sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Israel inawapenda sana wapalestina Tatizo dini yao inawapotosha sana!!!!

    Mwimbaji wa Israeli Idan Raichel alishiriki katika mahojiano jinsi alivyopokea picha yake hivi karibuni kutoka Gaza. Askari wa Israeli alimtumia picha ya zamani ya Idan akiwa na baba kutoka Gaza na mtoto mchanga kwenye kitanda cha mtoto. Raichel alielezea kwamba hii ilipigwa wakati wa kazi...
  2. JamiiForums Tanzania Chunga sana mtu asilie kwa ajili yako

    Sio mapenzi, sio pesa sio Nini, jitahidi sana chozi la mtu lisidondoke wewe ukiwa chanzo. Una umiza hisia za mtu au watu, unajitapa we bingwa wa kuumiza watu kwenye mapenzi, una dhutumu una ibia watu una ua watu wanao tegemewa na familia zao, kisa pesa au kisa uonekane mzuri sana. Una kutana...
  3. JamiiForums Tanzania Hii ni mbaya wazee, haijalishi itikadi wala mlengwa wako ila hii ni mbaya sana!

  4. JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Sikujua kama Watu walikuwa wamekasirishwa sana, mimi kuhama kutoka CHADEMA kwenda CCM

    Mchungaji Msigwa aliyekuwa mbunge wa Iringa Mjini kupitia Chadema kwa miaka 10 (2010/20), alijiunga na CCM Juni 30, 2024 kabla ya kutangaza kurejea rasmi Chadema Mei 23, 2026 amesema; "Mimi sikujua kwamba watu walikuwa wamekasirishwa sana na kitendo cha mimi kuhama kutoka Chadema kwenda CCM...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa PEPMIS umechangia Watumishi 370 wa Halmashauri ya Jiji la Dar tusipandishwe daraja

    Mimi ni mtumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Idara ya Utawala na Rasilimali Watu. Tuna changamoto kubwa inayohusu mfumo wa PEPMIS, ambapo mwaka 2025 tulitakiwa kupanda daraja lakini haikuwezekana kutokana na supervisors kushindwa kuingia kwenye mfumo huo. Cha kusikitisha ni kwamba...
  6. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop inauzwa, nimepunguza bei wakuu, karibuni sana , nimerudi tena Viongozi

    Imeuzwa
  7. JamiiForums Tanzania Japo Nilikuwa Simkubali Baba Levo Kwa Uchawa Compared to ZZK, Leo Nimemsikia Bungeni, Kumbe ni Bonge la Kichwa, ni Akili Kubwa!, Nimememkubali Sana!.

    Wanabodi, Baada ya kuibuka kwa fani mpya ya uchawa, mimi nimekuwa nikiwaona machawa kama ni majitu fulani majinga zero brain!, nilipoangalia line up ya wagombea ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini, kupitia CCM, kulikuwa na very good big brain, siku ya matokeo ya kura za maoni ya CCM zikitangazwa...
  8. JamiiForums Tanzania Katika historia ya mwafrika hii part naichukia sana na inaumiza

  9. JamiiForums Tanzania Utawala wa kifalme ni bora sana. Jordan vs Tanzania

    Jordan ina watu 11m. Tanzania 65m. Ukubwa wa Jordan ni kilomita za eneo 80, 000 na kidogo. Tanzania ni kilomita za eneo 950,000. Jordan inaingia kama mara 12 kwa tz. Mto pekee Jordan ni mto Jordan wanaoshare na Israel. Ni nchi kame. Maji wanategemea ya visima. Hawana ardhi ya kulima. Tanzania...
  10. JamiiForums Tanzania Ndoa ni upuuzi: Mke wa mtu anasema ananipenda Sana

    Ndoa kweli zimeisha, zimeisha ndoa zilikuwa zile za mababu na baba zetu ndoa Sasa hakuna. Imagine mke wa mtu anasema ananipenda Sana na anasema hawezi kuniacha anasema anataka muda wa kutosha na Mimi Leo nilikuwa naye namsikiliza. Mtu waliyevalishana Pete anamponda je ndoa sio upuuzi? Ndio...
  11. P

    JamiiForums Tanzania KERO Bar ya Camp Edward (Tabora) wanapiga muziki mkubwa sana na IPO katikati ya makazi

    Bar ya CAMP EDWARD iliyoko kwenye makazi ya watu MKOANI TABORA, wanapiga mziki mkubwa sana na mbaya zaidi ni kila siku hawana jumatatu wala weekend, mbaya kuliko zote wanapiga mziki hadi saa mbili asubuhi kwa sauti kubwa. Mamlaka zituambie ni kibali cha aina gani wanapewa kupiga mziki hadi...
  12. JamiiForums Tanzania Hekaya za Idu: ziara za Waziri Mwigulu Nchemba zinatafakarisha sana. Ni kama taifa halina waziri mkuu na limepotea.

