samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Natangaza rasmi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan

    Amani iwe nanyi wana JF! Mwaka 2017 nikiwa mwanachama wa CCM niliamua kuacha kukiunga mkono Chama cha Mapinduzi baada ya kugundua kuwa sera zake chini ya aliyekuwa Rais JPM sizingetufikisha popote kimaendeleo kama Taifa. Sera za kukumbatia uchumi wa kijamaa wa kutaka serikali ndo ifanye...
  2. Freeman Mbowe: Rais Samia Suluhu anateswa na kivuli cha Magufuli

    Kwa wasiojua kiswahili .
  3. Naomba kueleweshwa: Wapinzani wanapambana na Hayati Magufuli au Rais Samia?

    Kila nikitazama mijadala kwenye mitandao ni kama wapinzani bado wapo kwenye mapambano na hayati Magufuli. Rais na mwenyekiti wa sasa wa CCM mama Samia ni kama hawana tatizo naye, anawakosha sana na wanamtumia kuwaumiza wafuasi wa Magufuli. Kwa wataalam wa siasa hii ina maana gani kwa siasa za...
  4. Rais Samia kukutana na viongozi wa Vyama vya Siasa

    Rais Mama Samia Suluhu ametangaza atakutana na kuzungumza na vyama vya Upinzani chini. katika kujenga muktadha wa demokrasia nchini.
  5. Uhutubiaji wa Rais Samia ni kutoka kufokewa hadi kushawishiwa

    Ukweli Ni kwamba Sasa tunapata vionjo tofauti kabisa katika hotuba za Samia. Kwa kweli sionglei kabisa maudhui ya liyomo kwa hotuba za Samia, kwa leo naongelea tu Uhutubiaji wa Samia, kuwa anahutubia kiungwana Sana, kwa lugha ya kushawishi zaidi yenye maneno yenye staha,Radha nzuri ya...
  6. Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. UPDATES: Rais Samia ameshaingia ndani ya jengo la bunge na sasa Spika wa Bunge Job Ndugai anafuata taratibu za kiitifaki kabla ya Rais kutoa hotuba yake. HOTUBA YA RAIS...
  7. Ratiba ya Bunge, Rais atakapohutubia Aprili 22, 2021

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA NA. MUDA SHUGHULI MHUSIKA 1. 3:00 – 5:00 Asubuhi Kikao cha Bunge Spika/Katibu wa Bunge 2. 5:00 – 8:00 Mchana Shughuli za Kiutawala Ukumbini Katibu wa Bunge/Chief of Protocol 3. 8:00 – 9:00 Alasiri Waheshimiwa Wabunge na...
  8. J

    Wazanzibar walianza kumiliki Runinga kabla ya Tanganyika, tutegemee maendeleo makubwa kwa Rais Samia

    Katika issue ya maendeleo wazanzibar waliwahi tena ni " wajanja" kuliko Watanganyika. Wakati sisi tunasimuliwa mambo na wanasiasa wa zama zile Wazanzibar walikuwa wanayashuhudia kwa macho Runingani. Kadhalika katika swala la kujiamini wazanzibar wanajiamini zaidi kuliko watanganyika ndio...
  9. M

    Kuelekea Rais Samia kulihutubia Bunge: Barua ya Wazi kwa Spika wa Bunge Job Ndugai

    Mheshimiwa Spika, Nakusalimia kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Natambua leo ni siku ambayo rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan analihutubia Bunge la nchi yetu. Na mimi kama mwananchi nimelazimika kukuandikia barua hii ili kwayo uweze kutafakari, pengine itakusaidia wewe katika...
  10. I

    BAWACHA: Rais Samia asiwatambue Wabunge 19 wa Viti Maalum waliofukuzwa uanachama CHADEMA

    Katika mkutano huo, Catherine Ruge amesema: Tumeona kwenye vyombo vingi vya habari kuwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassani anaenda kulihutubia Bunge tarehe 22 -04-2021 kwa mara ya kwanza tangu alipoapishwa kwa rais wa JMT kufuatia kifo cha mtangulizi wake, Dkt. John Magufuli. Kuelekea tukio...
  11. UTEUZI: Rais Samia Suluhu afanya teuzi za Wenyekiti wa Bodi, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi

