Natamani sana Msiba wa Mzee Mkono wajae Watani wa Wazanaki na Wasukuma ili Wamchane Mjane na Bintiye Leah

Naomba Wahaya, Wanyaturu, Waha, Wanyiramba, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi wajae Msibani ili Wamchane Leah Bintiye Marehemu Mzee Mkono.

Pia Wazaramo na Wahehe nao Wajae ili Wamchane Mjane wa Mzee Mkono ( Mama Leah ) kwa waliyoyafanya.
Kwanini usiwachane kabla ya huyo mzee Mkono hajafariki? Huo ndio unafiki ambao si mzuri.

Mtu akikosea aambiwe mapema sio usubiri hadi msiba ndio uje umchane.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Naomba Wahaya, Wanyaturu, Waha, Wanyiramba, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi wajae Msibani ili Wamchane Leah Bintiye Marehemu Mzee Mkono.

Pia Wazaramo na Wahehe nao Wajae ili Wamchane Mjane wa Mzee Mkono ( Mama Leah ) kwa waliyoyafanya.
Msiba wa Mzee Mkono ni mkubwa kutokana na uwekezaji wake na nafasi yake pia kwa Jamii, kwahiyo watani hawatakosekana.

Nina jirani yangu mmoja huku Kijijini ameshaandaa Boat yake kubeba waombolezaji kwenda Msibani, wengi ni watani wa Mzee Mkono kutoka Nansio
 
mimi niko njiani kwenda kumzika mtani, lakini tutazuia jeneza hadi tuseme ukweli, na ukweli utasemwa nikiwa nimeshika mkia wa ng’ombe na vazi langu la ngozi kifuani, nitaeleza jinsi mzee alivyotelekezwa, na nitamchana yule mbunge kingu kwa kufaidi pesa za mzee kwa kumdanganya binti yake bila aibu lazima nitasema na mengine mengi nayoyajua, na nduru kwa kutumia pembe la ng’ombe lazima itapigwa, na mvua itanyesha maana atakua anazikwa chifu hivo lazima tuombe mababu zetu mvua inyeshe kubwa kumsindikiza chifu,
 
Naomba Wahaya, Wanyaturu, Waha, Wanyiramba, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi wajae Msibani ili Wamchane Leah Bintiye Marehemu Mzee Mkono.

Pia Wazaramo na Wahehe nao Wajae ili Wamchane Mjane wa Mzee Mkono ( Mama Leah ) kwa waliyoyafanya.
Fungua code Mkuu
 
Nimecheka mpaka basi. Haya bhana.
 
Wewe ndie ulieanzisha hii thread
Inaelekea Leah alikukataa mbona una hasira sana na Leah kiasi hicho
 
Naomba Wahaya, Wanyaturu, Waha, Wanyiramba, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi wajae Msibani ili Wamchane Leah Bintiye Marehemu Mzee Mkono.

Pia Wazaramo na Wahehe nao Wajae ili Wamchane Mjane wa Mzee Mkono ( Mama Leah ) kwa waliyoyafanya.
Naomba Wahaya, Wanyaturu, Waha, Wanyiramba, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi wajae Msibani ili Wamchane Leah Bintiye Marehemu Mzee Mkono.

Pia Wazaramo na Wahehe nao Wajae ili Wamchane Mjane wa Mzee Mkono ( Mama Leah ) kwa waliyoyafanya.
Wazee wa Kizanaki waliwasisitiza muoe wanawake wa Nyumbani mkashupaza shingo sasa hayo ndiyo matokeo yake. IFIKE PAHALA UTAMBUE KWAMBA MKE WA NYUMBANI KWENU ANA FAIDA KUBWA KULIKO HAWA WA KUKUTANA MJINI VITOVU KAU KAU.
zimwi likujualo halikuli ukakwisha
 
Naomba Wahaya, Wanyaturu, Waha, Wanyiramba, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi wajae Msibani ili Wamchane Leah Bintiye Marehemu Mzee Mkono.

Pia Wazaramo na Wahehe nao Wajae ili Wamchane Mjane wa Mzee Mkono ( Mama Leah ) kwa waliyoyafanya.
Duh! Kumbukeni wamefiwa na mkuu wa boma yao.
Wahurumieni...
 
Back
Top Bottom