Nimefungua account ya CRDB BANK ila naogopa kuweka akiba, nasikia wanamakato makubwa sana

Apr 5, 2023
50
108
Mimi ni mfanyabiashara mdogo, natengeneza vikapu vya ain mbalimbali.

Kwa siku nyingi sikuweza kuwa na account ya bank kutokana na gharama kubwa za kufungua account, hivyo pesa yangu niliitunza kwenye line ya simu.

Juzi kati nikiwa kwenye biashara yangu nilitembelewa na watumishi wa CRDB BANK wakaniambia kufungua account ni bure ila nine na 10,000 ya card ya ATM 🏧.

Nikawapa namba yangu ya nida na baada ya muda si mrefu nikapokea ujumbe kwenye simu yangu kwamba account yangu iko tayari.

Ila baada ya hapo, kila ninayemweleza nina account ya CRDB BANK ananionea huruma, na pia nimesoma hapa JamiiForums na sehemu mbalimbali watu wakilalamikia makato/ upotevu wa pesa kwenye account zao.

Mbaya zaidi CRDB BANK 🏦 wako kimya kama hawaoni kinachoendelea, na wala hata hawatoi elimu kwa wateja wao ili kuondoa ama kupunguza malalamiko.

Hali hii imenifanya niwe na ubaridi moyoni mwangu katika kuiendeleza hiyo account.

Naogopa kabisa kuitumia na kuweka akiba maana hela inauma aisee, kuliko mapenzi
 
Walitakiwa wakupe elimu... navofahamu akaunti ambazo hazina makato kuna fahari scholar,fixed deposit account n.k (Kama zipo)

Makato yanakuwepo kulingana na aina ya akaunti, akaunti nilizotaja hapo juu hazina monthly charges (Makato ya mwezi) au maintainance fee(Gharama za kutunza account) kuna gharama kwenye Kutoa hela tu labdah ATM,KWA wakala au bank

Ww kwakuwa ni mfanyabiashara bila shaka nadhani utakuwa hujafunguliwa account tajwa hapo juu hivo hizo account zitakuuwa na makato tu.....maamuzi ni YAKO kukaa chini na kuona uendelee na Crdb au uache

Pia inshu za makato inategemea unaweza ambiwa hakuna na ukawapa trust asilimia 100 wao wanakukata tu kiaina lazima Uwe mfuatiliaji kupitia Sim banking app au njia mbadala...

Hapa chini kuna pdf inaonesha baadhi ya nondo kuhusu CRDB pitia ufanye machaguzi sahihi
 
Attachments

  • MINIMUM DISCLOSURES 23rd JANUARY 2023.pdf
    212 KB · Views: 39
Mimi ni mfanyabiashara mdogo, natengeneza vikapu vya ain mbalimbali.

Kwa siku nyingi sikuweza kuwa na account ya bank kutokana na gharama kubwa za kufungua account, hivyo pesa yangu niliitunza kwenye line ya simu.

Juzi kati nikiwa kwenye biashara yangu nilitembelewa na watumishi wa CRDB BANK wakaniambia kufungua account ni bure ila nine na 10,000 ya card ya ATM 🏧.

Nikawapa namba yangu ya nida na baada ya muda si mrefu nikapokea ujumbe kwenye simu yangu kwamba account yangu iko tayari.

Ila baada ya hapo, kila ninayemweleza nina account ya CRDB BANK ananionea huruma, na pia nimesoma hapa JamiiForums na sehemu mbalimbali watu wakilalamikia makato/ upotevu wa pesa kwenye account zao.

Mbaya zaidi CRDB BANK 🏦 wako kimya kama hawaoni kinachoendelea, na wala hata hawatoi elimu kwa wateja wao ili kuondoa ama kupunguza malalamiko.

Hali hii imenifanya niwe na ubaridi moyoni mwangu katika kuiendeleza hiyo account.

Naogopa kabisa kuitumia na kuweka akiba maana hela inauma aisee, kuliko mapenzi
Ni balaa
 
Back
Top Bottom