sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi mnafahamu wenzetu wanamaisha ya raha sana unaweza kuishi na jirani wala usimfahamu kuwa ni kiongozi

    Wenzetu wanamaisha tofauti na huku afrika.Unaweza kupishana na kiongozi mkubwa mtaani wala usimjue kabisa. Wenzetu wamejijengea kutofautisha kazi na nzengo. Sio wote ambao wanafanya hivyo ila wengi wao wanataka kuishi hivyo. Kuna vyeo vinaweza kukufanya kuwa tofauti ila vyeo vingi kwa wenzetu...
  2. JamiiForums Tanzania Ila wakinga mna sifa sana

  3. JamiiForums Tanzania Mfumo wa Usalama wa Tanzania una kasoro na unatakiwa kugawanywa na kuboreshwa kwa sasa ni kama umekwama kabisa.

    Tuseme ukweli hii idara kama hakuna kitu imebaki kama ilivyounda tokea kupata uhuru. Ni kama idara iliyochakavu hakuna jipya wala mapya. Idara ya usalama imebeba mambo ya kizamani sana na mtindo wa kizamani kwa dunia ya sasa hakuna idara kama hizi. Leo mataifa yenye kulinda nchi idara ya...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna mambo yana chekesha sana ;Iran ya sasa iwezi kutanganza wala kuonesha huyu ni kiongozi wa sasa.

    Tumeshuudia kila kiongozi wa iran aliwahishwa haraka kupokea mabikra 72. Kwa sasa nchi ya irani inaogopa hata kutangaza huyu ni kiongozi gani maana kwa mashambulizi wanayo pokea mpaka nyumbani kwao na familia zao wameona kuishi kwa mtindo giza.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ni hivi: Kwa waluga-luga, Dar-Es-Salaam ni kamji kadogo sana!

    Watoto wa Dar wanajuana amini usiamini. Huwezi jua hayo kama sio mzawa wa Dar. Kaazi kweli kweli
  6. M

    JamiiForums Tanzania Aibu wameona wao, mabosi wanaochangia tone kwa tone wana imani kubwa sana na Heche, wamuomba Heche atoe account binafsi nje ya shughuli za chama

    Baada ya Heche kutengenezewa script na watu wanaodhani anawachelewesha "kulamba asali," wakaibuka na propaganda ya kumchafua wakidai kuwa anakula michango. Kilichotokea ni tofauti kabisa. Maboss wa Tone kwa Tone, ambao ndio wachangiaji wakuu, hawakutikiswa hata kidogo na hizo script. Badala...
  7. JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana kupata mwekezaji wa USD Billion 17 wa kujenga kiwanda cha kuongeza thamani ya rasilimali za Afrika

    Ni ngumu sana kupata mwekezaji atakajenga kiwanda cha kuongeza thamani ya madini na rasilima zinazochimbwa afrika Kama nchi kuna sehemu tumekosea unamkataaje mwekezaji wa usd billion 17 sababu tokea tupate uhuru hakuna mwekezaji ambaye amewekeza kwenye kiwango hiki cha fedha Na anachojenga...
  8. JamiiForums Tanzania Swaga za Babu Tale zinafikirisha sana. Nachoooka Kabisa.

    Ana swaga zake hivi yaani ndo hivyo. Swaga za Kitanga hizi. https://www.instagram.com/reel/Dapa3hCMdE8/?igsh=MmtzZDNjMnl5cDU2
  9. JamiiForums Tanzania Prof. Deogratus Kisandu Aka Civilian Coin anaongea kwa Code kali sana. Kama huna F mbili huwezi mwelewa

    Huyu jamaa nakumbuka alitaka-ga kumwoa mtoto wa Obama. Nadhani ni CIA au FBI ndo walimfanyia mtima nyongo. Sasa kuna pesa kama Bilion 2 alitumiwa watu wamepita nazo na pia 80 million yake wamegawana watu wakubwa sana nchini pamoja na wakuu wa shule wote nchini. Kuna Wachaga na Makanisa...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna unyakuaji mkubwa sana wa Aridhi unakuja ambao haujawahi shuhudiwa tangu vizazi na vizazi. Viji

    Mwaka jana nilisema baada ya Uchaguzi kuisha kutajuwa na zoezi kubwa sana la kunyakua Aridhi na kukabidhi Wazungu na Waarabu. Sana Waarabu. Wilaya kama Longido inaweza poteza robo hadi nusu ya Aridhi yake kwa Waarabu, Hawa wanataka wainganishe na Loliondo. Simanjiro inapunguzwa sana na kupewa...
  11. JamiiForums Tanzania Unadhani Makamu Mwenyekiti wa chadema taifa anaweza kua anapitia hali gani kisaikolojia baada ya tuhuma zake za ufisadi kutrend sana mitandaoni

