samatta

Mbwana Ally Samatta (born 23 December 1992) is a Tanzanian professional footballer who plays as a striker for English club Aston Villa and the Tanzania national team.
Samatta began his career as a youth player for Tanzanian club African Lyon in 2008. He turned professional in 2010 with Simba Sports Club, where he played for only half of the season before moving to TP Mazembe, spending a total of five years with them, initially becoming a first-team regular. He was named the 2015 African based Player of the Year, and finished the season as the top goalscorer of the CAF Champions League as he helped TP Mazembe to win the title.
In January 2016, Samatta signed for Belgian side K.R.C. Genk, helping them to qualify for the UEFA Europa League and win the Belgian Jupiler League in 2019. Having finished the season as the top goalscorer of the Jupiler League he also won the Ebony Shoe award in Belgium for his outstanding season with Genk.
In January 2020, he moved to Premier League club Aston Villa.

View More On Wikipedia.org
  1. Hongera Samatta kwa rekodi ya miaka minne bila kuifungia timu ya taifa

    Leo umetimiza miaka minne bila kufunga goli timu ya taifa hongera kwa rekod ya kipekee
  2. Mbwana Samatta ajiunga na Klabu ya Havre Athletic Club ya Ligue 1

    Mbwana Samatta: I’m delighted to be moving to @hac_foot!! I’ve learnt a lot about this historic and special club over the past few weeks and I believe in the project that’s being built. Thank you to the club for believing in me and I look forward to give 100% in the @Ligue1. I can’t wait to get...
  3. Mbwana Samatta ilikuwaje ukashindwa kumhamishia baba yako ‘ushuani’ ukakubali afie Mbagala?

    Mbagala Zakheem sijui Rangi tatu ni sehemu za ovyo na za hali ya chini sana kwa jijini Dar es salaam. Mahela yote ya wazungu ukashindwa hata kumjengea mzee wako mtoni kijichi Diamond sio mjinga kuhama Tandale, Bakhresa zamani aliishi Kariakoo ila serikali ilimuhamisha kinguvu, najua hata...
  4. TANZIA Baba Mzazi Wa Mbwana Samatta Afariki

    NI huzuni kubwa katika familia ya mshambuliaji wa timu ya taifa 'Taifa Stars', Mbwana Samatta kufuatia taarifa za kifo cha baba mzazi, Ally Samatta. Mzee Samatta amefariki dunia leo hii nyumbani kwake Mbagala Dar es Salaam na taarifa za kifo chake zimethibitishwa na mwanae, Mohamed Samatta...
  5. F

    Mbwana Samatta kijana mdogo anafanya uwekezaji wa kibabe bila makelele wala show offs

  6. Unafiki sio jadi yangu Samatta Mbwana ndiyo best football player ever in Tanzania history na huenda asijekutokea kama yeye

    Ana mataji kadhaa ya champion league Africa CAF TUZO YA MCHEZAJI BORA WA NDANI AFRICA Mfungaji Bora wa CAF Kucheza team kadhaa ulaya Best in scoring,dribling skill , shooting nk Hakika uyu mtu tumsifie kabla hajafariki Kipaji haswa
  7. Diamond Platnumz na Samatta nani ana mshiko mrefu?

    Hivi kati ya Diamond Platnumz na Samatta nani anaweza kuwa na pesa nyingi kumzidi mwenzie? Mimi naona Samatta, kuishi Ulaya zaidi ya miaka nane halafu kucheza Aston villa huku unalipwa milion Mia kwa wiki hii ni wazi kuwa Samatta ana mpunga mrefu sana ila hajataka kuyaweka wazi mafanikio yake ya...
  8. It's time to Tanzanians say thank you Samatta - Mchezaji wa kimataifa acheza kama mwanandondo cup

    Jf, Salaam! Huwa tunasema sana siasa - lkn leo tuseme sana mpira. Sijafahamu hitaji la wachezaji wa kitanzania - sijafahamu hitaji la kocha wa timu yetu ya taifa. * How come mchezaji wa kimataifa kama Samatta atoke uwanjani bila shuti la golini au nje ya goli? * How come mchezaji kama Kibu D...
  9. Je, Mbwana Samatta karejeshwa Taifa Stars kwa Shinikizo, Uwoga, Unafiki au kwa sasa Kiwango chake Kimeimarika huko aliko?

