samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. HesabuKali

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uteuzi wa Mawaziri na Viongozi wengine utakavyopunguza hasira za Watanzania na kurudisha imani hata robo kwa Rais Samia

    Inafahamika wazi kabisa watu wengi hawaitaki hata kuisikia Serikali iliyopatikana baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 na kumsimika Rais Samia hali iliyopelekea maandamano yaliyosababisha maumivu makubwa. Kama Rais Samia anataka utulivu hata wa asilimia 10 tu basi wafuatao asijaribu hata kwa...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ian Khama: Simtambui Samia kama Rais wa Tanzania sababu uongozi kaupata kwa mauaji na ukandamizaji wa wananchi

    Katika kongamano la African Renaissance lililofanyika Lukenya University nchini Kenya, Rais wa zamani wa Botswana, Ian Khama, alitoa kauli yenye mguso akisema “hamtambui Rais Samia Suluhu Hassan kama kiongozi halali wa Tanzania.” Alieleza kuwa uchaguzi wa mwaka 2025 ulitawaliwa na vitisho, vifo...
  3. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Samia na Kikwete wataamka lini toka kwenye usingizi wakabiliane na uchafu wao kisayansi badala ya kujitoa ufahamu?

    Tangu Samia CCM na Jakaya Kikwete walikoroge, wamegeuka mabubu na viziwi. Je, hili ndilo jibu au wanakoleza moto wasijue wataumia na kuumiza taifa letu? Tuwasaidieje? Eti Nchimbi anaongelea majadiliano na maridhiano. Nani anajadiliana na kuridhiana na nani wakati walio'vuruga' taifa letu ni...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Samia " Hakuna Nywinywimywi" imeishia wapi ?

    Badala ya kusikiliza ushauri kiburi cha ajabu cha huyu Mama kimetufikisha hapa. Halafu machawa bado wanataka kumtetea badala ya kujali taifa!!!
  5. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Wazo Fyatu: Jaribio la Kumkinga Samia Linaendelea - Tutarudi Tulikotoka?

    Na. M. M. Mwanakijiji Tanzania tuliyoijua kabla ya Oktoba 29, 2025 haipo tena, haiwezi kuwepo tena, na hata tukiitaka kwa machozi hatuwezi kuipata tena. Tanzania iliyojivunia “umoja na mshikamano” na “amani na utulivu” imetoweka kama ukungu wa alfajiri na kama umande wa asubuhi imeyeyuka. Siyo...
  6. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Ansbert Ngurumo (Video): Mlipata wapi kura 32,000,000 za Samia?

    https://youtu.be/a3x3e1QFasQ?si=WxGatqMY68D7RZ8v Hili ni swali la Ansbert Gurumo kupitia Youtube Channel yake (SK Media Online TV) Na huyu hapa 👇🏻👇🏻ni mmoja wa watazamaji wake waliotoa maoni yake akijitambulusha kuwa yeye alikuwa msimamizi wa kituo cha kupigia kura huko Shintanga, Manispaa ya...
  7. Judi wa Kishua

    JamiiForums Tanzania Huyu mzanzibari Haji Omar Kheir swaiba wake Samia awe wa kwanza kuwajibishwa kwenye mauaji ya October 29. Tuanze na huyu!

    https://youtu.be/HxhQsqOlugM?si=S5Qr178OFL9BN_5w Mzanzibari, Haji Omar Kheir swaiba na mshauri wa Samia kwenye masuala ya kisiasa aingie kwenye orodha ya wataowajibishwa kwenye mauaji ya maelfu ya watanzania yaliyofanywa na serikali. Hakuna wa kusamehewa hakuna kusahau. Lazima avae karoti!!
  8. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania Inaweza Kupata Amani Chini ya Samia? Uchambuzi Mpana Baada ya Oktoba 29

    Tarehe 29 Oktoba 2025 imebaki katika kumbukumbu za Watanzania kama siku iliyogeuza mwelekeo wa taifa na kufichua wazi ukubwa wa mgogoro wa kisiasa uliokuwa ukijengeka kimya kimya kwa miaka kadhaa. Siku hiyo, badala ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu kama ilivyotangazwa, taifa lilishuhudia machafuko...
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tazama muhtasari wa matukio muhimu aliyoyafanya Rais Samia Suluhu Hassan kuanzia 03 - 09 Novemba 2025

    #IkuluWIkiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii. 📆
  10. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Wananchi wabubujikwa machozi ya furaha kwa ushindi wa Samia; Kila kona ni shangwe na vifijo

    Nani kama Samia? Mtachonga sana. Tunazidi kusonga mbele katika kazi na utu. Maelfu ya watanganyika wanafurahia ushindi wa maajabu wa Samia. Ushindi wa kihistoria. Nimepigiwa simu na ndugu yangu wa Kishimundu anatokwa machozi ananiambia ana siku ya tatu hajala anajigaragaza kwenye michanga kwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia si muuaji, ni baadhi diaspora wa Tanganyika waishio Ulaya

    https://www.facebook.com/share/v/17qxXJt2YN/ kuna video nyingi sana, huo mfano mmoja. Msikilizeni huyu dada, anaelezea kwa kirefu kiasi gani maandamano yalivyoandaliwa na baadhi ya diaspora wa Tanganyika ili kuiangamiza Tanzania, kisha lawama yote amepewa samia na kmkm, na watu kuwa na visasi...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ni hakika anguko la Samia limefika. Manabii wamemuonya lkn hakusikia.

