sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nipo bado kwenye Ndoto; Kile kilichotokea 29 October, 2025 kina mwelekeo na Maandiko Matakatifu?Kwa Report ya Chande hata Lucifer kanyosha Mikono.

    Umofia Wadau. Nipo ndotoni ndugu zangu kiukweli, hivi watu wamekufa kiasi kile ila Viongozi hawajutii wala kusikitika wanachofanya ni kujipalilia waendelee "KULA" Labda wale wa Rohoni mnipe tafsiri sahihi ya hili bila kujali Imani ya Dini zenu:- 1. Kila mtu aitii Mamlaka iliyo kuu;kwa maana...
  2. JamiiForums Tanzania Mwaka jana nilitoa wazo la kuanza mchakato wa haraka sana wa kujenga refinery Tanga

    Mwaka jana na hata mwaka huu baada ya straight of hormuz kufungwa nilitoa maoni yangu binafsi, Tuanze mchakato wa crude oil refinery haraka sana nashukuru dangote alikuwa na mawazo kama yangu na mchakato utaanza Kwanza ijengwe integrated refinery kama ile ya gujarati ambayo itakuwa na crude...
  3. JamiiForums Tanzania Biashara Zenye Mzunguko Mkubwa Sana Tanzania: Fursa Kubwa Kwa Wafanyabiashara Wadogo

    Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi za kibiashara, hasa kwa wafanyabiashara wadogo wanaotaka kuanza au kukuza biashara zao. Ukweli ni kwamba, kuna aina fulani za biashara ambazo zina mzunguko mkubwa wa fedha (high turnover) — yaani bidhaa au huduma zinauzwa kwa kasi kila siku. Kama unatafuta...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo nchini na maudhi yaliyopo, kuna siku mambo yataharibika watu watakufa sana, na sio waandamanaji pekee, maana wao wamejifunza kitu

    Kila siku naangalia hali ilivyo nchini, na kuona tabaka la viongozi wa nchii hii ni kama sikio la kufa, hawajifunzi kutokana na yaliyotokea. Bado wanadanganya watu, wanafanya ufisadi na wanajiona wao ni dunia nyingine tofauti na wale wanaowaongoza. Sasa niseme wazi. Kwamba hadi sasa huenda...
  5. JamiiForums Tanzania Bado tunajifunza na kukua katika mfumo wa demokrasia, ni kauli dhaifu sana

    Huwa nachukua sana kusikia kauli kama hizi Bado tunajifunza na kukua katika mfumo wa demokrasia” Demokrasia yetu bado ni changa Hizi ni kauli za kisiasa zilizo dhaifu ambazo viongozi walioko madarakani huzitumia kukandamiza wengine kuonyesha kuwa, demokrasia ya nchi bado iko katika hatua ya...
  6. JamiiForums Tanzania Poleni Sana. Nuru iliyopo iongezwe ili ilishinde Giza

    Hamjambo wote! Sina mengi ya kusema zaidi ya Nuru ndogo (ya kibatari) haiwezi kufukuza Giza la eneo kubwa. Nuru iongezwe ili Giza lisiweze kusimama mbele ya uso wa nchi. Nataka niwaambie huwezi mshinda adui aliyekuzidi nguvu na mbinu. Pili Huwezi mshinda adui anayetaka kukuua ikiwa hutokuwa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Banana-Kitunda-Kivule ni mbovu sana, daladala zinakwepa kupita huku

    Hii ni Barabara ya Banana-Kitunda-Kivule ni mbovu sana kiasi kwamba hata daladala zinakuwa chache, wananchi wengi wanaotegemea usafiri huo wanapata tabu sana, sababu watu wanaogopa kupeleka magari huko barabara ni mbovu vyombo. Wakipeleka zinakuwa katika mazingira ya kuharibika, tunatoa wito...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nawashangaa sana wanaoipondea Ripoti ya Oktoba 29!

    Why Nawashanga watu kuiponda ripoti ya 29 wakati mliujua ukweli kabla ya utafiti huo kufanyika na haya ni baadhi ya maswali tulikuwa tunajiuliza baada ya kuteuliwa kwa tume yenyewe. 1. Nani aliunda hiyo tume ! Jibu kila moja anajua. 2.je unadhani tume italinda maslahi ya nani !jibu tunalo 3.je...
  9. JamiiForums Tanzania Nina hasira sana na Mange Kimambi, ameharibu kabisa akili za Watanzania

    Watanzania sasa hasa vijana na wazee wachache hawaeleweki kabisa. Serikali hata ifanye jambo gani wao ni kukosoa tu Serikali inaandaa fursa kwa vijana, vijana badala ya kuamka kuziendea wako busy kusubiri post za vuongozi wa serikali mitandaoni waanze kukosoa . Kila kinachohusiana na serikali...
  10. JamiiForums Tanzania Sakata la Iran Wazinzi sasa wataumwa sana UTI

