samia suluhu hassan

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania There is no free lunch. Why has Yoweri Museveni built a school for Tanzanians?

    The President of Uganda, Yoweri Museveni must be buying something out of this generosity to Tanzanians. He is definitely trying to lure our leader (Madam President Samia Suluhu Hassan) so that can get what he wants. There are so many villages in Uganda which have either poor or no school...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Museveni kufanya ziara ya kikazi Tanzania. Atakabidhi Shule iliyojengwa kwa ufadhili wake Wilayani Chato

    Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni anatarajiwa kuwasili Tanzania kwa ziara ya Kitaifa kuanzia Novemba 27, 2021, na atapokelewa na Rais Samia Suluhu Hassan Mbali na Marais hao kufanya mazungumzo, pia watashiriki ufunguzi wa kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda Rais Museveni...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo uchumi unakua kwa kasi. Tumepunguza kiwango cha umasikini

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ni miongoni mwa Nchi 10 za Afrika ambazo Uchumi unakua kwa kasi. Pia, imekuwa na utulivu wa Mfumuko wa Bei na Thamani ya Fedha. Ameeleza, "Tumeona viashiria vya Maendeleo kwenye Maendeleo ya mtu. Tumeweza kupunguza kiwango cha umasikini...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Askari mnalalamikiwa kushikilia leseni za madereva muda mrefu

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema bado Askari wanalalamikiwa kwa masuala kadhaa ikiwemo kushikilia Leseni za Madereva kwa muda mrefu au kuwalazimisha kulipa faini papo hapo ilihali Sheria inampa muda Dereva wa kuilipa. Amesema, "Kingine ni kuna ukamataji mwingi wa Vyombo. Ukipita Vituo vya...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Vijana wahanga wakubwa wa ajali za barabarani

    Akishiriki Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani Kitaifa Jijini Arusha, amesema takwimu zinaonesha zaidi ya 90% Ajali za Barabarani husababishwa na makosa ya kibinadamu ikiwemo mwendokasi, kutovaa mikanda na kupita gari lingine bila tahadhari. Amesema, "Uendeshaji wa Vyombo...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Naamini Tanzania bila Rushwa inawezekana

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Maendeleo ya Nchi huletwa na Wananchi wake. Amesema hayo akiwa kwenye Mkutano wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Zanzibar. Amesema Sheria za Tanzania Bara na Zanzibar zimetoa Uhuru (usiovunja Sheria) kwa watu kufanya kazi. Ameongeza kuwa ataendelea...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza vyanzo vikuu vyote vya maji kuwekewa ulinzi. Asema, "Hatuwezi kuweka rehani maisha ya Watanzania"

    Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza Wakuu wa Mikoa yote pamoja na Kamati za Ulinzi za Mikoa na Wilaya kuhakikisha Ulinzi unawekwa kwenye Vyanzo vyote vikuu vya Maji, na kutosita kuchukua hatua za Kisheria Amesema, "Utekelezaji wa Agizo hilo unaanza mara moja, hatuwezi kuweka rehani maisha ya...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Rais Samia asisitiza Tafiti kubaini chanzo cha Saratani Kanda ya Ziwa

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesisitiza umuhimu Tafiti kujikita zaidi katika kubaini kwanini Kanda ya Ziwa inaongoza kwa Waathirika wa Saratani, ikielezwa Wanawake ni wahanga wakubwa wakikumbwa na Saratani za Kizazi na Matiti Ameeleza hayo leo Novemba 18, 2021 Mkoani Mwanza wakati...
  9. J

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hizi hapa faida za ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini Misri

    Hakika nchi inafunguka kweli kweli chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, Kwawale msiopenda nchi yetu ipate maendeleo kama mtaji wenu wa kisiasa awamu hii mtateseka sana. <<<Angalia mpaka mwisho >>>
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Dunia kwa sasa inakabiliwa na tatizo jipya la Usalama (Ugaidi)

    Rais Samia amesema Dunia kwa sasa inakabiliwa na tatizo jipya la Usalama (Ugaidi). Ameeleza hayo katika Ufunguzi wa Kikao cha Mkuu wa Majeshi kinachofanyika Ngome ya Lugalo Ameeleza, "Kwa hulka ya Ugaidi, Mtu yeyote bila kujali Rangi, Dini, Umri, Itikadi, Kipato au Uraia anaweza kuwa mhanga wa...
  11. Emanuel Eckson

