Msaada: Naomba kujuzwa namna ya kuifunga simu iliyoibiwa; IMEI ninazo

Kwa android hakuna ujanja akitaka kuitumia ataitumia truz hata Imei zinabadilishika, kulock simu kuna saidia tu asichunguze data zako na kupata siri zako.
Na kama email na pass aliwekewa na mtu na hakumbuki ila imei akawa nazo inaweza ikalokiwa?
 
Na kama email na pass aliwekewa na mtu na hakumbuki ila imei akawa nazo inaweza ikalokiwa?
Bro tafuta cm nyingine bora ingekua iphone lakini simu yoyote ya android funga pattern n password nafungia dakika moja tu. Unajiita @ Cia mgumu halfu hakuna kitu kichwani
 
Bro tafuta cm nyingine bora ingekua iphone lakini simu yoyote ya android funga pattern n password nafungia dakika moja tu. Unajiita @ Cia mgumu halfu hakuna kitu kichwani
Wewe ulitakiwa ujibu kwa utaalamu wako tu mkuu ila dhihaka si kitu rafiki, unaweza ukawa mjuzi wa kuzima simu ila huwezi kuingia shimoni
 
Back
Top Bottom