sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine leo hili jambo limenifanya nijisikie vibaya sana moyoni

    Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea vyema. kwa wale wenye changamoto, ni maombi yangu kwa Mwenyezi Mungu kwamba atufanyie wepesi hasa katika kipindi hiki tunapomalizia mfungo wa Kwaresma na tunapoendelea na Ramadhani wengine. Ni jambo nimelishuhudia kituo cha dala dala leo asubuh katika...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mlioko serikalini msijione 'Special' sana. Mambo wakati mwingine hubadilika kwa kasi usiyoitarajia

    Habari wana JF. Kuna baadhi ya watumishi wa serikali, kuanzia ngazi ya chini kabisa hadi ngazi ya juu kabisa huwa wanajiona wao ni watu maalum sana. Kama hujawahi kukutana na watu wa aina hiyo, basi nakuhakikishia iko siku utakutana nao. Wengi wao husahau ule usemi wa "cheo ni dhamana". Hao...
  3. JamiiForums Tanzania Changamoto zilizokuwa zimeibuliwa na wanainchi na kubebwa na upinzani kama agenda, zimetatuliwa sawa sawia na serikali ya awamu ya 6 ya CCM

    Changamoto zilizokua zimeibuliwa na wanainchi na kubebwa na upinzani kama agenda, zimetatuliwa sawa sawia na serikali ya awamu ya 6 ya CCM. Kiu, matamanio na matarajio ya waTz yamefikiwa na kutekelezwa. serikali sikivu ina zingatia sana sauti, mitazamo na maoni ya waTanzania kuhusu masuala...
  4. JamiiForums Tanzania Al Jazeera: Hivi ndivyo Wachina wanavyotuona sisi. Nimesikitika na kuumizwa sana na Jambo hili

    Miaka ya hivi karibuni tumekuwa upande sana wa China dhidi ya Wazungu. Kila sehemu tumesifia na kumtetea Mchina tukiwaponda Wazungu. But kumbe wao wanatuona sisi ni hamnazo? Hatuna kitu? Weupe kichwani? Ni ugonjwa wa kiakili? Si sawa. Miaka yote tunawaita wazungu makafir na wanaendelea...
  5. JamiiForums Tanzania Natamani sana Dar es Salaam ingeweza kuzingatia sana kwenye usafi wa mazingira maana kwa mazingira yalivyo kwa sasa sio salama

    Habari wana Jamii Forum Ningeomba niwasilishe hili swala kwa jamii ili tuliongelee. Dar es Salaam ni Jiji zuri sana kwa hapa Tanzania ambalo linapendwa na wengi na huo ndio ukweli usiopingika,lakini pamoja na uzuri wake wote kuna kitu kimoja tu kinashusha thamani ya Jiji hili nacho ni MAZINGIRA...
  6. JamiiForums Tanzania Mjadala: Ni jambo gani kwenye Maisha yako lilichelewa sana? Ila sasa unaona kawaida sana

    Wakuu, Kwenye haya maisha tuna mambo mengi sana ambayo ni matamanio, na kila mtu nafikiri wanayo. Sasa ni vitu gani ambavyo ulivitamani sana kuwa navyo, yaani ile tu unajiambia I wish, I wish... Ila sasa unavyo au unavifanya na unaona ni kawaida kabisa yani!! Kuna watu walitamani kuwa na...
  7. JamiiForums Tanzania Hawa vijana wanaoitwa machawa wanachangamsha mji sana

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni hawa machawa wakiongozwa na chawa mkuu Mwijaku wanafanya mji unachangamka sana yaani hii style ya kusifia watu wazito na vimisemo misemo flani hivi inachangamsha sana mji. Jiji limechangamka media zimechangamka nina rafiki zangu Nairobi na kampala...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

    Nchi nyingi zenye mlengo wa uislamu au majimbo mengi ya nchi yenye mlengo wa uislamu uwa ni kitovu cha ugaidi na maeneo hayo usifika kwa kuzalisha makundi mengi ya Kigaidi. Sisemi tu kwa sababu nasema bali nasema kwa sababu zipo nadharia nyingi zinazoonesha kuwa ni kweli maeneo hayo ukumbwa na...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Azam wameigharimu sana Yanga kuelekea mchezo wao na Mamelodi

    Mechi baina ya Yanga na Azam, imezaa majeruhi wawili ambao ni wachezaji muhimu sana kwa Yanga.Wachezaji hawa ni Pacome na Yao Kouassi. Tunachojiuliza hii ni bahati mbaya tu au kulikuwa na nia ovu? Anyway, Yanga tujipange tu kutokana na hali halisi kiuelekea mechi yetu na Mamelodi.
  10. JamiiForums Tanzania Waislam wanapofunga, wanafanya kile ambacho biblia imesema na hakifanywi na wafungaji wa kikristo