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama - Arusha

    Kamanda wa Polisi mkoani humo, ACP Justine Masejo amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani kitaifa yatakayofanyika mkoani humo kuanzia tarehe 23.11.2021 katika Uwanja wa Shekh Amri Abeid Karume. Kamanda Masejo...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania The Sub Quotes of the Speech of Madam President on #COP26 H.E Samia Suluhu Hassan

    The Sub Quotes of the Speech of Madam President on #COP26 H.E Samia Suluhu Hassan. Uniting the world to tackle climate change #COP26 - "Our pride the Mount Kilimanjaro is drastically becoming bolt due to glacier melting and we experiencing unpredictable floods and droughts, we experience all...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Glasgow, Scotland: Rais Samia ahutubia Mkutano wa Umoja wa Mataifa unaojadili athari za mabadiliko ya tabianchi

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Mabadiliko ya Tabianchi ni suala la Dunia nzima, hivyo suluhisho lake linapaswa kuwa la Ulimwengu wote Ameeleza kuwa hatua za pamoja zikichukuliwa na Mataifa, inawezekana kuokoa Ulimwengu. Ametoa wito kwa Mataifa yaliyoendelea kusaidia yale...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Glasgow, Scotland: Rais Samia akutana na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson

    Rais wa wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson katika masuala ya Biashara kati ya Uingereza na Tanzania, Lord John Walney Rais Samia amesema Serikali ya Uingereza na Tanzania zimekuwa na ushirikiano wa kibiashara kwa...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kuhudhuria Mkutano wa COP 26 Nchini Scotland

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuondoka Nchini Oktoba 30, 2021 kuelekea Glasgow, Scotland kuhudhuria Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa utakaojadili athari za Mabadiliko ya Tabianchi (COP 26). Anatarajiwa kuhutubia siku ya pili ya Mkutano huo (Novemba 02, 2021) na pia...
  16. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alalamika maneno yake kugeuzwa juu chini, awapa viwanja wachezaji Twiga Stars kwa kutwaa kombe la COSAFA

    Leo Rais Samia Suluhu atapokea kombe la COSAFA Ikulu ya Dar es Salaam kutoka timu ya wanawake, Twiga Stars ililipata kombe hilo nchini Afrika Kusini baada ya kuishinda timu ya wanawake ya Malawi. Kuwa nami kwa yatakayojiri ========= Anaeongea sasa ni Katibu mkuu, Dkt. Hassan Abbas na...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Video: Makamu mwenyekiti wa Wamachinga taifa Steven Lusinde amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan

    Makamu mwenyekiti wa Wamachinga taifa Steven Lusinde amemshukuru Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutenga Shilimgi Bilioni Tano kwa ajili ya kuboresha mazingira ya wamachinga Taifa. Pia wameomba Rais Samia apange siku moja ya kukutana na wamachinga popote atakapoamua watamfuata. Tazama...
  18. codes

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Rais wetu Mhe. Samia Suluhu Hassan, Wizara ya Mawasiliano: Tunaomba mtupie jicho kwenye kupanda kwa ma-bando (Mobile internet services)

    Videkezo. [1]Mpaka TTCL wamepandisha bei za mabundle kutoka 1.2GB /1000 Tshs mpaka 600MB/ 1000 Tshs. Makampuni binafsi yalipandisha kitambo. [2]Inavyooneka, makampuni ya simu yanashirikiana kupandisha bei za ma-bundle kama madereva wa dala dala stand ya 7 7[Dodoma]. Wakishapandisha wote...
  19. Jesusie

    JamiiForums Tanzania Arusha: Rais Samia atoa TZS 520BL sawa na 80% ya bajeti nzima ya maji ya Taifa ya mwaka

    Hakika mahaba ya Rais Samia kwa watu wa Kaskazini usipime, ametoa TZS 520BL za maji Arusha ikiwa ni zaidi ya 80% ya bajeti nzima ya maji ya Taifa ya mwaka. " Hakuna kama Samia " Hakika kasi ya Rais Samia Suluhu Hassan haikamatiki,Rais ametoa Jumla ya Tshs 520BL zaidi ya 80% ya bajeti nzima ya...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Semeni na tuleteeni Viongozi wasiowajibika

    USA RIVER, ARUSHA: Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Wananchi kutoacha kuwasema Viongozi ambao hawawajibiki akisisitiza, "Semeni na tuleteeni kwasababu tunawatuma wawatumikie wananchi" Akizungumza na Wananchi eneo la USA River amesema, "Tunawashushia Viongozi wa kuja kuwatumikia, kuanzia Mkuu...
Back
Top Bottom