samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya teuzi za Mwenyekiti CBE na Mjumbe Baraza la Ushindani

    Rais Samia amemteua Prof. Eleuther Anthony Mwageni kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara(CBE). Uteuzi umeanza Juni 7 Pia amemteua Dkt. Neema Bhoke Mwita kuwa mjumbe wa Baraza la Ushindani (Fair Competition Tribunal). Uteuzi unaanza Juni 8, 2021 Dkt. Mwita amechukua nafasi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia, hili la wagonjwa kulipa wakati wa matibabu litasababisha vifo vingi

    Rais Samia ameshauri uwepo mpango mzuri ili kutozuia maiti kwenda kuzikwa. Ameenda mbali na kushauri kwamba wagojwa walipe gharama wakati wa matibabu ili kupunguza mzigo akifariki. Naomba nimshauri Rais wetu: 1. Wagonjwa watibiwe tu ili wapone. Ukiaamrishwa walipe wakati wakitibiwa kutawafanya...
  3. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Hali ni tete Uganda, Corona yashika kasi tena kupelekea shule kufungwa. Rais Samia Hassan aharakishe chanjo

    Habari wadau..! Taarifa zinasema hali ya uviko 19 nchini Uganda imezidi kushika kasi kwa siku wanareport wagonjwa 500. Shule zimeanza kufungwa tena vifo vimeongezeka maradufu katika hii phase ya pili ya Corona nchini Uganda. Kwa niaba ya watanzania wazalendo naomba mheshimiwa rais Samia Hassan...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna watu wanadhani Rais Samia yupo Ikulu kalala, kwa sababu walizoea 'show-off' na kelele

    MAMA SAMIA ANAFANYA KAZI, MSIDHANI KALALA IKULU. Na, Robert Heriel Kuna watu wananifurahisha sana, yaani ukiwasikiliza ni kama wachekeshaji fulani hivi ambao hawajatambua vipaji vyao. Wapo wanaosema Mama Samia hafanyi kazi, wapo wanaosema nchi inaongozwa na JK, wapo wanaosema Rais ni Mpole...
  5. JamiiForums Tanzania Kilosa: Rais Samia afuta mashamba 11 na kufufua 49

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameshusha neema kwa wananchi wa Kilosa kwa uamuzi wa kufuta jumla ya mashamba 11 yenye ukubwa wa ekari 24,119 katika wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro na kugawiwa kwa wananchi kwa ajili ya shughuli za kilimo, ufugaji na uwekezaji...
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA hawastahili kupewa hata Serikali ya kijiji

    Habari wadau! Hawa CHADEMA ni watu wa ajabu sana, walianza na harakati za kumshusha Sabaya wamefanikiwa kumchafua kisiasa na sasa kesi ipo mahakamani. Leo wanataka kumshusha Diamond Platinumz kisa kuunga mkono CCM kwenye uchaguzi wa 2020. Haya yote ni matokeo ya visasi yaani hawana uvumilivu...
  7. JamiiForums Tanzania Ilichofanya TAMISEMI ndio demokrasia ya kweli kwa sasa, Shukran Ummi Mwalimu na mama Samia

    Dah!! Haya mambo tumeyazoea kuona kwenye nchi kama Marekani, Uingereza n.k Kitendo alichofanya huyu dogo Josephat kama ungekuwa utawala wa mwendazake sasa ungekuta wazazi wanamtafuta huyu kijana. Kwanza angepotezwa kwa kuidhalilisha serikali bila kusikilizwa hoja zake,angepigwa na kuvunjwa...
  8. JamiiForums Tanzania Asante Maxence Melo kwa kumuomba Rais Samia Suluhu Hassan Katiba Mpya LIVE

    Kwa heshima naomba nkuvulie kofia niliyovaa wakati huu naandika huu uzi. Wakati historia inaandikwa juu ya upatikanaji wa katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Maxence Melo tutamtambua kama prominent figure wa kwanza kabisa kutoka hadharani na kumuomba Mheshimiwa Rais Mama yetu...
  9. JamiiForums Tanzania Raisi samia Suluhu Hassan tumwache aifanye kazi yake kwa amani, vinginevyo tutajikwamisha kwa namna hii

    Sasa hivi katika mitandao ya kijamii Kuna kundi ambalo linaweka mijadala mingi ya kumlinganisha Raisi huyu utendaji wa Marehemu Magufuli Hili kundi linaongozwa na Veronica France Ni kama kundi hili lipo kinyume,halijaridhika kuona Samia Suluhu akiwa raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hospitali za Rufaa za Mikoa zinakufa

    Niliwahi kuandika mwaka 2016 kumsihi Mheshimiwa Rais Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli kwamba asizihamishe Hospitali za Rufaa za Mikoa kutoka TAMISEMI kwenda Wizara ya Afya, kwa sababu Hospitali hizi zilinufaika zaidi kiutawala zilipokuwa chini ya TAMISEMI...
  11. JamiiForums Tanzania Wazee wa Madrassa wampiku Mama Samia Suluhu?

