britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,178
- 48,094
Keep going JWTZ
Britanicca
Britanicca
Alooo noma sana mkuu 😅😅😅Keep going JWTZ
Britanicca
Nilisema jambo litacheleweshwa na wanawaweza kulichelewesha zaidi Lakin hata apa mtuLeo sisiem lazima wafanye mavikao yao ya dharura ya kutosha yani!
Wamemwambie CDF afanye jambo ikiwezekana amchomoe amuweke pembeni asikubari kutumika akawaacha wananchi wanatabika maana kinachoenda kutokea ni mauaji ya haraiki yaan in short dangerous zone hatari hazard mbaya sanaTatizo hauandiki kwa kirefu. JWTZ wamemfanyaje Maza?
Unazungumzia huu mzigo >>>>>>Keep going JWTZ
Britanicca
Kitu kikubwa sana kinaenda kutokea huko mbele anamsisitiza CDF afanye jambo kabla mambo hayajaharibika alikomboe taifa bila hivyo matreni yatagonganaKuna kauli ameongea huyu kijana katika hiyo video nimeitathmini nimegundua kitu kikubwa sana.
Unazungumzia huu mzigo >>>>>>
View: https://www.facebook.com/share/v/1S4oeKSUmZ/
Watasema uyo si askari ni mtu kavaa nguo za kijeshi apuuzwe yani mtu anaongea ukweli watasema tumpuuzeKeep going JWTZ
Britanicca
DuuhBibi anajijambia tuu huko
Hawatosema kitu jeshi aliongozwi na Murilo hilo oohoWatasema uyo si askari ni mtu kavaa nguo za kijeshi apuuzwe yani mtu anaongea ukweli watasema tumpuuze