samia suluhu

Jamhuri ya muungano, kazi iendelee
Samia Hassan Suluhu (born 27 January 1960) is a Tanzanian CCM politician and the designated President of Tanzania, due to be sworn into office following the death of president John Magufuli on 17 March 2021. She became Tanzania's first female vice-President following the 2015 General election, after being elected on the CCM ticket along with president John Magufuli. Suluhu and Magufuli were reelected to a second term in 2020. Before her tenure as vice-president she served as the Member of Parliament for Makunduchi constituency from 2010 to 2015, and was also the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015.
Prior to this, she served as a minister in the semi-autonomous region of Zanzibar in the administration of President Amani Karume. In 2014, she was elected as the Vice Chairperson of the Constituent Assembly tasked with drafting the country's new constitution.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua Chanjo ya COVID-19 na kuchanjwa. Asema hawezi kujipeleka kwenye Kifo

    Mzee wa upako, Athony Lusekelo ameitwa kufungua kwa sala na kabla anatoa maneno machache ikiwemo kutaka watanzania kuiamini chanjo kwani Serikali imejiridhisha. Pia ameongelea kauli ya Magufuli na kusema hakukataa bali alitaka tahadhari, Mwisho amesema wakristo kuna mambo wanakubaliana wote kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mwita Waitara: Huwezi kushindana na wakenya kwa bandari ya Dar es Salaam, option ni kwenda Bagamoyo

    Mwita Waitara: Ukitaka kushindana na watu wa Mombasa, bandari ya Mombasa ni kubwa kwelikweli, unganisha zote hapa Tanzania hatuwafikii kwa ukubwa wa eneo hata mizigo inayotua pale. Hata kama tumeongeza Mtwara bado hapa hatuwezi kutanua zaidi, tunataka tuweke utaratibu wa bandari ambao...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya chanjo ya Covid-19 yapo hasi sana kwa Watanzania

    Ukiacha Gwajima kuchafua hali ya hewa kuhusiana na chanjo ya Corona lakini tayari watanzania walishaaminishwa na Rais wa awamu ya tano, Hayati Magufuli kuwa chanjo ya Corona sio salama kabisa na hivi huku hayati akisema kuwa chanjo ya Korona inayopigiwa debe na mabeberu kama alivyokuwa anasema...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Kasi Hii Rais Samia Suluhu Hassan lazima Upinzani upoteane nchini

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango leo ameweka jiwe la msingi katika Jengo la Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini - Mtwara lililopo Manispaa ya Mtwara Mikindani eneo la Mitengo Mkoa wa Mtwara. #KaziIendelee Source: Wizara ya Afya
  5. JamiiForums Tanzania Azim Dewji amvaa Gwajima sakata la chanjo, amwambia ana akili ya kuhubiri siyo Sayansi

    Azim Dewji: Tunasema kwamba, kazi kubwa ya mkuu wa Dini ni kuongoza waumini wake sio kuwapotosha, unazungumza maneno ya kuwapotosha waumini na kuleta taharuki kwenye Jamii, hiyo haifai kabisa na isiendelee kufanyika hivyo, sisi hatutakubali. Kwa njia moja au nyingine unawatukana waliobobea...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzindua na kupata Chanjo ya COVID-19 Julai 28, 2021

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Chanjo ya COVID19 Ikulu Dar, Saa tatu asubuhi Julai 28, 2021 Tanzania ilijiunga na Mpango wa COVAX Juni 15, 2021 na imepokea shehena ya Chanjo Julai 24, 2021 Wizara ya Afya imesema Chanjo ni nyongeza ya njia za kupambana na Corona...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wanaombeza Rais Samia watashangazwa na yajayo

    Kuna mambo mengi sana yamefanyika ambayo ni ya kushtusha na yote yametendwa bila idhini ya mama. Nina wahakikishieni kwamba, msishangae ukimya wa mama. Siku chache mtashangaa vigogo watakavyodondoshwa kama magunia ya mchanga. Mwenye madaraka ni mwenye madaraka Mama inabidi avunje baraza la...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia Suluhu na timu ya Corona fanyeni haya kuboresha mapambano dhidi ya COVID19

    Mheshimiwa Rais, naomba nikupongeze kwa nia yako nzuri ya kuleta mbadiliko chanya katika ustawi wa taifa. Ama nikupongeze kwa juhudi kubwa unazofanya katika kuendeleza juhudi na upekee wa aliyekuwa rais wa JMT wa awamu ya 5 Rais John Pombe Magufuli. Muendelezo huu ni pamoja na kuboresha pale...
  9. JamiiForums Tanzania Kibao kilivyogeuka

    Sijui huyu Bi. Mkubwa wetu anajisikiaje akiona vitu kama hivi mtandaoni! Leo anaitwa dikteta wa kike. Maana kwa mujibu wake yeye mwenyewe, huwa anajivinjari humu mitandaoni ili kujua yaliyomo vichwani mwa wananchi. Tulio wahalisia wa mambo na tulio na uzoefu wa kufuatilia siasa za kitaifa na...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mawaziri waachie Ngazi kutoa Nafasi kwa Mwanzo Mpya

    Itakuwa kujidanganya kama taifa kudhani kuwa tuko vizuri. Matumaini mapya yaliyoibuka baada ya SSH kuchukua nchi yamekwisha baada ya siku 100 ofisini. Kama taifa tunayumba tokea kwenye corona hadi kwenye mustakabala kama taifa. Taifa limegawanyika hisia kali na munkari juu: 1. Kuhusiana na...
  11. JamiiForums Tanzania Watanzania tuwe makini na vyombo vya habari vya Kibeberu. CNN wazusha kukamatwa kwa Freeman Mbowe ni amri ya Rais Samia!

