba 29

    Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba. Siku hiyo kazi ni rahisi sana Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu. Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu...
  3. GE2025 Nyuzi mfululizo za kubeza, kutisha na kukatisha watu tamaa dhidi ya kutoka badala ya kutiki Oct 29 zinachefua na kukera sana

    Wiki ya pili sasa kuelekea October 29 kumeibuka mfululizo wa nyuzi nying za ajabu ajabu za watu wanaojiona ni wazee wa busara wakibeza, kutisha na kukatisha tamaa raia wanaopanga au kuhamasisha kutoka na kupaza sauti kwa maandamano dhidi ya mfumo dhalimu na kandamizi wa haki. Utitiri wa hizi...
  4. R

    GE2025 Amenikera sana POLEPOLE! Alijiaminisha na nini kuwa hapa nchini! Umesaliti mapambano! Sterling hafi, anadumu movie iendelee. Sasa Umekufa!

    Ni hilo tu! Shujaa mfu! Ilibidi uhakikishe hufi mpaka uone mwisho wa mapambano yako! SHUJAA MFU, HAIJATUSAIDIA
  5. Car Service Episode 3/10: Power Steering Fluid na Differential Fluid kuzibadirisha ni bei ndogo ila ni muhimu sana!

    Power Steering Fluid na Differential Fluid zipo kwenye kundi la fluids ambazo uwa zinapotezewa sana wakati wa kufanya service, ilihali gharama zake ni ndogo kuzidi ata faini moja ya trafiki. POWER STEERING FLUID Power steering fluid inasaidis pampu ya steering kufanya kazi vizuri, kwa kufanya...
  6. Tafadhali Sana tunaomba mwacheni Polepole hii Nchi yetu sote

    Tafadhali tena naomba wakuu mwacheni Polepole kama ana kosa tunaomba sheria ifuate mkondo wake. Tunaomba Polepole achiwe bila masharti yoyote. Tafadhali Sana tunakoenda siko mwacheni Polepole
  7. GE2025 Swali hili la Kiranga kwa Polepole lilipuuzwa: What is Polepole's strategy? Lilifanya Kiranga atukanwe sana

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Ukiachana na maumivu makali sana niliyo nayo lakin swali la kiranga bado linaniumiza kichwa na linanifunza mengi na linanifanya nisimuelewe kabisa polepole Nakuombea polepole MUNGU MWENYEZI akulinde sana Nakuombea Tanzania ukomboz wako...
  8. Watu wa Sengerema mnazingua sana mnawasha tochi mchana?

    Katika tukio la ovyo ni hili lakuambiwa washa tochi mchana halafu mnawasha kweli hii nature ya watu wa Sengerema manzingua sana mnawasha tochi mchana huu kweli au ni usiku huko Mwanza?. Oky Byee..!!!!!
  9. Polepole alikuwa anafanya vitu kijinga sana sijui alikuwa anaficha ficha nini kuongea kwa code

    Yaani alikuwa kila siku anaongea kwa kuficha ficha anaacha kumwaga Kila kitu hadharani sijui alikuwa anaficha ficha nini mwisho wa siku wamemnyakua kabla hata mengine hajaongea Kapata alichokuwa anakitafuta. Kama umeamua kumwaga mambo Yao wewe nyooka tu kama Kapteni Tesha sio unaongea kwa...
  10. Watanzania kuwapambania inahitaji moyo sana

    Issue ya Polepole imeonesha wazi kuwa kumpambania mbongo inahitaji moyo. Nilitegemea watu wawe barabarani wakishinikiza kuachiwa Polepole.
  11. Car4Sale MITSUBISHI RVR ya moto sana iko sokoni

    Bei/Price TSH 21.8M Call +255 747 999 927 MITSUBISHI RVR Year: 2010 Engine: 1,780Cc Mileage: 64,000+ Transmission: AUTO Fog Lights Sport Rims Android Radio Clean Interior In Good Condition Exchange Possible
  12. Kaka yake Humphrey Polepole athibitisha kutekwa kwa ndugu yake (Polepole) na mtu anayefahamika kama Mafwele

