samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Putin Ikulu ya Kremlin

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Rais wa Shirikisho la Urusi Mhe. Vladmir Putin katika Ikulu ya Kremlin Jijini Moscow, tarehe 03 Juni, 2026.
  2. JamiiForums Tanzania Ni wajinga pekee wanaowaza kwamba Nchimbi anaweza Kugombana na Samia. Mnadanganyika na Cheap Propaganda hizo kweli?

    Ni wajinga, wapumbavu, malofa wanaowaza kwamba .Nchimbi anaweza kugombana na Samia kwa lipi kwa kipi ? Wakati nae anaunga mkono ujinga uliofanyika October 29 damu za watu ndo zimempa umakamu wa Rais tufike kipindi hata tutumie akili za kawaida hizo ni propaganda za wanakitengo tu. Kiufupi...
  3. JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Kutoka kuapa kutokuwa mpinzani bali msaidizi wa rais Samia hadi kuwa Yuda!

    Waswahili husema ukimdekeza mbwa, ipo siku atakufuata hadi msikitini. Hiki ndicho kilichotokea juzi, baada ya mbunge wa Zanzibar kumuita Makamu wa Rais, ambaye ni mtanganyika, jina la Yuda. Hizi zote ni hasira za wazanzibar kulazimishwa kuwa ndani ya muungano wasioutaka! Tangu zamani...
  4. JamiiForums Tanzania Kwani Samia si ajiuzulu tu

    Yani sikuhizi kila nikiona video za mandhari nzuri za Tanzania nikianza kufurahi kichwa changu kinanikumbusha Samia ndio Rais Haka kabibi kajiuzulu tu tupumzike mauaji na kutekana, Tanzania yetu irudi tulivyoizoea. 2030 inachelewa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ukijaza Undugu/Uzanzibari/Utanganyika kwenye Uongozi ndiyo yamkuta Mama Samia! 2026 eti una pongeza Urusi kwa ukombozi wa Africa!!!

    Tatizo la kujaza watu kwenye uongozi waliojaa uchawa na uzanzibari. Sasa Mama badala ya kusafiri nje kutafuta uwekezaji na technologia ili kukuza ajira na maendeleo anaenda Urusi eti kuwashukuru wa ukombozi wa Africa. Ukombozi gani wakati yeye mwenyewe hajachaguliwa, wabunge wanachaguliwa mezani...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu awasili Urusi

    ■Atahutubia jukwaa la kimataifa la uchumi la St. Petersburg ■Anatarajiwa kushiriki kongamano la uwekezaji kati ya Tanzania na Urusi ■Atatunukiwa shahada ya heshima, kunadi fursa za dira 2050
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameenda Urusi kuitisha Marekani?

    Dunia imegawanyika katika pande kuu mbili, mataifa ya Magharibi (US, EU, UK) na Mashariki (Urusi, China, North Korea, nchi za Kiarabu. Kila upande una mitazamo yake kiuchumi, kiulinzi na kidemokrasia. Wakati wa vita vya kiuchumi au vita halisi, Wamarekani huwa wana msemo wao. "Either you are...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia Awasili Moscow kwa Ziara ya Kitaifa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati akipokea heshima ya wimbo wa Taifa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Vnukovo, Jijini Moscow kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa nchini Urusi tarehe 02 Juni, 2026.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mama Samia wa 2021-2022 au 2024-2025??

    Mama Samia yupi fake 2021-2022 au 2024-2025?? Yule wa miaka ya 2021-2022 au wa sasa? Maana tabia na mwenendo nitofauti kabisa. Kutoka USA na China sasa ameenda Russia. Kutoka kuwa kipenzi cha EU na USA mpaka kuonekana adui!. Kutoka kuwa mtetea haki na utofauti sasa ni muuaji na mtekaji...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Nilishirikishwa ufisadi na "mamlaka kuu" nikakataa, naogopa laana za Watanzania

    Amejitoa mhanga! Anytime soon atabambikiwa kesi ya Uhaini! Or any other life threatening attempts on him Huyu ni next to Lisu! Msikilize Note: mamlaka kuu ameitaja, sikutaka kuiweka kwenye heading
  11. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu kumuomba Putin ampe Backup dhidi ya Donald Trump? Anamjua hayati Ayatollah Ali Khamenei?