    Wanabodi, Wiki iliyopita nilialikwa TBC kwenye kipindi cha Mizani, kinachoendeshwa na Dr. Ayoub Rioba. Mada kwenye kipindi hicho ni "Dhima ya Vyombo vya Habari Kulinda Maslahi ya Taifa". Kwenye mjadala kuliibuka hoja jinsi Vyombo vya habari vya nje vinavyoibagaza Africa katika ripoti zake...
  12. JamiiForums Tanzania CCM kuondoka Madarakani siku zake inahesabika

    Kila nikimtazama mambo yanayoendelea kwa mfano hili la kukataa katiba mpya wazi wazi tena bila sababu za msingi, ni wazi kabisa kua chama hakiko mbali kuondoka ni suala la muda tu. Huwezi kukana mwongozo wa kitaifa ambao unajua kabisa moyoni mwako mazingira ya sasa yanaendani na mwongozo...
  13. JamiiForums Tanzania Polisi "wame-underestimate impact" ya kumtuhumu Mbowe kwa makosa ya ugaidi?

    Ukiacha kelele zinazopigwa kwa nguvu Sana hapa nchini Tanzania za kutakiwa, Freeman Mbowe aachiwe huru, kutokana na makosa yanayoonekana wazi kuwa Jeshi la Polisi nchini limeamua "kubambika" ya ugaidi, lakini vyombo mbalimbali vya dunia navyo vimeungana na wapigania haki wa hapa nchini, kama...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan usikubali kuyumbishwa

    Mama yetu wa Taifa, mpendwa wetu nani kama Mama? Umeanza vzr sana ktk siku zako 100 kwa kusimamia Haki, Sheria, Amani, Upendo na Mshikamano. Katika siku 100 tumehuhudia kesi za kubambikiwa zikifutwa, watu waliodhulumiwa wakirudishiwa haki zao, wapinzani wakijumuishwa kwene Serikali yako etc...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Samia Suluhu Hassan nayo yaanza rasmi kubambikizia watu kesi

    Mwanzo tulidhani rais huyu ni muungwana, mchukia uonevu, mstaarabu kumbe ni walewale. Ukiwa member kwenye timu ya wachawi na wewe ni mchawi tu. Naona serikali yake imeanza kubambikizia watu kesi. Eti Mbowe gaidi, ugaidi mmeujua tu kwa kuwa kaanza kudai katiba mpya na haki ya vyama vya siasa...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu kama utatawala kwa kutokuzingatia haki, HAKI halisi itahitimisha safari yako utawala

    Ninaposema HAKI namaanisha Mungu. Mungu hujiita haki au mwenye HAKI. Is.45:21 Sisi wananchi wanyonge tunakupenda , ila tutakapohisi haki imekiukwa mahali fulani na wewe kama kiongozi umekaa kimya kwasababu zako binafsi tutamwita mwenye haki aupime utawala wako kisha akiona kuna haki aendelee...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia, maisha ya vijana kwa sasa hayaridhishi. Nguvu kubwa itumike kubadili mfumo wao wa maisha

    Mama Samia Suluhu Hassan Rais wetu mpendwa nasikitika leo kusema kuwa mpaka kufikia mwaka 2030 kama nguvu kubwa zaidi hazitatumika za kubadili mfumo mzima wa maisha yetu, nahofia vurugu tunazoziona hivi sasa huko Afrika ya Kusini zikitokea tutazishuhudia zikitokea hapa kwetu pia, tena kwa ukubwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Katiba Mpya: Hoja ya Rais Samia haina mashiko

    Rais Samia anasema eti suala la kipaumbele kwake ni uchumi kwanza halafu mambo ya katiba mpya ni ya baadae huko mbeleni. Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, hoja ya Katiba Mpya ni hoja nyeti, ni suala muhimu sana na haliwezi kuwa option ya pili katika mambo yanayopaswa kufanyika nchini kwa...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Wateule wa Hayati Magufuli hawamfai kamwe Rais Samia Suluhu, hawakuwa na huruma wala utu

    Samia alichoshindwa kuelewa ni kuwa pamoja na kuwa alikuwa ni Makamu wa Rais hakuumbwa kuwaza au kufikiri au kutenda au kunena au kufanya kitu chochote kama alivyokuwa Mtangulizi wake. Kwanza namna alivyowekwa pale na majukumu ya Makamu yalivyo KiKatiba alikuwa ni mtu passive tu - yaani...
  20. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tumesikia malalamiko ya Watanzania kuhusu tozo za miamala na Rais ametoa maelekezo ya kuzitazama upya

    Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba, amesema jambo hilo tayari limefika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…