cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 325
- 1,130
Naomba mawasiliano ya watajwa hapo kwenye majina yaliyoorodheshwa,wanatokea mkoa wa Ruvuma Songea....mimi ni rafiki yao lakini kama ndugu yao pia... vijiji ndio ivyo tajwa ,kama kuna ndugu yako hapa naomba mawasiliano tafadhari sana,na kama utahitaji kujua kwanini nawatafuta naomba tuwasiliane dm nitakupa A,B,C,nawasilisha najua mtanipa ushirikiano, Asanteni sana