    Manake nakumbuka pia Baba yake Mwanae alipoachwa alifura kweli kweli utadhani Tanzania Mchezaji ni Mwanae tu.
  10. Samatta arejeshwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi ya kufuzu AFCON 2025 vs DR Congo

    Kikosi cha Timu ya Taifa "Taifa Stars" kitakachoingia kambini kujiandaa na michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025 vs DR Congo Oktoba 10, 2024 na Oktoba 15, 2024. Pia soma: ~ Samatta, Msuva watupwa nje kikosi cha Taifa Stars kufuzu afcon 2025 ~ DR Congo 0 - 0 Tanzania | Qualification AFCON 2025 |...
  11. Samatta , Kanumba na Diamond ndo vijana mlioacha alama chanya hapa Tanzania

    Kanumba (GOAT) wa filamu Tanzania Diamond (GOAT) wa Muziki Tanzania Samatta (GOAT) ktk Mpira Tanzania Hawa ndo vijana ambao Tangia TAIFA la Tazania liwepo wameonesha kuwa Sky is limit ✊🏿
  12. M

    Harusi za wenye hela Samatta, Majizo, Lulu, Millard Ayo zipo simple hakuna sherehe. Ila Harusi za vijana hohehahe tunakabana michango

    Habari wadau. Najiuliza kwa nini vijana matajiri wenye hela wanafanya harusi simple zisizo na michango wala sherehe kubwa zisizozidi bajeti hata milioni mbili. Mbwana Samatta alifunga ndoa akiwa anacheza mpira ulaya hakuna sherehe wala nini Majizo mmiliki wa EFM alifunga ndoa na Lulu...
  13. Mgunda, Moroco na Captain Samatta katika picha ya pamoja. Unahisi wanazungumza nini?

    Ipe maneno picha hii..
  14. Nguzo ya Taifa Stars inashikiliwa na safu ya ulinzi ya Yanga

    Tukiweka ushabiki pembeni, safu ya ulinzi ya Yanga imethibitisha kwa misimu miwili sasa kuwa ni safu ngumu sana kupitika si tu katika mashindano ya ndani ila hata ya kimataifa. Kuna jinsi hawa vijana wanajua kuwajibishana ndani na nje ya uwanja kiasi kwamba kila mmoja wao anahakikisha hazembei...
  15. O

    EDO KUMWEMBE: Ukimuwaza Miquissone unaongeza heshima kwa Samatta

    UNAPOANDIKA kitabu kinachohusu klabu ya Simba. Utaandika mwanzo, katikati, kisha kuna hizi kurasa za mwisho mwisho. Namaanisha hizi zama zetu za sasa. Utaandika sifa za baadhi za wachezaji. Utakutana na jina la Luis Miquissone. Katika sifa rahisi zaidi kumwelezea Miquissone inabidi uandike tu...
  16. Big up kwa SAMAKIBA foundation, Wape tabasamu, saidia wazazi na Mwamnyeto foundation.

    BILA Kujali timu unayoishabikia wala Mchezaji unayemshabikia.....hili SUALA la Wachezaji wanaocheza ndani na wale wanaocheza nje ya Tanzania Kutoa misaada ya kuwagusa Moja kwa Moja jamii inayowazunguka Ni Jambo jema ambalo linapaswa kuungwa mkono na kuigwa wachezaji wengi pamoja na vilabu...
  17. J

    Samatta akiwa kileleni na Mayele kwenye kilele nani zaidi?

    Wote ni washambuliaji wa mwisho, Samatta alikuwa mmaliziaji zaidi wakati Mayelle anatengeneza nafasi pia anamalizia, lakini pia ana spidi na anaweza kufunga goli katika angle ngumu, akienda Ulaya atafanya vizuri zaidi. Naona kama Mayelle ni zaidi, ni mtazamo tu lakini sio vita.
  18. Nafasi anayocheza Samatta pale Taifa Stars awe anawekwa Kibu Denis

    Japo Kibu hana akili ya mpira lakini anakupatia kitu kinaitwa work rate. Yaani akiwepo uwanjani anakuwa na pilikapilika nyingi ambazo zinaweza kuleta matokeo chanya. Huyu Samatta ameshapitwa na wakati.. hana chochote anachoiongezea timu awapo uwanjani.. Kibu anaweza kufanya link ya viungo...
  19. D

    Kwanini ligi yetu ni bora kuliko ya Uganda lakini wao ni bora kwenye timu ya taifa kuliko sisi?

    Siku zote tumekuwa vibonde wa majirani zetu Uganda, Takwimu zinaonesha kuwa tumekutana nao mara 24 na wametufunga mara 13 na tumewafunga mara 6 na tumedroo mara 5! Tunakwama wapi aseee? 😂😂Hapa niko nataka niweke mkeka Sokabet kwenye mechi ya leo ila uzalendo inabidi niweke pembeni nimpe...
  20. Mbwana Samatta ndio mchezaji bora wa soka wa muda wote Tanzania, GOAT

    Mchezaji pekee kutoka Tanzania kushinda CAF champions league. Mchezaji pekee wa Tanzania kua top scorer kwenye CAF Champions League. Mchezaji pekee Africa mashariki kushinda tuzo ya Mchezaji bora wa Africa (wachezaji wa ndani). Mfungaji namba mbili bora katika ligi ya Belgium, moja ya ligi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…