darautobroker
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 614
- 552
Badala ya kuuliza bei kwanza unaulizia engine?Engine iko vizuri,
Ndio Kiongozi Engine Yake Iko Vizuri Na Haina ShidaEngine iko vizuri,
Wahenga Waliosema, “KUULIZA SIO UJINGA”.Badala ya kuuliza bei kwanza unaulizia engine?
Gari ni EngineBadala ya kuuliza bei kwanza unaulizia engine?
Ndio Kiongozi Engine Yake Iko Vizuri Na Haina Shida
Nina 17.8 M ya mkopo hapa vipi naweza kuiapata?Ndio Kiongozi Engine Yake Iko Vizuri Na Haina Shida
mkuu Mad Max vipi kuhusu hii gari ya RVR ni bora, auNdio Kiongozi Engine Yake Iko Vizuri Na Haina Shida
sema kweli mkuu?mimba hizi ikianza kuchokonolewa uza harakaa italuja k ukuchokonoa mpaka masikion else
utauza screpa
Ulishawahi Kumiliki Iyo Gari? Ulikaa Nayo Kwa Muda Gani? Je, Service Zako Ulikuwa Unafanyia Wapi?mimba hizi ikianza kuchokonolewa uza harakaa italuja k ukuchokonoa mpaka masikion else
utauza screpa
Huu Udhoefu Unaompa Umeutolea Wapi? Mbona Wabongo Mnapenda Sana Story Za Vijiweni?Wee..r.
R..V.R..WEWE UKISIKIA MAKELELE TU WAHI MAPENA UTAUZA SCREPA