same

S-Adenosyl methionine (SAM-e) is a common cosubstrate involved in methyl group transfers, transsulfuration, and aminopropylation. Although these anabolic reactions occur throughout the body, most SAM-e is produced and consumed in the liver. More than 40 methyl transfers from SAM-e are known, to various substrates such as nucleic acids, proteins, lipids and secondary metabolites. It is made from adenosine triphosphate (ATP) and methionine by methionine adenosyltransferase. SAM-e was first discovered by Giulio Cantoni in 1952.In bacteria, SAM-e is bound by the SAM riboswitch, which regulates genes involved in methionine or cysteine biosynthesis. In eukaryotic cells, SAM-e serves as a regulator of a variety of processes including DNA, tRNA, and rRNA methylation; immune response; amino acid metabolism; transsulfuration; and more. In plants, SAM-e is crucial to the biosynthesis of ethylene, an important plant hormone and signaling molecule.Chemically, it is a sulfonium betaine which serves as a source of electrophilic methyl group or as a source of 5'-deoxyadenosyl radical.

View More On Wikipedia.org
  1. Mad Max

    Sehemu ya Door Lock ya Bugatti inauzwa $2,000+, ila ni same part iliotumika kwenye Volkswagen ambayo wanauza $40!

    Wacha wenye hela waibiwe. Kuna Youtuber anaitwa Matt Armstrong, amekua aki-rebuild magari mbalimbali ya kifahari yaliyopata ajali au kuharibika kisha kuyauza. Amedeal na Ferrari, Lambo, Porsche, RR, etc na amekua akionyesha step kwa step, kwahiyo gari moja anaweza akatuwekea ata kwenye video...
  2. N'yadikwa

    Maporomoko ya udongo – tujifunze kutoka Manyara, Same (mlima Kawetere) na sasa Rungwe

    Wanabodi, Kumekuwa na matukio ya kusikitisha ya maporomoko ya udongo katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu hasa kipindi cha mvua nyingi ikiwemo Manyara, Same (Mlima Kawetere) na sasa Rungwe (Mbeya). Matukio haya yameleta madhara makubwa: vifo, uharibifu wa makazi, na kupotea kwa mali za...
  3. Bhizabhityo BB

    Cash In Hand: Markets, but Why Don’t People Last?

    Many entrepreneurs in East Africa struggle to sustain their businesses over the long term, high rent, debt, TRA and local government levies, among other pressures in Tanzania for example. But unfortunately, many have not realised that they are making strategic decisions using the wrong numbers...
  4. Mama Edina

    I afraid, my man is not the same again

    His behavior attitude sharpness entution capacity strongness fitting responsibility oneness idealistic mentality to me, occasion immunity establishment psychology numeration enjoyment moment of time with me, distinguished omminion stylishment Westinghouse, constable consignment innovative and...
  5. O

    KPLC: Same Token, Fewer Units? Hii Ndiyo Sababu! Je tunakubaliana kweli?

    Kenya Power has explained why some customers are now getting fewer electricity units for the same token amount. If you buy tokens worth Ksh 3,000, up to 20% (about Ksh 600) may be automatically deducted to clear arrears, leaving less money to buy units. Also, tariffs depend on your average...
  6. Pascal Mayalla

    Kufanya Kosa si Kosa, kosa Kurudia Kosa!, Kama Kosa lina consequences, ukirudia, the consequences are the same!. Je Tujiandae for The Consequences au?

    Wanabodi, Hii ni moja ya mada zangu za the voices from within ambazo ni abstract, za kufikirika tuu, sio lazima zitokee au vitokee!. Mada ya leo ni kuhusu mambo ya karma ya kila mtu kulipwa kwa matendo yake. Kuna hii hoja ya kufanya kosa si kosa, kosa ni kurudia kosa!, kama tulifanya kosa...
  7. Mad Max

    Game gumu. Nandy anatoa wimbo same day anau-promote Youtube

    Ngumu kuacha kitu kitrend chenyewe. Boost muhimu. Ningeongeza view ila walituambia tufanye kazi.
  8. R

    Viongozi wa dini waombea eneo la ajali iliyoua watu 42 Same, Washauri kujengwa Mnara

    Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini wamekutana wilaya ya Same, Mkoani Kilimanjaro kufanya ibada maalumu eneo kulikotokea ajali iliyoua watu 42 na wameiomba Serikali kuweka mnara wa kumbukumbu wenye majina ya waliofariki katika eneo hilo kama moja ya njia ya kuhifadhi historia Wamesema...
  9. DuaZaMama

    GE2025 Fatuma Kange akiomba kura kwa wajumbe Same Magharibi

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Same Magharibi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fatuma Kange, amewataka wananchi wa jimbo hilo kufanya mabadiliko ya kihistoria kwa kumchagua mwanamke mwenye maono, uthubutu, na dhamira ya kweli ya kuleta maendeleo kwa watu wote. Akizungumza katika mikutano ya...
  10. Mkalukungone Mwamba

