salute

A salute is a gesture or other action used to display respect. When saluting a person, as distinct from a flag or a National Anthem or other symbolic melody, the gaze must be towards that person, also when returning a salute. Thus, the respectable salute includes a greeting. Not looking at the person, as with most gestured greetings, is likely to be interpreted as disrespectful or an eye deficiency. Salutes are primarily associated with armed forces and law enforcement, but other organizations, such as girl guides, and boy scouts and other civilians also use salutes.

View More On Wikipedia.org
  1. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Kuna muda baadhi ya watu walidhani Nchimbi anatufanyia maigizo kwenda kinyume nao, kumbe jamaa alikua hatanii, salute kwake.

    Nisiandike mengi, niseme tu, salute kwako balozi, dkt Nchimbi Tungekua na wanaume watano tu kama wewe huko sisiem basi tungelikomboa taifa
  2. venchwa

    JamiiForums Tanzania Leo nipoe zangu na mtoto wa Uingereza kupata Royal salute whisky

    Mtoto kaingia 18 zangu Kasema leo nakutoa out wewe wala usiingie mfukoni nafika nkuta wameleta Royal salute whisky haha ni 800$ babeki Acha tule life Hatari
  3. Pulchra Animo

    JamiiForums Tanzania M7/7 Salute kwa wapigania haki wote wa Tanzania popote walipo!

    Kwa mara nyingine tena, wapigania haki wa Tanzania tumeonesha nguvu yetu kwa watawala haram very clearly. Hakuna ubishi kwamba sisi hatuna hata manati, lakini (for more than a week now) tumewalaza na viatu na kuwaandamanisha nchi nzima mazafakas wenye bunduki na vifaru. Na hii ni episode one tu...
  4. Khanji kapoor

    JamiiForums Tanzania Nampenda Trump Ila anaboa Sana ni mwoga wa Vita salute kwa Benjamin Netanyahu

    Km Trump asingekuwa mwoga wa Vita utawala wa kigaidi wa Iran ungeshaanguka mpaka Sasa Sasa Trump anapigana Vita vya sitaki nataka Iran ikipokea kipigo kidogo tu ikiomba ceasefire naye anajaa anasimamisha Vita Israeli ukianza kuangusha Moto mtakatfu kwa magaidi,Iran wanampigia simu Steve...
  5. Archival Sense

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda VIDEO: 21 GUN SALUTE SEALS IT, MUSEVENI SWEARS IN

    21-gun salute as Yoweri Museveni, Uganda’s newly sworn-in president, took two oaths on Tuesday, marking the beginning of a new five-year term that would extend his rule to nearly half a century. He took the oath at about 11:50am and received instruments of power within around six minutes...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Salute: Costa Ricky Mahalu - Mtu wa maana sana huyu!

    Professor Costa Ricky Mahalu is a Vice-Chancellor and Professor of Law at Tanzania's St. Augustine University. He is also an advocate at the High Court of Tanzania, Chairman of the Ardhi University Council, and a legal advisor to a number of local and international organizations working in...
  7. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Salute Kwa Wale Waliokwisha Oa Au Kuolewa. Tafadhali, Mliwezaje Kufanikisha Hilo.?

    Maisha ya mapenzi yamejaa comedy na stress kwa wakati mmoja, Naona ni ngumu sana kumpata mwanamke mzuri wa kuoa, Tayari ni takribani miaka miwili na miezi minne tangu nianze kuamua kutafuta mtu wa kuoa lakini bado sijafanikiwa. . Safari hii imekuwa ya mizunguko na drama kibao hadi sasa, na...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna tetesi kuwa kuna mambo yatafanyika ili kuzima yanayojiri Sasa

    Nimesikia baada ya Wasaidizi wake kuona kuwa Mitandaoni Kumenuka na kila Kona anashambuliwa kwa Boko lake alilolitoa Jana kuna Kikao kimefanyika huku Mhusika akiwa anatia Huruma kwani kuna Mtu Mmoja anayemheshimu sana kamwambia Ukweli kuwa jana ameharibu hata Yeye kamshangaa. Hivyo basi ili...
  9. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Rais tunaomba CCM tuletee kijana Kheri James nafasi ya Uenezi Taifa. CHADEMA watapiga salute kwa propaganda zake!

    WanaJf, SALAAM! Ukiona CDM, ACT, NCCR, NLD nk hawaandiki maneno ya kukosoa mwenezi Taifa ina maana aliyepo anawapa usingizi. Kama ilivyokuwa kwa Nape, na Polepole enzi zao nafasi ya Itikadi na Uenezi ilikifanya CCM tujisikie raha sana. Kwa hiyo ktk kipindi hiki ambacho vyama vya upinzani...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wale mlionidhihaki na kunibishia niliposema hapa JF kuwa Manzoki haji Simba SC mbona hamnipigii 'Salute' yangu?

    Nakumbuka nilipoiandika ile Mada ( nilipouanzisha ule Uzi ) kama kawaida GENTAMYCINE nilishambuliwa ila kama Kawaida yangu niliendelea Kujiamini huku nikiwa na uhakika tena wa 100% kuwa Mchezaji Ceaser Lobi Manzoki haji ng'o Simba SC na kwamba Uongozi wa Simba SC unawafanyeni Mazuzu na...
  11. Joseverest

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

    01' Kipute kinapulizwa uwanja wa Benjamin Mkapa. 01' Simba wanakuwa wakwanza kulifikia lango la Yanga, pasi ya mwisho inakosa tija. 03' Simba wanapata faida ya faul ya kwanza baada ya Okrah kuangushwa. 04' Onyango anashindwa kuufikia mkwaju wa adhabu ndogo kutoka kwa Chama. 06' Simba...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Saa 6 zimepita video ya salute ya Kiba haijatimba top 10 ya YouTube trending, je haina vibe?

    baadhi yetu tulikuwa na matumaini makubwa juu ya video hii kuleta tikisiko na tetemeko huko youtube ila naona masaa 6 yamepita sasa videi haipi hata kumi bora huko youtube. upande wa simba yule anaembiwa atulize mzuka ili na wengine wapate ahueni mbugani naona simba amekataa ushauri, video tatu...
  13. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Salute video mbovu. Sio kidogo, sana..

    Hawa wasanii naona hawapo serious. Diamond ametoa wombo wake wa dakika 2 haraka haraka ova alikua hajajiandaa wakati alikua kimya kwa zaidi ya miezi 6. Huyu Alikiba nae Salute atleast audio inasikilizika na ndefu kidogo dakika 4 ila video haileti maana kabisa. Very bad acting. Iko cheap...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Je, kiprotokali Mkuu wa Majeshi (CDF) atampigia salute Meja Generali?

    Habari, Juzi Mh. Rais, Mh. Samia Suluhu Hassan ameteua wakuu wa mikoa wa mikoa yote ya Tanzania bara na miongoni ya walioteuliwa ni aliyekuwa mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja General Charles Mbuge kuwa mkuu wa Mkoa wa Kagera akichukua nafasi ya Brigedia Generali Marco Kaguti ambaye...
Back
Top Bottom