samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. MPUNGA MMOJA

    Mzee Jakaya Kikwete: Sina wasiwasi na uwezo wa Rais Samia Suluhu

    “Sina wasi wasi na uwezo wa Samia Suluhu kukiongoza chama (CCM), nina matumaini makubwa kwamba chama kitazidi kuimarika katika kipindi cha uongozi wake. Anakijua chama, amekuwa mjumbe wa NEC na Kamati Kuu kwa muda mrefu, yeye ni tunda la ndani ya chama” Rais Mstaafu Jakaya Kikwete "Tayari Samia...
  2. Erythrocyte

    Halmashauri Kuu ya CCM yampitisha Rais Samia Suluhu kuwania nafasi ya Uenyekiti wa Chama hicho

    Taarifa hii ni kwa Mujibu wa EATV , bado haijajulikana kama kwenye Mkutano Mkuu nako atapitishwa au vinginevyo . Bali kinachofahamika ni kwamba kupitishwa kwake kuwania nafasi hii ni hatua muhimu kuelekea kuchukua kiti hicho
  3. W

    Twitter bila VPN yarejea nchini Tanzania

    Habari, kama mtakumbuka wakati wa uchanguzi mkuu wa mwaka uliopita kulipelekea kufungwa kwa mitandao ya kijamii na njia pekee ya kuifikia ilikupaswa uwe unatumia virtual private network (VPN) - a technology for protect private network over public network such as internet. Mara baada ya uchaguzi...
  4. Poppy Hatonn

    Mlinzi wa Hayati Rais Moi alikuwa Commando. Je, Tanzania mlinzi anamchunga au anamlinda Rais?

    Mlinzi wa Moi alikuwa commando. Yule mtu aliyekuwa anaongoza ulinzi wa hayati Moi alikuwa ni Commando aliyepata mafunzo Israel. Anaeleza alivyopata mafunzo halafu akarudi Kenya kufanya kazi ya kumchunga Rais. Yule anasema alikuwa anafanya kazi ya "kumchunga" Rais. Ndiyo swali ambalo najiuliza...
  5. D

    Mama Samia Suluhu wakumbuke watumishi wa CCM wanaoteseka kwa dhiki haswa wale wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM

    Naamini sijakosea kukuita Mwenyekiti mpya wa CCM, leo siku moja kabla ya uthibitisho wako. Naamini utakuwa ndiye tena kwa kura zoote, ni suala la muda tu. Mheshimiwa Mwenyekiti naomba nikueleze kuwa wako waliokuwa watumishi ndani ya CCM na hasa katika shule zilizokuwa chini ya Jumuiya ya...
  6. VUTA-NKUVUTE

    Dodoma: Kesho ndiyo kesho, Mama Samia anakalia kiti chamani. Wanaopanga kumkwamisha tumejipanga kuwakwamisha

    Niko hapa Dodoma kwa majuma kadhaa sasa. Niko kwa kazi maalum ya kichama: kuhakikisha bila kutisha kuwa Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anakuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa. Baada ya kumrithi Urais Magufuli, umefika wakati wa kumrithi pia Uenyekiti wa CCM. Kwa...
  7. William Mshumbusi

    Ni muda muafaka sasa Rais Samia kuanza safari za Ulaya na Marekani

    Wakati wa kupigania Uhuru Nyerere ilibidi asafiri kwenda ulaya na Marekani kuhutubia umoja wa mataifa ili aaminiwe apewe uhuru. Kwenye njaa ya mwaka 1984 nyerere pia alipanda ndege kwenda kuomba msaada wa chakula na akapewa mahindi ya yanga. Uku nchini kwake akiendelea kuwaimbisha watu siasa...
  8. William Mshumbusi

    Unajua ni vigumu kiasi gani kwa Rais Samia Suluhu Hassan kufikia malengo yake

    Rais Samia Anaweza kuwa Rais Bora kabisa kutokea nchini Tanzania. Ila kinachotokea Sasa ni kama kila mtu anataka kuandika anachokiamini kwenye kitabu chake. Sasa kuna mnyukano mkubwa, CCM na wapinzani kila moja akitaka aende kwenye uelekeo wa kisiasa unaupa nafuu upande wake. Hata kesho...
  9. U

    Rais Samia ahudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi kilichoketi leo Dodoma

    Rais Samia Suluhu Hassani leo Aprili 28, 2021 amehudhuria Kikao Cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu Ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika Dodoma. Kikao kinaendelea katika Ukumbi unaomilikiwa na Chama wa Jakaya Kikwete Convention Center Dodoma. Makamo wa Rais Dkt Philip Mpango na Rais wa...
  10. Fatma-Zehra

    Mwenyekiti Samia ambakize Mzee Mangula lakini amteue Dkt. Rehema Nchimbi kuwa Katibu Mkuu

    Kwa sasa Mzee Mangula abaki kuwa Makamu Mwenyekiti ili kumlinda Samia lakini kwa ajili ya ku-manage dynamics za 2025 na unpredictable CCM yenye visa na "uhuni" wa kila aina. Hata hivyo, chama kinahitaji mtendaji mwenye hekima na asiye fisadi. Mtu ambaye siyo mgeni na ambaye amefanya kazi na...
  11. Geza Ulole

    After pressure on gender imbalance from women grew seeing Samia the first EA lady President, Kenya picked up a lady CJ!

