The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Hamas Suhail al-Handi: amesema
"Tuko tayari kuwaachilia mateka wote kwa sharti kwamba vita viishe, vivuko vifunguliwe, na Ukanda huo ujengwe upya.
Tunakataa masharti ya Netanyahu na Trump kuhusu kupokonywa silaha zetu na kufukuzwa kwa watu wakuu wa Hamas kutoka...
Ilikuwa hivi.
Hawa madem wanaotafuta kudanga akanikuta dem mweusi , mzuri si haba.
Akaomba akae na mimi nikampa green card akakaa. Akawa anakunywa kinywaji chake baki. Kumbuka alikuwa akinywa.
Tukakaa akawa anataka apewe kwa bili yangu. Akaletewa. Akawa amelewa flan akacheza sana mziki...
Marafiki wanutotoni Wana sifa zifuatazo:-
1. Wenye wivu mkali japokuwa hawana unafiki, ukifaulu masomo watakuambia unaringa.
2. Ni wachomaji wakubwa, yaani rafiki yako anaweza kumfikishia taarifa zako mwalimu ili tu uchapwe wafurahi.
3. Wanafurihia matatizo ya wengine kwa mfano ukichapwa basi...
Hata kabla hujafungua kinywa au hata kabla simu yako uliyopiga haijapokelewa, tayari unaonekana unataka kutaja shida usizoweza kuzitatua sababu ya kukosa pesa hivyo unataka kuomba msaada,
Ukiona watu wanapita kama vile hawajakuona, wanajifanya kuwa bize kuongea na simu, n.k. hesabia...
Nimekaa na huyu dada muda mrefu toka asubuhi. Tunapiga stories n.k akasema anajisikia baridi.nikamwambia basi nizime AC akasema hapana nimkumbatie.
NIkamkumbatia.basi akaanza kama kulalamika kama mtu anayesikia maumivu kwa ndani anajinyonga nyonga....akanichukua mkono....kuupeleka sehemu zake...
Jana night nikatoka na chaguo la moyo tubadili hata dinner tuupumzishe ugali dagaa kidogo, hao tukaenda kiwanja fulani jina kapuni kwa ajili ya kulinda brand.
Tukiwa tunaingia pale tunaangalia wapi pa kukaa ukizingatia ni sikukuu watu ni wengi karibia kila meza imejaa wadau, ghafla mbele yetu...
Ndugu Mufti Zubeir
Kwa muda mrefu umezungumzia sana suala la amani nchini lakini huwa huzungumzii Haki, Pamoja na ujumbe wako wa amani hata hivyo kutokuzungumzia haki kunaufanya ujumbe wako upwelee.
Dini ya Kiislamu inataka amani lakini inakataza dhulma. Mafundisho ya kiislamu yanasema kuwa...
Hapa kuna makundi ya wahamiaji yenye mafanikio zaidi nchini Marekani, kulingana na kipato, elimu, na taaluma:
1. Wahindi wa Amerika
• Kipato cha Kati cha Kaya: ~$150,000 (cha juu zaidi)
• Elimu: ~79% wana shahada ya kwanza au zaidi
• Taaluma: Sayansi ya kompyuta, tiba...
Kuna principle inasema to every rule there is always an exception, hata kwenye kundi linalosifika kuwa wasumbufu wapo waliotulia mpaka utashangaa na katika wale wanaojulikana wametulia wapo ambao ni wasumbufu pasua kichwa, kwahio haimaanishi ni wote.
kwanini wanawake wa makabila haya wanaongoza...
Amani iwe nanyi Wanabodi,
Kwa miaka mingi sana tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi, moja ya mbinu ambayo imekuwa ikitumiwa na CHAMA CHA MAPINDUZI ili kuendelea kubaki mabarakani ni kununua Viongozi wa vyama vya Upinzani na kuwatumia kama Mapandikizi yao.
Viongozi hawa wa vyama hivi vya...
Bi sagrada samahani kwa yote sikuwa nimekuona kwa karibu !! Na sasa nimekuona nimegundua unahitaji mapenzi ya kweli kutoka kwangu !! Achana na siasa njoo huku tutafute familia !! Siasa ni mchezo mchafu inakutumia kisha inakutelekeza !! Siasa Haina usawa haioni thamani ya mtu mpaka ufe ndio siasa...
Yu wapi Nyani Ngabu ?huyu jamaa miaka yake amekula sana watoto wa humu. Akija TZ toka Marekani anakobeba mabox anarudi na Dollar. Anawakwangua sana mabinti wa JF. Amekuwa kimya siku hizi.
Angalau leo nimemsoma GuDume hatari sana hii namba. BABU CHAFU. huwa nacheka tu napomsoma. Leo nimemsoma...
Moja ya mambo ambayo ccm waga haivumilii ni kuona mwanachama anakengeuka na kwenda kinyume na makubaliano ya chama, ni mwanachama kuondoka mwenyewe kwenye chama au kufukuzwa uanachama.
Makala kwa kujua weakness ya CHADEMA na kutokana na boko lake la ebola, sasa wanataka kutumia baadhi ya makada...
Watanzania wana akili sana, inategemea unakujaje, utakavyokuja ndivyo utakavyopokelewa, anachokitafuta Mwamposa atakipata
Aposto amekuwa mtu wa kurusha sana vijembe kwa Watanzania, jambo linaloleta mtafaruko mkubwa sana ndani ya fikra za watu
Nina uhakika hili fukuto litakwenda kummaliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.