    Leo nimezikuta habari za Mzee wa Madrassatul Abraar ambae pia ni member wa JF kwenye group la kuwezeshana ujenzi zilizonifurahisha sana na nikajiuliza, hawa wazee wa Madrassa wamempiku hatua moja Mama Samia Suluhu? Mama Samia Suluhu juzi alipokuwa akiwaapisha Makatibu Tawala alisema "asilimia...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Azory Gwanda watuma barua kwa Rais Samia Suluhu Hassani

    04 June 2021 Baada ya kauli za kupingana kati ya ile ya waziri Prof. Palamagamba Kabudi wa serikali ya Tanzania alipohojiwa na BBC Swahili na ya msemaji wa Mkuu serikali ya Tanzania Dr. Hassan Abbas kuhusu kutoweka kwa mwandishi wa habari Azory Gwanda hapo mwezi November 2017. Msemaji wa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kumsaidia Rais Samia katika kuirudisha Tanzania katika Misingi ya Haki

    Ni ukweli ulio wazi ya kua Nchi yetu pendwa Tanzania ilikuwa inadidimia kwa kasi katika ktk suala la haki za raia wake. Mathalani ilikuwa imekua vigumu kwa watu kupaza sauti zao hata katika mambo yaliyo wazi kabisa kama wananchi kunyanyaswa, wafanya biashara kuonewa, wafanyanyakazi kutoongezewa...
  14. JamiiForums Tanzania CCM wameanza kuumizana wao kwa wao

    Hatmaye CCM wameanza kuumizana wao kwa wao "kiukweli-ukweli!" Nasema kiukweli-ukweli kwa sababu kabla wana CCM walikuwa wakiumizana huku waki-fake kuumizana kwao kwa dhana ya "huyu ni mwenzetu." Leo, kidume na kijana aliyelelewa ndani ya chama,kadhalilishwa bila kujali ukada wake.Inafikirisha...
  15. JamiiForums Tanzania Mama zetu wana thamani kubwa kwenye maisha yetu

  16. J

    JamiiForums Tanzania Sugu: Ukiweka siasa pembeni, nampenda Mama Samia

    Mbunge mstaafu wa Mbeya mjini kupitia Chadema mh Mbilinyi aka Sugu amesema hata tukiweka siasa pembeni anamkubali na kumpenda mama Samia, mh Rais wa JMT.
  17. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia leo Juni 03 amepokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais Kagame wa Rwanda

    Wasau wa JF, Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo Juni 03 amepokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mheshimiwa Paulo Kagame. Katika ujumbe huo uliowasilishwa na Mjumbe maalumu...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Makinikia kusafirishwa nje ya nchi iliruhusiwa utawala wa Hayati Magufuli, Rais Samia analaumiwa bure

    Kumekuwa na mshtuko watu kusikia makinikia kusafirishwa nje ya nchi wakati msimamo wa awali ilikuwa kujengwe kinu hapa nchini na watu kumlaumu Samia kuwa kaharibu, lakini Magufuli ndio aliingia makubaliano mapya na Barrick na makubaliano hayo hayawalazimishi kuchenjua makinikia hapa nchini...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia, kana una nia ya dhati dhidi ya uovu, wengine hawa hapa wanaoshutumiwa kwa uhuni, ufisadi na dhulma

    INAMPASA MMOJA AFE KWA AJILI YA WENGI? HAPANA WAFE WOTE WENYE DHAMBI. (JE, OLE SABAYA AMETOLEWA SADAKA?) Tunashukuru kwa hatua uliyoichukua dhidi ya Sa baya. Huyu alikuwa na makando kando mengi nyakati za utawala wa Hayati John Pombe Magufuli(Dhulma, Matumizi mabaya ya Uongozi, Ufisadi n.k)...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini kuweka mifumo imara nchini kunaogopwa?

    Mwendazke na uzalendo wake wote hakutaka kuweka mifumo kabisa ndo maana kwa sasa kila kitu chake kishapinduliwa. Mama na yeye haelekei kujenga mifumo bali anafuata nyayo za mwendazake, Je ni kitu gani wanaogopa? Kwanini hawataki kuweka mifumo? Mama anaweza kuacha legacy ya kuwa Rais pekee...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…