    MY TAKE: Kenya is slowly learning the ropes after seeing Samia Suluhu as the first Lady President in the EA and Anna Makinda as the first lady Speaker in EA! Congratulation. Scholar Makau Mutua has ever been campaigning for a lady President and overall gender balance in Kenya and is a...
  12. P

    Rais Samia lazima awe Mwenyekiti CCM

    CCM HUWA IMARA ZAIDI INAPOTISHWA KIFO Na Philipo Mwakibinga. 0758910403. Ndugu zangu Wana wa CCM Kidumu Chama Cha Mapinduzi! Nawasalimu kwajina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Naomba niendelee kusisitiza kuwa lazima tuendelee kusimama imara kama sote tunaamini Mungu na tunapokea kila...
  13. N

    Rais Samia Suluhu Hassan kwenye Mtego Mkubwa sana Mei Mosi hii ya mwaka 2021

    Kwanza kabisa haijajulikana kama Sherehe hizi yeye ndiye atakuwa mgeni Rasmi au nayo itapita kimya kimya kama ilivyokuwa jana Sherehe za Muungano kwa sababu ya kuomboleza Msiba Mkubwa wa Jiwe. Rais Samia ameamua kutojitenganisha na Hayati JPM - Mpango Kazi wa Mwaka 2020-2021 umejadiliwa lakini...
  14. JERUSALEM 2006

    Je, Rais Samia anayo haki na misingi ya kuongoza Tanzania Bara (Tanganyika) kwa mambo yasiyo ya Muungano?

    A. UTANGULIZI Napenda kuweka wazi kwamba nimeanzisha mjadala huu, ili kuondoa mkanganyiko na mkwamo ninao uona wazi wazi katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania. Kwa mara nyingine katiba yetu imejaribiwa (imekuwa tested), hivyo ni busara kuwepo kwa mjadala wa kuondoa shaka na hoja...
  15. Erythrocyte

    Askofu Niwemugizi amshauri Rais Samia Suluhu kuanza na Katiba Mpya

    Baba Askofu ameongea hayo alipokuwa anahojiwa na gazeti la Mwananchi. Amesema ni vema Rais Samia Suluhu akaanza na Katiba Mpya ili kutengeneza msingi imara wa Utawala bora ambao utazingatia haki. Ameahidi kukutana na Mh Rais ili kumpatia ujumbe huu haraka iwezekanavyo. ----- “Nikipata nafasi...
  16. F

    Rais Samia Suluhu Hassan, mteue Zitto Zuberi Kabwe awe Mbunge akaongeze chachu ya hoja Bungeni

    Bunge letu linahitaji kuongezewa chachu ya aina fulani ili liweze kuichambua kikamilifu Miswada ya Serikali. Vile vile Bunge letu linahitaji Sauti ya Upinzani yenye kukubalika mbele ya jamii yetu ya Kitanzania. Kwa kuwa Kada wawili wa CCM wamekuwa Wabunge wa Kuteuliwa, Humphrey Polepole na...
  17. Lord Denning

    Rais Samia, kuna Fursa ipo kwetu kwenye Uchumi wa Gesi, ichangamkie haraka

    Nakusalimu tena kwa Jina la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mama yangu! Ni nadra sana Mimi Lord Denning kuandika nyuzi mbili humu ndani Ila leo imebidi nikuandikie humu maana nimegundua kuwa wewe ni mwanachama na mpenzi wa hili jukwaa! Nimeandika ushauri wangu kwako juu ya reformation...
  18. M

    Rais Samia anaingia kwenye kamati kuu ya CCM kama nani?

    Wadau nijulisheni, Samia Suluhu Hassan alikuwa anaingia kwenye Kamati Kuu ya CCM kama makamu wa rais enzi za John Magufuli. Sasa hana umakamu wa rais uliokuwa unamuingiza humo. Nasema hivyo kwa sababu CCM Rais ni moja kwa moja ni mwenyekiti. Hivyo Rais anapohudhuria vikao vya CCM haingii kwa...
  19. Chief Kabikula

    Iko wapi Ripoti Maalum ya CAG iliyoagizwa na Rais Samia Suluhu Hassan siku akiapisha mawaziri?

    Wadau siku Rais wa nchi Mama Samia Suluhu Hassan Akiapisha mawaziri aliagiza ukaguzi wa BOT kuanzia mwezi January hadi Machi , ambapo ripoti hiyo ilikuwa isomwe tarehe 20/04/2021 lakini haikusomwa, nini kinafichwa?
  20. Lord Denning

    Rais Samia Suluhu, fanya haya TRA

    Nakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano Tanzania. Kama nilivyosema hapo awali Mama, mimi kama Mtanzania niliyekuwa nimejitoa kumuunga mkono Magufuli kutokana na Sera na ufedhuli wa Awamu ya Tano na ambaye sasa baada ya kuona uelekeo wako mzuri, nimeamua kukuunga mkono, leo hii napenda...
Back
Top Bottom