Leo nimekutana na graduate wa ualimu asiyejua maana ya curriculum

dogman360

Senior Member
Oct 15, 2018
138
216
Kuna jamaa yangu mmoja aligraduate mwaka jana chuo. Mwezi wa Oktoba akaomba kazi kwenye shule moja ya kimataifa Arusha. Wakati wa usaili, aliulizwa kama ana uzoefu wa kufundisha international curriculum.

Akajibu “yes.” Wakamuuliza tena aseme specifically, “Which curriculums can you teach?”

Akajibu, “O-Level and Advanced Level.”
 
Ok wewe mjuvi Leta jibu hapo
Screenshot_20241211-130228.png
 
Kuna jamaa yangu mmoja aligraduate mwaka jana chuo. Mwezi wa Oktoba akaomba kazi kwenye shule moja ya kimataifa Arusha. Wakati wa usaili, aliulizwa kama ana uzoefu wa kufundisha international curriculum.

Akajibu “yes.” Wakamuuliza tena aseme specifically, “Which curriculums can you teach?”

Akajibu, “O-Level and Advanced Level.”
Labda wewe ndio umemtamkia "kulikuli"
Akajua ni lugha ya kigeni.
😂😂😂Natania.
 
Haya mambo ya kawaida, kuna baadhi ya vitu tukiwa chuo huwa tunameza kama vilivyo.

Ukifika kazini sasa ndo unaona implications zake, uzoefu na mafunzo kazini huwa unaboost sana utendaji bora wa kazi wa watumishi wengi.
 
hawa wanafunzi wa siku hizi ni shida tupu. unakuta mwanafunzi wa chuo kikuu amekunja daftari ameweka mfuko wa nyuma wa suruali. wanafunzi wa universities kwa sasa hawana tofauti na wa O level
 
Mbona hata wewe na utoaji wako wa taarifa unaonekana siyo competent.
 
Haya mambo ya kawaida, kuna baadhi ya vitu tukiwa chuo huwa tunameza kama vilivyo.

Ukifika kazini sasa ndo unaona implications zake, uzoefu na mafunzo kazini huwa unaboost sana utendaji bora wa kazi wa watumishi wengi.
Kabisa mkuu watu wapewe nafasi
 
Kuna dogo alikua anapiga sana theory pale chuo...
Sasa bana tukapangiwa field sehemu moja...
Daaah jamaaa alikua shallow kinoma an hamna kitu kabisa, hamna kazi kabisa aiseee jamaaa adi nikawa mimi ndo namsaidia wakati ki chuo chuo jamaa alikua anaongoza GPA kali...

Ila mpaka sasa huwa ananicheki ana nipa vyeo vyangu...
Ananipa vyeo kama anavyonipa Vishu Mtata baada kusikia nakula sana mashangazi
 
Wahitimu wengi wa ualimu hawajui kuhusu curriculum za kimataifa (International curriculum). Nadhani ni muda sasa TCU kuanzisha program ya Bachelor of Education in international Curriculum.
 
Back
Top Bottom