    UTEUZI: Rais Samia Suluhu afanya teuzi mbalimbali za Taasisi
  12. B

    Rais Samia S. Hassan akutana na Chama cha Wafanyabiashara wa China

    21 April 2021 RAIS SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WA CHINA Mhe. Samia Suluhu Hassan leo akutana na wawakilishi wa chama cha wafanyabiashara wa China wanaoendesha biashara zao Tanzania. Mwakilishi huyo wa chamber hiyo ya wafanyabiashara amebainisha kwa sasa kuna zaidi...
  13. Nakwenda Dodoma kuhakikisha kuwa Mama Samia anaukwaa Uenyekiti wa CCM bila tatizo lolote. Mama anaweza

    Nimekatisha safari yangu ya kwenda nyumbani Songea, Ruvuma. Nimegeuzia Masasi, Mtwara. Nimeamua kuingia mstari wa mbele bila kelele kuhakikisha kuwa Mama Samia anaukwaa Uenyekiti wa CCM bila vikwazo vyovyote. Nikiwa Masasi, nilipokea taarifa za kiintelijensia kuwa kuna baadhi ya makada wabobezi...
  14. S

    Rais Samia ni bora angesubiri kwanza achaguliwe Mwenyekiti wa CCM Taifa ndio ahutubie Bunge?

    Katika hali ya kawaida, Rais Samia atapaswa kuwa mnyenyekevu na mpole kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM unaotaraijiwa kufanyika April 30 mwaka huu(nimesoma mahala), mkutano utakaokuwa na jukumu la kumchagua mwenyekiti wa CCM Taifa huku mama Samia akitarajiwa kuwa ni mgombea pekee. Kwa mantiki...
  15. Barua kwako Rais Samia Suluhu Hassan

    Madam President,naomba nikusalimie kwa salam ambayo umeipendelea Sana wewe mwenyewe kuwa NAKUSALIM KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,NA KAZ IENDELEE. First and foremost,naomba nichukue nafas hii kukupa pole zangu nyingi sana KWA kifo cha aliekuwa RAIS wa Jamhuri ya muungano wa...
  16. Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

    Kutokana kifo cha JPM, leo nilipata muda wa kutafakari mambo kadhaa. Tafakuri yangu imenipa jibu kwamba Tanzania tumevamiwa na maadui kila kona. Kitendo cha taarifa nyeti za Ikulu kuvuja mitaaani kabla ya taarifa rasmi maana yake kwamba kuna mamluki wengi wamejaa Ikulu. Picha ya jeneza la JPM...
  17. Bila maombi maalum kwa Rais, hatuwezi kuishi kwa Amani na Utulivu nchini

    Kwa mujibu wa vitabu vitakatifu hili ni jambo zuri, nalo lakubalika mbele za Mungu wetu. Kwa mfano imeandikwa hivyo katika 1TIMOTHEO 2:1-4 “Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote; kwa ajili ya WAFALME NA WOTE WENYE MAMLAKA...
  18. Baada ya ziara ya Mama Samia ya mafanikio Uganda Uhuru aiga kwa kwenda DRC

    MY TAKE Naona akiiga hata kutembelea na national carrier KQ kama Samia Suluhu na Air Tanzania! Here is what Kenyan ambassador to DRC explaining Uhuru's mission inb DRC
  19. M

    Rais Samia akiteua huwaapisha Watendaji Ikulu, kwanini Dkt. Magufuli aliwaapisha Chato?

    Tumemwona Rais Samia akiteuwa watendaji na kuwaapisha ikulu, Hayati Magufuli aliwezaje kuapisshaa watendaji Chato?
  20. K

    Rais Samia Suluhu Hassan, sambaratisha Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu

    Wanabodi Shaloom! Ninakuomba kama itakupendeza futilia mbali Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu ili fedha za umma zinazoteketea kuligharamia zitumike kwingine. Ni kitengo cha upigaji. Nikukumbushe: mwaka 2005 baada ya Jakaya kuingia madarakani ndipo kitengo hiki kiliundwa mahsusi kumpa Salvatory...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…