    Ofisi ya CHADEMA Same Magharibi yabadilishwa kuwa ya CHAUMMA

    Mali za Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Jimbo la Same zimetolewa nje katika iliyokuwa ofisi ya chama ya jimbo hilo kwa kile kilichoelezwa ni kutokulipwa kwa kodi kwa miezi sita. Leo Julai 17, 2025 wameonekana mafundi wakipaka rangi na kufuta majina pamoja na rangi za CHADEMA ili...
  11. Enthusiastic

    Fact: Muslims and Christians do not Worship the same God

    1. If you read the Bible and Quran at the same time you will realize that God of the Bible is different from the god of Quran 2. Bible and Quran have different views about Jesus Christ. From Biblical perspective Jesus is the Son of the Living God while the Quran denies. There is a huge...
  12. DuaZaMama

    Idadi ya vifo katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Saba Saba vimefika 42

    Idadi ya vifo vya waliofariki katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Saba Saba barabara kuu ya Moshi-Tanga wilayani Same mkoani Kilimanjaro kwa kugongana uso kwa uso na kuungua moto imeongezeka na kufikia vifo 42 huku Serikali ikitarajia kesho kukabidhi miili ya wa marehemu hao katika Hospitali...
  13. Superbug

    Hii ajali ya same iliyouwa watu 50 mbona sijaiona jamiiforums?

    Nashangaa sana hii ni habari kubwa watu hamsini kufa Kwa ajali huko same na jamiiforums yote isijue sio kawaida. Naomba kama kuna Uzi wa hiyo ajali nijue maana Mimi ni mpare na same ni kwetu.
  14. Superbug

    Hii ajali ya same iliyouwa watu 50 mbona sijaiona jamiiforums?

    Nashangaa sana hii ni habari kubwa watu hamsini kufa Kwa ajali huko same na jamiiforums yote isijue sio kawaida. Naomba kama kuna Uzi wa hiyo ajali nijue maana Mimi ni mpare na same ni kwetu.
  15. B

    PreGE2025 Dkt. David Mathayo anayemalizia ubunge wake jimbo la Same Magharibi achukua fomu tena

    MBUNGE wa Jimbo la Same magharibi mkoani Kilimanjaro, Dkt. David Mathayo amechukua fomu ya kuwania Ubunge katika jimbo hilo kwa awamu nyingine. Mbunge huyo ambaye ameongoza kwa vipindi 4 mfulizo amedai kuwa anataka kuendeleza alipoishia katika kuwaletea wananchi maendeleo. Mathayo alifika...
  16. LAZIMA NISEME

    Suluhu ya Kukabiliana na Kilimo cha Mirungi yapatikana Wilayani Same

    DCEA yataja njia sahihi za kukabiliana na adhari zitokanazo na dawa za kulevya. PCCB na Sekretariati ya MAADILI ya viongozi wa umma yasisitiza uwajibikaji kwa Watendaji na viongozi ngazi ya Wilaya hadi Vitongoji wa umma. Halmashauri Same yaainisha mazao mbadala katika kukabiliana na kilimo cha...
  17. K

    Maisha ya wilayani Same mkoa wa Kilimanjaro

    Wadau nawasalimu Ndugu zangu mimi nalitumikia taifa kwa kuwahudumia watanzania wenzangu kwenye moja ya kada yenye kugusa maisha ya kila mtu. Kwenye hili jukwaa siyo mgeni sana Nimepata transfer ya kwenda ktk wilaya ya Same Kilimanjaro. Kwa nature ya kazi yangu eneo la kufanyia kazi itakuwa...
  18. Mwl.RCT

    I Thought I Was Over My Ex Until THIS Happened (My Fiancé Had The Same Problem)

    I Thought I Was Over My Ex Until THIS Happened (My Fiancé Had The Same Problem) Two years into my engagement with John—the man of my dreams—I started having vivid nightmares about my ex, Mike. I'd wake up in cold sweats, heart racing, feeling an inexplicable pull toward a past I thought I'd...
  19. peno hasegawa

    Watu saba wamefariki dunia na wengine 75 wamejeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea wilayani Same

    Watu saba wamefariki dunia na wengine 75 wamejeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea wilayani Same. Ajali ya kwanza ilitokea majira ya saa saba usiku wa kuamkia leo katika maeneo ya Njoro na kuhusisha basi la Kampuni ya Osaka lililokuwa likielekea Dar es Salaam, ambapo ilisababisha kifo...
  20. Pfizer

    DCEA yamnasa Kinara wa Mirungi, yateketeza Ekari 285.5 Same

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola, imefanya operesheni maalum wilayani Same, mkoani Kilimanjaro kuanzia tarehe 19 hadi 25 Machi 2025. Katika operesheni hiyo, ekari 285.5 za mashamba ya mirungi zimeteketezwa na watuhumiwa saba...
Back
Top Bottom