    Waziri mkuu kwa mujibu wa katiba JMT ndio msimamizi wa shuguli zote za serikali. Sasa Msimamizi wa shughuli za serikali anapokuwa namna hii taifa letu linaenda wapi? Limepotea na shughuli za serikali zimekwama. Huwezi kuwa waziri mkuu alafu unatatua kero za wanancho kisanii namna hii. Mfano...
  13. JamiiForums Tanzania Magari ya Toyota generation mpya mpya zinafanana sana kimuonekano. Unaweza usijue ni model gani ukiona picha kwa mbele

    Kama umefuatilia, generations mpya za Toyota kuanzia 2023 kuja mbele zimekua kama zinashare design language moja kwa mbele. Mfano: Toyota Crown 2025 Lexus ES 350h 2025 Camry 2025 Prius 2025 Ata ukicheki baadhi ya crossovers/SUV kama nazo kwa mbele zinafanana design. Angalia mifano...
  14. JamiiForums Tanzania Andiko la mchekeshaji Shafii, limeniumiza sana mimi kama kijana

    Nimeumizwa sana na mchekeshaji shafii, huyu kijana alikua na mchumba wake, wakishirikiana vizuri tu. Baadae kapata taarifa mchumba wake kaolewa Dodoma, kumbe yule Binti kalazimishwa na wazazi wake pamoja na kaka yake, kisa kazi ya shafii wao waliona ni ya kijinga sijui ni ya kimaskini, kazi ya...
  15. JamiiForums Tanzania Hadithi ya kusisimua sana ya Jakaya Kikwete na Catherine Conrad

    Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete amekutana na Mwanafunzi wa Udaktari kutokea Chuo Kikuu cha Kairuki, Catherine Conrad ikiwa ni miaka 18 imepita tangu alipomuona katika Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (MOI). Dkt. Kikwete alikutana na Catherine, Novemba 14, 2008 akiwa na umri wa miaka...
  16. JamiiForums Tanzania Mko wapi, tatizo mnajificha sana mabroo

    Niko tu uchochoroni, Siziwezi hekaheka za vijana Mimi Mzee wenu,nipo mahali nimejibanza napata local beer
  17. JamiiForums Tanzania Msemo wa Sugu ‘matako yenu’ umekaa kishamba sana, aliye karibu naye mwambie aachane nao

    Mheshimiwa Joseph Mbilinyi aka sugu sijakataa ana kipaji cha kuongea na kuhamasisha watu, lakini kuna baadhi ya misemo yake kama ‘matako yenu’ imekaa kishamba kuliko kisiasa au kiuongozi. Kila kiongozi huwa na jingle yake, lakini jingle pia inatakiwa ijenge heshima na ukubwa wa brand yake. Kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Nilitegemea huyu kijana ataitwa bungeni kupewa zawadi, ila wachezaji wa mpira wanapishana huko bungeni

    Kijana Wa Kitanzania Aibuka Mshindi Mashindano Ya Nyuklia Kimataifa Kijana mtaalamu kutoka Tanzania, Japhet Matekere, amechaguliwa kuwa mmoja wa washindi wa mashindano ya video ya kimataifa ya “Atoms Empowering Africa 2026”. Mashindano hayo yaliyoandaliwa na kampuni ya nishati ya nyuklia ya...
  19. JamiiForums Tanzania Kombo: Rais Samia amesemwa na kuchorwa sana baada ya uchaguzi, wakati amefanya kazi kubwa kutulinda kuwa na uhai

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema kuwa siku za hivi karibuni Rais Samia amekuwa akisemwa na kuchorwa sana na lawama zote kupewa yeye kutokana na matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi, wakati rais alifanya kazi kubwa ya kikatiba...
  20. JamiiForums Tanzania Harakati ni kupambania yale ambayo yanaonekana hayako sawa

    HARAKATI siku zote huwa zina lengo la kupambania yale ambayo tunadhani hayako sawa kwenye jamii na yale ambayo tunadhani yalitakiwa kufanywa kwa mtazamo mwingine kabisa na huwa zinakuwa na lengo la kuikumbusha serikali au watawala juu ya mambo fulani fulani. HARAKATI haiwezi kugeuzwa kuwa ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…