    Waislam wakifunga hata usiyemuislam utafaidi. Sio wachoyo, Sio wabaguzi kwenye futari. Nimewahi kupanga nyumba moja na waislam ikifika mfungo sisi wakristo tulikuwa tunafaidi sana. Kikipikwa chakula cha kufuturu na sisi tumo kwenye bajeti hata kama wanajua hatujafunga. Wakristo tukifunga, mara...
  11. JamiiForums Tanzania Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

    1. Maryland Bar, ITV, Mwenge. 2. Hongera Bar, Shekilango Road, Kijitonyama. 3. Chagga Bite Bar, Makumbusho. 4. Mori Bar, Sinza. 5. Nakaleshi Bar, Sinza Madukani. 6. 5N Night Club, Sam Nujoma Road, opposite Mlimani City 7. Karembu Bar, Barabara ya Tano, Soko Matola, Mbeya. 8. Meeda Night Club...
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake wakipigiwa simu wanafurahi sana

  13. JamiiForums Tanzania Basi wakati tunaumia sana kuhusu mahusiano tuliyopitia au tunayopitia basi tukumbuke kuna Geremi Njitap

    Huyu ni mchezaji wa zamani wa Cameron , Chelsea na Madrid
  14. JamiiForums Tanzania Vatican ni nchi moja ya kipekee sana ulimwenguni

    Ukifika pale Italia, kuna sehemu ndogo ya nchi, inaitwa Vatican. Hapo ndipo yalipo makao makuu ya Kanisa la Roman Catholic ambapo mkuu wa kanisani hilo ni Papa. Pale Italia wana pesa yao, ila haitumiki ukiingia Vatican. Kule Vatican wana pesa yao na unaweza kuitumia hata Italia. Rais wa...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini na matapeli wa "ile pesa tuma kwenye hii namba". Ni kama vile wanapata taarifa tunapofanya miamala

    Jana nimemaliza tu kuwasiliana na mtu kwa njia ya simu ya sauti na kunisisitiza pesa nimuwekee kwenye namba yake ya airtel. Nakata simu dakika moja mbele napokea hii text. Hii inaweza kuwa ni bahati mbaya kweli au hawa matapeli wana-pata mawasiliano yetu.
  16. JamiiForums Tanzania Uwezo wa Waziri Ndumbaro ni Mdogo Sana

    Mwenye CV ya Waziri wa Michezo na sanaa Damas Ndumbaro atuwekee hapa. Uwezo wake ni mdogo sana kiasi siamini kama anayo hata LLB. Sababu zangu ni hizi:- 1. Wakati wa Magufuli akiwa Waziri wa Utalii alisema Chato ni kitovu cha utalii hivyo akaanzisha mbuga ya Burigi -Chato 2. Mwaka jana akiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Taarifa nzuri sana kutoka iringa usikose kusoma

    Kamwene: Hali ya hewa iringa leo ni nzuri sana hakuna Baridi na jua linawaka vizuri sana. Bei ya komoni ni sh 300 kwa lita 1, ulanzi ni sh 400 kwa lita, pia kuna promosheni ya Ulanzi kwa vilabu vyote Lita 2 inauzwa kwa sha 700. Bei ya kande kibakuli kimoja ni sh 100 pilipili bure, upande wa...
  18. JamiiForums Tanzania Nasikitika ninaposikia mafanikio ya TAKUKURU kuwafikisha watuhumiwa mahakamani bila matokeo ya hukumu kwa watuhumiwa wa rushwa

    Kwa mujibu ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara 107A(1) inayotamka kama ifuatavyo: "Mamlaka ya utoaji haki katika Jamhuri ya Muungano itakuwa mikononi mwa Idara ya Mahakama na Idara ya Mahakama ya Zanzibar, na kwa hiyo hakuna chombo cha Seriikali wala cha Bunge au Baraza la...
  19. JamiiForums Tanzania Huyu Mfalme Charles ana dharau sana au anamaanisha nini?

    Kulia ni balozi wenu mpya wa uingereza Mh.Mbelwa Kairuki akikabidhi hati za utambulisho kwa Mfalme.
  20. JamiiForums Tanzania Rais Eng. Hersi Said hili suala la kuweka kiingilio bure linaweza hujuma kubwa sana kwa Yanga. Vinginevyo jambo hili lifanyike

    Taarifa inasema kiingilio kwenye mechi yetu na Mamelody itakuwa bure Mzunguko. Sababu za uongozi zina mashiko pasi na shaka yoyote. Kwanza mechi itachezwa usiku sana halafu pili ni mwezi mtukufu wa Ramadhwani etc. But hatuoni kuwa Simba wanaweza kuingia pia uwanjani kwa wingi yakaja kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…