HAKUNA ALIYE SALAMA
Mtunzi: Robert Heriel
0693322300
Chungu cha 01
Kinu alikuwa ameketi kwenye wheelchair, akitingisha kichwa chake kwa taratibu, udenda ukimtoka mdomoni. Macho yake yalikuwa matupu kwa nje, lakini kwa ndani yakiwa kama rada ya kijeshi. Nyuma yake alikuwa amesimama Moreen...