    Je,, Samia Suluhu anaenda Urusi kumuomba Putin ampe Backup dhidi ya Donald Trump? Anamjua hayati Ayatollah Ali Khamenei yaliyomkuta? Alijuwa rafiki wa Putin kufa kuzikana.. Hakuamini atakufa mapema. Ukiua binadamu hakuna wa kukutea. 29.10.2025 mliua Watoto wetu mkidhani Urusi atawatetea. Kwa...
  12. JamiiForums Tanzania ZIARA YA MH RAIS SAMIA URUSI NA "GEOPOLITICAL DIPLOMATIC SHIFT" YA DUNIA.

    Dr.Zack. June 2,2026.06:54AM. Baada ya Serikali ya Tz jana kutangaza kuwa Mh Rais Samia Suluhu Hassan kesho June 3,2026 anaanza ziara ya siku mbili Nchini Urusi ilinifurahisha sana. Hii inaweza kuwa ni ziara bora zaidi na ya kimkakati sana tangu Mh Rais Samia Suluhu Hassan aingie Ikulu baada...
  13. JamiiForums Tanzania Mtu atusaidie kumnyang'anya Nyahoza Kalamu

    Nahisi watako, Kichwa, Miguu, Tumbo, macho na Midomo wao hawana.. Mtu atusaidie kumnyang'anya Nyahoza Kalamu. Msajili wa Vyama vya Siasa kajigeuza mwalimu wa kiswahili na Mahakama.
  14. JamiiForums Tanzania Mkwara wa Marekani: Eti Samia Suluhu anataka kumwaga Manyanga

    Kweli nimeamini Marekani Kidume. Samia anataka kukimbilia Oman kwa mjomba wake. Mwenzake Idi amini Dada, alikimbia Libya, hapakukalika, akaenda Iraq hhapakutosha na akafia Saudi Arabia... Kama Samia akimbilia huko, akifa azikwe huko huko.. Kama akikimbia, Msiba wake utakuwa kama wa Rungu Rais...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Katika jambo ambalo Mama Samia kafanya na litaacha kumbu kumbu ni kuwapandisha watumishi madara

    Serikali ya awamu ya sita imefanya mambo mengi yapo mabaya na mzuri. Kwa upande wa watumishi Mh rais amejitahidi sana, kuanzia mseleleko mpaka kupanda kawaida , Kwahili Kwa kweli anastahili pongezi. Ushauri wangu kwako achana na washauri maslahi. Ambao always hutoa ushauri unaolinda maslahi...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea Taarifa ya Sensa ya Wanyamapori

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye kikao cha kupokea Taarifa ya Sensa ya Wanyamapori iliyofanyika nchi nzima mwaka 2024 – 2025 iliyowasilishwa na Waziri ya Maliasili na Utalii Dkt. Ashatu Kijaji kupitia Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awazawadia Serengeti Boys, U17 milioni 500

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imetoa zawadi ya sh. milioni 500 kwa Timu ya Taifa ya Tanzania ya vijana chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) kwa kufanikiwa kutinga hatua ya fainali ya mashindano hayo na kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania kimataifa. Dkt. Mwigulu amesema hayo...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Trump, huyu Mzanzibari Samia Suluhu akikusumbua, mfuate kama Nicolás Maduro, Ramani hii hapa

    Salaam Rais Mpendwa Donald Trump, wewe ni mtu unayesikiliza watu wote kwani hubagui. Nilipenda ulivyomfundisha adabu aliyejipachika Urais Venezuela bwana Nicolás Maduro. Isiishie kwa Maduro tu, njoo na Tanzania Baba, Yupo mwingine kajipachika Huyu Mzanzibari Samia akiwa Tunguu Zanzibar...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia hakwenda kumzika Bi. Suzan Magufuli, Mama wa aliyekuwa Rais wa Tanzania?

    Makamu wa Rais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili Chato kumwakilisha Rais Samia katika Mazishi ya Marehemu Bi. Suzana Magufuli Mama wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Ila mnaielewa hii picha? Ni kwa wenye akili tu.
  20. D

    JamiiForums Tanzania Good morning, Samia haters!!!! Tanzania plays U-17 afcon final guys!!

    Ndo hivyo enyi haters, historia inaendelea kuandikwa..........kwa kifupi, enyi haters mtayamaliza maji yenu yote makali yanayotengenezwa na maini sababu ya mafanikio ya mumchukiae!! Yatadondokea kwenye utumbo mpate vidonda vya tumbo. Samia ni level zingine.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…