sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wimbo flan umetend Sana TikTok naomba msaada kuupata

    Nimejarib Kila namna kuupata lkn wahsika wanaoucheza n hawa Sina hakika kama wanaonekana sawasawa
  2. JamiiForums Tanzania Wanawake waliotuzunguka ni puto na sindano kwenye mafanikio ya vijana wengi wa kiume

    80% ya wanawake waliotuzunguka Ni puto na Sindano kwenye mafanikio ya vijana wengi wa kiume. Imenichukua mda mrefu kuiva katika hili ila ndani ya mda mfupi ntakupa nondo zililivotukuka zitakazokujenga na kubadili maisha yako sana Let's Go.... Ilikuwa ni Asubuhi moja Murua, Nikiwa katika...
  3. JamiiForums Tanzania Ni aibu sana kuona Wabunge waliokuwa wa Kwanza Kukimbia 'King'ora' jana Bungeni ni wa Kiume

    Mmetuaibisha mno Wanaume Wenzenu na kuna Mbunge wa Kiume Mmoja aliamua kabisa Kuvua Viatu vyake huku akivishika Mkononi na Kukimbia peku na akipiga Yowe kutoka nje. Wabunge wa Kike wakiongozwa na Spika wa Bunge walikuwa Watulivu hata wakati Wanatoka Bungeni. Nashukuru huyu Mbunge si wa Mara.
  4. JamiiForums Tanzania TBS na TFDA wapewe waarabu tu, Bidhaa bandia madukani ni nyingi sana na zingine ni vyakula, magonjwa yasiyo ambukiza hayata isha

    Na haya yote ni madhara ya kuruhusu uwekezaji wa wachina kiholela holela , kuna viwanda bubu vingi sana vina zalisha bidhaa bandia hapa dar es salaam na vingi ni vya wachina TBS wapo TFDA wapo , Wao wanakaa maofisini kusubiri mtu awape mchongo ndio wajifanye kuita waandishi kujifanya wapo...
  5. JamiiForums Tanzania Je, ni Madereva gani wako Rafu sana Barabarani?

    Hivi karibuni kumekuwa na matukio mengi ya Ajali za Barabarani, na chanzo kikubwa huwa uzembe wa dereva kwa kupuuza alama za usalama barabarani au mwendo kasi au kutochukua taadhari. JE, WEWE UNAONA NI MADEREVA GANI WAKO RAFU SANA BARABARANI?
  6. JamiiForums Tanzania Mambo ya hii nchi yamenichosha sana, ni kama ku-deal na watoto watukutu

    Nchi hii inachosha sana ukiangalia mambo inayofanya, vurugu kila kona na wala huoni mambo ya maana yakifanyika. Ni kama kuwa na watoto watundu, unamkataza hiki anafanya kile, ukimkataza kile anarudi kwenye hiki. Ni kama vile wakubwa wanafanya "Trolling" ili kuwaudhi tu wananchi. Nimechoshwa...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ni aibu kubwa sana

    kwa ufupi, hii ni aibu kwa taifa kubwa kama Tanzania, nchi yenye rasilimali chungu nzima, raia wanyonge ambao unaweza kuwa dhulumu utakavyo, nchi ambayo haijui njaa wala uchungu wa risasi za magaida.
  8. JamiiForums Tanzania Jioni ya leo nilikuwa DP World hapa kigali Mnyarwadwa kanicheka sana

    " Mtz mwiriwe neza. Sasa nyie Watz akili zenu ni za namna gani bhana?! Ile siku bange (bunge) yenu imepitiza ile contract sisi wote tuliwacheka sana!" " Mvaa ( yaani wewe ) uliona wapi hiyo mambo ya kuwapatia hii mtu ocean yenu iwe ya kwao? Mzee (Kagame) asingekubali hiyo mambo kabisa kabisa!"...
  9. JamiiForums Tanzania Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

    Kuanzia mwaka 1997 mpaka mwaka 2019 nilikua kwenye research binafsi ya mambo yasiyoonekana kwa macho ya kawaida. Nimefanya mahojiano na watu wa fani hii,kuanzia watu wa kawaida mpaka viongozi wa fani hii katika nyanja mbalimbali. Mambo yasiyoonekana kwa macho,watu wanaita""UCHAWI""na ni fani...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Ni hatari sana kwa nchi kutegemea ushauri wa Legal Officer (Hamza Johari), na kuiingiza nchi kwenye mkataba

    Utangulizi: Katika taaluma ya sheria kote dunia, na kwa kipekee hapa nchini Tanzania, ili mtu akidhi vigezo vya kuwa mshauri, au kuwakilisha watu mahakamani, au kushauri mambo msingi ya kisheria , au kuhakiki nyaraka mbalimbali ni lazima awe na taalum hiyo katika ngazi au nafasi ya uwakili...
  11. JamiiForums Tanzania Tulitangazwa bure Burj Khalifa...

