sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi ni wala rushwa sana na Serikali inawaacha?

    Hii inatia hasira kwa wananchi japo wananchi wanaonekana kucheka nao na kula nao ila wakati huwa ni mgumu sana kwa Polisi wote haijalishi ana cheo gani anapo staff. Ubadhilifu na kutokuwa waaminifu katika mazingira ya kazi ni nani hasa anawakingia kifua?? Course zao ni mbovu au mfumo wao. Mimi...
  2. JamiiForums Tanzania Putin hatoweza kwenda hata hapo jirani Armenia, wamejiunga ICC, Urusi yalalamika sana

    Urusi imelalamika kwa Armenia kujiunga ICC, ina maana dunia inazidi kuwa ndogo sana kwa Putin maana hata hapo kwa majirani zake hawezi kuwatembelea... The National Assembly of Armenia has adopted a draft law on the ratification of the Rome Statute, the basis of the foundation of the...
  3. JamiiForums Tanzania Wanadiplomasia Wabobezi wameanza kupotea na ni adimu sana Tanzania miaka hii ya karibuni

    John Malecela Salim Ahmed Salim Mrisho Kikwete Balozi Mahiga Liberata Mulamula Balozi Asha Rose Migiro( kunradhi balozi) Prof Anna Tibaijuka( kunradhi Prof) Kuna wakati Tanzania tulikuwa na hazina kubwa ya wanadiplomasia waliokubuhu kutetea maslahi ya nchi na Afrika kwa ujumla. Kizazi...
  4. JamiiForums Tanzania Ipi nyimbo yenye beats kalii sana

    Ipi nyimbo kalii na beats kalii kati ya hizi nas i can na dr dre still dre
  5. JamiiForums Tanzania CRDB wamekuwa ovyo sana

    Nsekela kama kazi imekushinda acha. Crdb wamekua hovyo sana jamani. Customer service unapiga unasubiri dakika 10 kuongea na mhudumu. Hela zinatolewa kwenye account hazirudi ukipiga simu kureport hamna majibu wala msaada aise. Leo rasmi nimehama benki. Naomba kwa usalama wako msiweke pesa crdb...
  6. JamiiForums Tanzania Mbunge Atupele Mwakibete amshukuru Rais Samia, asema Busokelo Sekta ya Afya Wamepiga Hatua Nzuri Sana

    "Namshukuru Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyeniteua tarehe 08 Januari, 2022 kuwa Naibu Waziri wa Uchukuzi. Alituheshimisha sana Vijana, alituheshimisha sana wana Busokelo na Mkoa wa Mbeya kwa ujumla. Ninaamini nilifanya kazi kwa Weledi, Uaminifu na nina hakika bado...
  7. JamiiForums Tanzania Jina la sasa la Twitter" X" lina utata sana

    Toka billionaire Musk auchukue mtandao wa Twitter kuna mabadiliko kadha wa kadha amefanya. Moja ya mabadiliko hayo ni kutoka kuitwa Twitter mpaka kuitwa "X". Hili jina limekuwa na ukakasi mwingi sana hasa katika kulitumia kutambulisha mtandao unaotumia hata kufungua app yake katika kundi la...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini chuo cha MUST Mbeya kinawafanya wanafunzi warudie mwaka wa masomo kwa sababu mifumo inasumbua. Hasa wa Diploma

    Nimeona niulize huku labda naweza pata msaada wa mawazo tofauti kwa watu wanaopitia hii changamoto. Nna ndugu yangu amesotea Diploma pale MUST Mbeya kwa miaka mitano badala ya mitatu na mpaka sasa hivi bado hajatoboa, na tatizo sio kufeli. Ni mifumo yao. Wanaambiwa mfumo umebadilika so mwalimu...
  9. JamiiForums Tanzania Mwamnyeto kuzikosa mechi muhimu sana za Al-Merreikh ni fundisho kwake na wazawa

    Sisi mashabiki hatujui ukubwa wa tatizo lilisababisha Kapteni wa Yanga, Mwamnyeto kushindwa kwenda Rwanda kwenye mechi muhimu saaaaana kwa timu ya Yanga dhidi ya Al-Merreikh. Kama mchezaji kiongozi wa timu mechi hii haikuwa ya kukosa kwasababu hafifu hafifu tu na dhaifu. Vitu pekee ambavyo...
  10. JamiiForums Tanzania Nimefungua account ya CRDB BANK ila naogopa kuweka akiba, nasikia wanamakato makubwa sana

    Mimi ni mfanyabiashara mdogo, natengeneza vikapu vya ain mbalimbali. Kwa siku nyingi sikuweza kuwa na account ya bank kutokana na gharama kubwa za kufungua account, hivyo pesa yangu niliitunza kwenye line ya simu. Juzi kati nikiwa kwenye biashara yangu nilitembelewa na watumishi wa CRDB BANK...
  11. JamiiForums Tanzania Ubunifu wa performance kwenýe majukwaa ya show za wasafi festival 2023 ni utajiri wa mabilioni kwa wasanii Tanzania, Diamond platnumz aheshimiwe sana