    Je, anapata usaidizi wowote maalumu wa kiafya kutoka kwenye idara za chama chake kulingana na nafasi yake chadema taifa, na kutokana na maoni mseto yanayoenezwa mitandaoni dhidi ya tuhuma za ufisadi wa fedha za chama zinazomkabili? Kwa maoni yangu, licha ya familia yake kumtia moyo, nadhani...
  12. JamiiForums Tanzania Mwana FA angeendelea fujo ingetokea ni bora alisitisha, tujitafakari sana

    Nimepata hofu sana, Kwa Nini lakini tumefika huku, kweli mazungumzo ya kisiasa ni muhimu? Kwenye show isio husu siasa?, Kuna chupa zinge rushwa wallah, safi sana muheshimiwa Kwa. Kuliona hilo
  13. JamiiForums Tanzania Hivi hii nyimbo ya Oya Mr. Dj Nipoze Moyo Dj naisikia sikia inapigwa sana muda huu kaimba nani?

    Anasema, Hapo kwa juu kwa moyo panakwangua Kwenye ubongo kuna ka -kitu kanasugua Haki ya Mungu lile likenge lingeniua Si angesema ka -anauza ningenunua Oya Mr. Dj Nipoze moyo Dj Ongeza sauti Dj Nitakutunza Dj Hii nyimbo kaimba nani wakuu? maana naisikia kwa mbali kweli Naomba kufahamu jina...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ngoma ya AliKiba mac muga ilikua na video iliyokua mbele ya muda sana

    Kuelekea miaka 30 ya bongo fleva kuna baadhi ya ngoma zilikua mbele ya muda sana ukiachana na ngoma ya alikiba mapenzi yana run dunia ila video ya macmuga ilikua kali mno kwa kipindi hicho kwanza mandinga ya kwenye video yalikua hot 🔥 pia location director Ali fanya makubwa mnoo...
  15. JamiiForums Tanzania Kipekee sana Rais Samia anaweka alama nyingine ya maendeleo nchini kwa ujenzi wa shule 103 za Amali

    Hii ni historia nyingine muhimu sana kwa Rais Samia kwa kuweza kufanyia kazi wazo la kimaendeleo katika huduma za jamii. Ukiondoa alama nyingine muhimu sana ya ujenzi wa majengo ya huduma za dharura yaani Emergency Medicine Departments katika vituo zaidi ya 100 vya huduma za afya leo hii...
  16. JamiiForums Tanzania Kama ungewahi ungepona...... Kama ungewahi ningekusaidia..... ni Moja kati ya maneno yanayoumiza sana

    Kuchelewa ni adui mkubwa wa mafanikio na afya. Watu wengi wameponzwa na kusema "baadaye". Nitaenda baadaye hospitali, baadaye nitaomba msaada, baadaye nitaomba, baadaye nitarekebisha mahusiano yangu. Lakini "baadaye" nyingi huwa haziji. Unapokutana na shida ndipo unakumbuka watu na fursa...
  17. JamiiForums Tanzania Nilipanda basi la usiku kulekea Bukoba, nikalala mapajani kwa mkaka, nilienjoy sana

    Utamu wa safari za usiku kwa kutumia mabasi "Nilisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Bukoba kwa basi. Tuliondoka stendi majira ya saa 10 jioni. Bahati nzuri nilikaa siti moja na kijana aliyekuwa mwenye upole na mwenye sura ya kuvutia. Baada ya usiku kuingia, nilisinzia. Akiwa anaona nimelala...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana. Mzazi anahangaika kusomesha mtoto na pia anahangaika kumpeleka Sober house

    Nasema hiki ndio kizazi cha hovyo kabisa kutokea tangu kupata uhuru. Wazazazi wanapaswa kuwa na bajeti ya kusomesha na bajeti ya kupeleka mtoto sober house Inasikitisha sana.
  19. JamiiForums Tanzania Huu picha ina maana kubwa sana kiroho, ama kweli hela ngumu

    Upindeeeee
  20. JamiiForums Tanzania Mzigo wa Kujua Ukweli wa Dunia

    Katika ulimwengu huu wenye siri na mambo machafu, omba Mungu sana kwako yasionekane. Omba Mungu uwe normal kama watu wengine, usiwe na uwezo wa kujua nini kiini cha maumivu, mateso, majivuno, chuki, na dhana potofu zinazo tawala huu ulimwengu. Haihitaji kusoma, ila tu ni mipango ya muumba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…