    Augustino Polepole, ambaye ni kaka yake Humphrey Polepole, amethibitisha kuwa ndugu yake ametekwa na kumtaja afisa wa polisi aitwaye Mafwele, ZCO wa Jeshi la Polisi Tanzania, kuwa anahusishwa na tukio hilo usiku wa kuamkia leo Oktoba 6, 2025. ‎Aidha, Agustino ameeleza kuwa mdogo wake ana kifaa...
  13. D

    Hata Capt. Traole awali alipingwa sana na wahuni wanaoitafuna nchi lakini Mungu almsaidia: Hivyo Msiwashangae hawa

    Mnamo mwaka 2022 jina la kapteni Traore liliibuka huko Nchini Bukina faso baada ya utawala goigoi wa rais DAMIBA Malalamiko ya wananchi kushambuliwa yalikuwa makubwa sana jambo lililoibua taharuki kubwa sana wakati huo! Vijiji na miji mbali mbali ilishambuliwa pasipo serikali ya Damiba...
  14. Nadhani huu ndo uchaguzi Mgumu sana kwa ccm kuwahi kutokea.

    Naona Ccm Kama watatoboa safari hii kurudi ikulu, basi sioni Kama ccm itatoka madarakani kirahisi tena.
  15. Nafarijika sana na Return of Chid Benz

    Mimi ni mpenzi wa Rap, ndio mziki unaosuuza moyo wangu sana kuliko miziki yeyote ya kidunia. Nilikuwa kila nikisikia habari za Chid Benz na Jose Mtambo nasikitika sana. Sababu hawa ndio watu nilioona wana vibaji halisi na sio kubebwa. Sasa Chid karudi, nimefarijika sana
  16. Kapteni mwamba kabisa, moja ya watangazaji bora nimewahi wasikia

    Pumzika kwa amani mwanangu, Kapteeeeeeeeeeeni G Habash https://www.jamiiforums.com/threads/gardner-g-habash-mtangazaji-wa-clouds-media-afariki-dunia.2205794/
  17. Car4Sale 2013 Land Rover Discovery For Sale ya moto sana

    Bei/Price TSH 95M Call +255 747 999 927 LAND ROVER DISCOVERY 04 Year: 2013 Engine: 2,990Cc Mileage: 56,000+ Fuel Used: DIESEL Transmission: AUTO Sport Rims Twin Sunroof Push To Start 100% Duty Paid Free Registration Swap Deals Allowed
  18. Hatimaye nimetukanwa sana jambo linatimia sasa

    Keep going JWTZ Britanicca
  19. M

    Ni shughuli pevu kuwakwepa Israel kwenye teknolojia. Tazama jinsi bendera ya Israel ilivyofichwa kwenye CHATGPT

    Hata wewe unaweza kuproove. 1. Tumia app ya kuedit picha kama Photoshop, unaweza tumia ya online photopea.com 2. Download logo ya chatgpt 3. weka logo 2 za Chat GPT ( Duplicate ) 4. Logo ya kulia ipindue juu kwenda chini (Flip Vertical) Muonekano mpya 5. unganisha...
  20. Hongera sana NMB Bank kwa kuthamini utu, hakika ninyi ni bank bora kila Mtanzania ni shuhuda wa maneno haya, mnasifika kwa kuepuka dhuluma

    Hongera sana NMB Bank kwa kuthamini utu, hakika ninyi ni bank bora kila Mtanzania ni shuhuda wa maneno haya, mnasifika kwa kuepuka dhuluma kwa wateja wenu Mnaonesha uaminifu wa hali ya juu na taarifa zote za miamala kwa wateja wenu ni za wazi na zenye maelezo yanayojitosheleza Tangu mtoe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…