    Manabii toka enzi na enzi wamekuwa wakiwaonya viongozi kwa mujibu wa biblia kama inavyosomeka hapo juu. Hivyo kufumbia macho mauaji na ufisadi ni mambo ambayo yamesababisha viongozi wengi duniani mwisho wao kuwa mbaya.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Samia, kamatakamata ya Chadema na watanganyika, hao uliowaamini wanakuharibia. Kama crooked dictators walianguashwa, wapambe watakuangusha

    Nakushauri kwa nia njema ti komesha kamatakamata ya watu. Hawa wapambe , machawa wanakutafutia anguko!
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kilichomharibia Rais Samia ni namna alivyoanza baada ya kifo cha Magufuli. Anaweza kurekebisha, anayo nafasi

    Utawala wa awamu ya 5 wa Mh. Magufuli ulijaa futuhi, propaganda na ukatili wa kila aina. Alipambwa na vyombo vyote vya habari kwa hofu kuu. Mpaka wakaiita serikali yake ni serikali ya viwanda ilhali ndiyo serikali iliyoua channel ya ukuaji wa viwanda. Upotevu wa fedha usio wa kawaida ulioonekana...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Damu za watanganyika zitalipwa tu, haitajali ni miaka mingapi. Kisasi chetu ni lazima, Samia achia madaraka, na Abdul jisalimishe

    Kila mahali kwenye vikundi vya whatsapp, kuna vilio vimetanda, kila familia imepoteza angalau mtu mmoja kama siyo zaidi ya moja. Wengine wamepoteza watoto wawili, wengine familia nzima imepigwa risasi, wengine mama na mtoto mdogo wa miaka wa miaka 2 wamepigwa risasi vichwani bila sababu.....Hao...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Samia Sasa Haongozi nchi, KAZI yake sasa ni Kulinda Uraisi Wake

    Sasa hivi serikali ya Samia haifikirii chochote kuhusu maendeleo ya nchi na watu wake, sasa KAZI kubwa na pesa kubwa imeelekeza katika Kulinda Uraisi Wake ambao anahisi kuna watu wanataka kuuchukua ikiwemo Tulia na Majaliwa. Nina hofu kubwa sana juu ya mustabadhi wa nchi hii, kwasasa ni kweli...
  17. PAYE

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa Mungu: Samia ukiendelea na Urais unaenda kufa, maana hana kibali cha Mungu

    Mtumishi wa Mungu amesema "Samia ukiendelea na Urais unakwenda kuuawa, utaondolewa: Mungu kakukataa”
  18. U

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ansbert Ngurumo: Ilikuwa lazima tuue watu ili kuhalalisha Urais wa Samia? Maneno mawili tu yatatuliza hali sasa: Poleni na Tumekosea!

    https://youtu.be/XspoH80_PEY?si=lLo0g68b3JeBsIHs 1. Hivi kulikuwa na ulazima gani kuondoa uhai wa maelfu ya vijana ili kuhalalisha utawala na Urais wa Samia na CCM yake huku akiwa tayari ana ushindi wa 99% hata kabla kura hazijapigwa? 2. Vijana hawa walianza kuandamana kwa amani, wakishangalia...
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Godwin Mollel: Wanaovuruga amani wanataka kutusahaulisha makubwa aliyofanya Rais Samia

    Dkt Mollel ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari ambapo ameleleza kuwa watu wanaotaka kuvuruga Amani wanataka kutusahaulisha mambo matatu muhimu makubwa ikiwemo kazi kubwa iliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu ndani ya miaka minne ya...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Why Samia Anaiogopa Ikulu ya Dar?, je ndo rasmi Serikali imehamia Dodoma

    Kumekuwa na malalamiko muda mrefu kwa matumizi makubwa ya pesa za Umma toka ikulu ihame dae kwenda Dodoma, Kwani Rais Samia alipendelea sana kufanyia kazi ikulu ya Dar kuliko ile ya Dodoma, hivyo kusababisha viongozi wengi wa serikali kulipwa pesa za safari nyingi. wanapokuwa ikulu ya Dar. cha...
Back
Top Bottom