    Kuna jambo la ubunifu wa hali ya juu unafanyika katika matamasha ya wasafi 2023 lichavya kuonekana wasanii wakiongozwa na diamond platnumz kama wanatumia mamilioni ya pesa ila kuna kitu kipta kinazaliwa kwenye sanaa ya mziki wa Tanzania. Hakika ubunifu wao umewagusa watu mbalimbali africa na...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri! Mwanangu wa kike kaniambia Mambo yaliyonichanganya sana

    Naombeni ushauri, namuokoa vipi mwanangu wa miaka minne na kumkinga katika Hali hiii. Ni hivi, Leo nilikuwa nyumbani, na toka asubuhi nilikuwa nae nikicheza nae . Sasa katika ongea ongea kaniambia Jambo lililonishtua kidogo. Ameniambia watoto wadogo wawili wa pale mtaani wamedakana. Na...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaume tukiingia kwenye mahusiano na wanawake wanaotuzidi umri tunazama sana kimapenzi?

    Habari zenu wana JF. Nitajaribu kuifupisha kadri niwezavyo ili nisiwachoshe, sitaingia kweny details sana. Kuna kipindi wakati bado nipo chuo nilibahatika kuingia katika mahusiano na mrembo mmoja aliyenizidi sana umri, wakati huo nilikuwa nina miaka 22, yeye alikuwa ana miaka 38, Aisee...
  14. JamiiForums Tanzania Moyo wangu unaungua, Akili inaharibika, Mwili unakonda, Mapenzi yanatesa sana

    Salaam waungwana wote, Kwa kweli katika kitu najuta maishani ni kumpenda huyu mtu, nimekua nae kwa miaka 7 sasa, niseme tu nilimkuta hana kitu kabisa sikujali kitu nilijali mapenzi, tukaanza mapenzi na yalikua moto moto, alikua anafanya kazi sehemu kwa mshahara mdogo sana, wakati huo mie nipo...
  15. JamiiForums Tanzania Harambee Imefanikiwa Sana: Kisiwa cha Rukuba Chaanza Ujenzi wa Sekondari Yake

    HARAMBEE IMEFANIKIWA SANA: KISIWA CHA RUKUBA CHAANZA UJENZI WA SEKONDARI YAKE Kisiwa cha Rukuba ni moja ya vijiji vinne (4) vya Kata ya Etaro. Wanafunzi wa sekondari kutoka Kisiwani humo wanasoma nchi kavu kwenye sekondari ya Kata yao (Etaro Sekondari). Wanafunzi hao wanakumbuna na matatizo...
  16. JamiiForums Tanzania Nauza laptop yenye kasi sana: HP Elite

    Imenunuliwa Picha post #2
  17. JamiiForums Tanzania Kama ni Kweli Yanga tulifanya hivi sisi ni mazuzu, mazumbukuku ulimwengu upo huku. Inasikitisha sana kwa watu wenye akili

    Hili tatizo nadhani tunalo muda mrefu. La uswahili, kijicho, wivu na uzumbukuku wa baadhi ya watu. Kama anayosema huyu Prof ni kweli sisi Yanga ni watu wa ajabu sana. Lazima watu watakuwa wanatucheka, wanatushangaa sana. Msikilize mwenyewe ingawa kaongea kwa lugha ya Kikristo.
  18. F

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kusaka Mke/ Mume unaotumika Uarabuni mzuri sana. Dkt. Zakir Naik (islamic scolar) anamtafutia mke mwanae kwa Tangazo kama ajira vile

    Habari wadau Nimependa mfumo wa waarabu na wahindi jinsi ndoa zao zinavyokuwa Wazazi ndio wanawajibika kuwatafutia watoto wao Mke / Mume wanapofikia umri wa kuoa. Mfano tazama tangazo la Dr Zakir Naik ambaye ni islamic scolar maarufu duniani.. la kumtafutia mwanae wa kiume mke wa kuoa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi Tundu Lissu alivyofanana sana na Hayati Magufuli

    Jamanieeh sio mimi ninayesema haya bali watu wa kitaaa. Sasa watu wameanza kutafuta Mbadala wa Dkt. Magufuli na wengine wakisema hakuna wasiwasi Tundu Lissu yupo mambo yatakuwa sawa. Kwamba ni suala la muda tu Watanzania wavumilie haya yatapita. Wanawafananisha Tundu Lissu na D John Magufuli...
  20. B

    JamiiForums Tanzania CCM ilishafeli kitambo sana sema hawataki Kukubali tu

    Miaka 60 ya uhuru ni jambo gani ambalo ccm wanaweza kujivunia wamelifanya na ku accomplish angalau kwa asilimia 60%. Wale maadui watatu waliotangazwa na Baba wa Taifa ujinga, maradhi na Umaskini vyote viko pale pale. Umee bado ni kero licha ya kuwepo kwa vyanzo vingi vya uzalishaji. Tuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…