    Ikifika mwezi wa 7 , kuna ‘mbuzi’ wawili au watatu watatolewa kafara, hii ni kwa decoding binafsi ya mtiririko wa matukio takriban matano hadi kumi niliyoya -observe, na inanipelekea kuamini hivyo. 1.) Haya majibu yanayotolewa na serikali kupitia Gerson Msigwa , Kassim Majaliwa na Hamza Johari...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Designer au supplier wa T-shirt ya "Tunatangazwa bure "Burj Khalifa" tafadhali sana naomba kujua nitaipataje?

    Leo katika pitapita yangu nimeona Mtanganyika mwenzetu kavaa Tshirt imeandikwa "Tunatangazwa bure Burj Khalifa", nikashindwa hata kupiga picha, hata kumpata kwa haraka sababu nilikuwa nadrive na wakwe zangu na taa ziliruhusu, kwa hiyo nikashindwa kabisa ila nimefarijika sana kwa ujasiri ule...
  13. JamiiForums Tanzania Wabunge walihongwa na DP World; ushahidi huu hapa!

    Naingia kwenye mada moja kwa moja nisiwachoshe na maneno mengi. Ukimsikiliza huyu mbunge kwa umakini utakubaliana nami pasi na shaka kwamba wabunge wa CCM walihongwa na kampuni ya DP World ili kuwauzia nchi. Inauma sana. Kumbe mkataba ulisainiwa tangu mwaka jana, sasa hawa wezi wanatuchora tu...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA ni wapinzani uchwara sana, mpaka leo wameshindwa kuwateka wakulima

    CDM ni chama chenye uuchwara mwingi sana, na wala siyo chama cha maana. Lakini kwenye uuchwara huo nashangaa wameshindwaje kuwateka wakulima ukiaangalia jinsi mkulima wa nchi hii anavyoteseka. Asilimia 70 ya watz wanategmea kulima, lakini sera na harakati za CDM zinawagusa kidogo sana. Watu...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Lavalava ni msanii mzuri sana

    Habari wana jamvi, Mie bongo fleva nimeanza kuifuatilia kitambo sana enzi za bdp na sosy b na mpaka sasa bado naisikiliza nimebahatika kuviona vipaji vingi kwenye hii tasnia waimbaji kwa maraper. Lakini nikiri wazi kua Lava lava ni bwana mdogo mwenye kipaji sana sema naona kama hapati...
  16. JamiiForums Tanzania Hii picha imenihuzunisha sana

    Jamii imekengeuka sana Kiongoz atakaye wathanini walimu Mnyezi Mungu atabariki sana Ni Kwa Nini kila kiongozi anayeshika nchi anajiunga na kundi la kudanganywa. Eti.. Walimu watajengewa nyumba. Mna uhakika na mnacho danganya? Nnani amesemma walimunnchi nzima wanaweza wakajengewa nyumba...
  17. JamiiForums Tanzania Haya mambo 30 yanayonisumbua sana, sijui wewe

    Katika mambo yanayonisumbua maisha yangu, mambo haya 30 yanaongoza; 1. Kila kitu ni kitapita au ni cha muda tu ukiwemo uhai au maisha yangu. 2. Ukweli kuwa sitoridhika na nilichonacho au niliyonayo mpaka wakati wa kufa 3. Uhalisia kuwa uchu ndiyo unaotawala uchumi na uchumi nao kutawala uchu...
  18. JamiiForums Tanzania Nimekutana na Timekeeper Deus Mwafisango, hatari Sana.

    NIMEKUTANA NA TIMEKEEPER DEUS MWAFISANGO, HATARI SANA. Anaandika, Robert Heriel Ni leo. Maeneo ya Mlimani City nilikutana na mtu hatari, jitu baya, Roho ya kale, ukimuita jitu mwitu msitu hutokuwa unakosea. Napita Eneo la samaki samaki nasikia Sauti ikiniita. Nageuka macho yangu yanapagawa...
  19. JamiiForums Tanzania Mke wangu ana gubu sana

    Kama kichwa cha khabari hapo Juu Kinavosema, nimeoa nina mke na mtoto mmoja Ila hii ndoa nahisi Kuanza kuishindwa kwasababu ya GUBU la mke wangu. Nimejaribu kuongea nae mara kadhaa ila sio muelewa hata kidogo. Nishaongea nae kwa nyakati mbalimbali ila haelewi, ana kauli tata sana zenye kunitia...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Sakata la DP World ni kipimo cha uzalendo. Tunawafuatilia viongozi wetu kwa ukaribu sana

    Kama mzalendo katika nchi ambayo Mwenyezi Mungu aliruhusu nizaliwe, naona kabisa kwamba hili suala la mkataba kati ya Serikali yetu na DP World ya Dubai, itakuwa kipimo cha uzalendo ambao tunapaswa kutumia katika kuwapima. Tuko tunafuatilia kwa ukaribu sana maoni yenu. Hata wale ambao mmeamua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…