    Vita vya Iran vyachangia kupanda kwa bei ya kondomu Kampuni ya Carix, mojawapo ya kampuni kubwa ambazo hutengeneza mipira ya kondomu, imetangaza kuwa itaongeza bei ya bidhaa hizo kwa 30% au zaidi iwapo vita vitaendelea nchini Iran. Kampuni hiyo iliopo nchini Malaysia, imesema vita...
  11. JamiiForums Tanzania Milango nusu ya vyoo vya umma Marekani inahitaji ujasiri sana kwa watumiaji

    Hii milango ya katika vyoo vya umma huwa inashangaza sana, unakuwa unajisaidia huku mtu mwingine kutoka nje anaweza kukuona akitaka na kusikia kila kitu unachofanya Hivi vyoo ukiwa na tumbo la kuhara lile la vuvuzela au tarumbeta ni shughuli pevu, inabidi ukimaliza usubirie kuhakikisha hakuna...
  12. JamiiForums Tanzania Realmamy, seran na mallerina, tumewamiss sana mko wapi?

    realMamy Mallerina Seran mmekimbilia wapi
  13. JamiiForums Tanzania Nimegundua ndoa zimekufa muda sana

    Nilicho gundua ndoa nyingi zime kufa mda mrefu sana ila watu wana pretand kama bado wapo pamoja Hii baada ya kuambiwa mwenyekiti wa jumia yetu na mkewe wamegawana vyumba lakn kwa watu wanaonesha kuwa wapo pamoja na kanisani wana shirirki ekarist takatifu kabisa Means ndoa nyingi sana zime baki...
  14. JamiiForums Tanzania Mchungaji Peter Msigwa: Watu wanakuhitaji pale tu wanafaidika na wewe

    Amekuja gundua kwa kuchelewa sana. Huyu Msigwa alitembezwa sehemu nyingi za nchi kabebeshwa picha. Kama falah, taahira na msukule. Sasa anashtuka. Too late. Na simu zake hawapokei. Hana issue tena kwa sasa. Siyo deal. Ameshadharaulika hana mbele wala nyuma.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Maono ya jicho la tatu: Namuona Dkt. Asha-Rose Migiro mbali sana , akiwa Mwenyekiti wa bunge maalumu la katiba na baadae Rais wa Jamhuri yetu

    Jicho la tatu ambalo kikawaida linaona zaidi ya uono wa kawaida na mara nyingi linaona mbali kiasi kwamba anayeona anaweza kudhaniwa ni nabii. Wengine wamejaliwa karama ya matumizi sahihi ya jicho hili. Katika kuangazia mambo mbalimbali, Leo jicho langu la tatu linamuona Dkt.Asha.rose Migiro...
  16. K

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto kuhusu Barabara ya Pangani - Muheza …kwanini haitengezwi miaka yote na bajeti hutengewa?

    ‎Kero na changamoto yetu kubwa ni kuhusu Barabara ya Muheza - pangani ( Pangani - Muheza ) ..... ‎ ‎Hiii ni Barabara ambayo ni kubwa sana inayotumika , kupita viongozi wa serikali kuanzia Rais , pia inatumika kupitisha Watalii, na mizigo mingi inayotokea Zanzibar to bandari ya Pangani kuja...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Marekani inaipenda Facebook kwasababu ni yao China wanaipenda TikTok lakini Tz hawaipendi sana JamiiForums

    ilibidi wa Tz waithamini zaidi Jf
  18. N

    JamiiForums Tanzania Website ya BRELA ni mbovu sana na haendani na ukubwa wake wala teknolojia ya kisasa

    BRELA inatazamiwa kama kitu kikubwa sana na ukubwa wa juu yenye bajeti nzto sana lakini website yake ndio mbovu hivi maandishi yempandiana pandiana kiasi kwamba inatoa user experience mbovu sana. MDAU Je, unafikiri shida ni bajeti ndogo au wataalamu wa website hawana uwezo ? Vitu vimewekwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kumbe hadi kwenye sekta hii wakenya wametuacha mbali? Imeniuma sana

    Baada ya kwenda home kusalimia kwenye moja ya mkoa wa kaskazini, nikasema nikatembee kwa siku 7 upande wa kenya, Nikaanzia taveta then nikaenda Voi,kimana then leitoktok. Nilichogundua wanawake wa kikenya wazuri sana, kuanzia ladha, muonekano,kuvaa na mengineyo. Kwanza hawapendi kujichubua...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Nahisi kama si jambo sahihi na halina maana labda kama nakufuru Mungu anisamehee sana maana naaminini mungu yupo

    Mafanikio YOYOTE AMBAYO yanakukuta KATIKA muda AMBAO HUWEZI kuyafurahia hayafai kabisa Bora ubaki HIVYo. Mfano MTU anajifungua mtoto akiwa na umri WA MIAKA 60 na hakuwahi Kupata mtoto KATIKA maisha yake yote. Ukiwa broke huyo mtoto WA kazi gani labda ukiwa tajiri au umefanikiwa afadhali hapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…