sakata

Sakata (酒田市, Sakata-shi) is a city located in Yamagata Prefecture, Japan. As of 1 October 2015, the city has an estimated population of 106,244 in 39320 households, and a population density of 180 people per km². The total area of the city is 602.97 square kilometres (232.81 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Sakata la Warere Beach hotel kwa mtalii mgeni, Serikali ichunguze, wahusika wachukuliwe hatua, wametia doa sekta ya utalii nchini

    Katika pitapita zangu za leo nimekutana na tweet hii ya binti kutoka Nigeria,aliyekuja Tanzania kwenye matembezi na kusherekea sikukuu yake ya kuzaliwa . Ameeleza namna ambavyo alikuwa amelala Warere beach hotel na usiku wa manane akashangaa kuna mwanaume kitandani anampapasa papasa na...
  2. Sakata la Makonda limeonyesha wengi wetu hatupo tayari kwa utawala wa kisheria

    Nawasalimu kwa jina chama pendwa, CCM. Leo nami natumia haki yangu ya kikatiba kwa mujibu wa ibara ya 18 ya katiba ya JMT. Tangu jana mitandaoni suala kubwa lililoibuka ni aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar Ndugu Makonda kudai kuna vitisho dhidi ya maisha yake. Watu wengi sana wameongelea kuhusu...
  3. Kilimanjaro: TAKUKURU yaingilia sakata la Meya aliyeng’olewa Moshi

    Juma Raibu Taasisi ya Kuzia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imethibitisha kuwa inamchunguza aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Moshi, Juma Raibu ambaye alivuliwa wadhifa huo Aprili 11, 2022, kwa tuhuma mbalimbali. Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Kilimanjaro, Frida Wikes alisema walipokea taarifa na...
  4. Sakata la JATU PLC lazidi kupamba moto, Serikali yaingilia kati mgogoro wake na wanachama

    Serikali imesema inaifuatilia Kampuni ya Jenga Afya Tokomeza Umasikini (Jatu PLC) baada ya baadhi ya wanachama wake kudai kutapeliwa mamilioni ya fedha waliyowekeza katika miradi ya kilimo. Kwa mujibu wa tovuti ya Jatu PLC, kampuni hiyo inayowaunganisha wakulima na kuwawezesha kulima kisasa...
  5. Sakata la Spika Mstaafu Ndugai kukupa 'Ukweli' wako ulilikabili Mwenyewe 'Kimadaha' kwanini leo hii Sakata la Mafuta unataka usaidiwe Kusemewa?

    Mbona Sakata la Mafuta na Wananchi Kulalamika / Kulilalamikia ni rahisi sana Kulifafanua kwa Watanzania ( Wananchi ) na Wakalielewa hata kuliko lile la Spika Mstaafu Ndugai kukupa Ukweli wako kuhusu 'Kukopakopa' hovyo sasa iweje tena leo unataka Watu wakusaidie Kukusemea ili Watanzania...
  6. Sakata la Usiku wa Oscars: Jada Smith avunja ukimya, Mauzo ya Show za Chris Rock yaongezeka

    Baada ya kimya cha muda mfupi, hatimayeJada Pinkett Smith amevunja ukimya baada ya tukio la mumewe kumpiga kibao Chris Rock kwa kumfanyia mzaha katika usiku wa utoaji wa Tuzo za heshima za filamu, maarufu kama Oscars. Katika chapisho fupi katika mtandao wa Instagram, mwigizaji huyo aliandika...
  7. Tanganyika groundnuts scheme na sakata la mafuta ya kula

    Wakati wa vita ya pili ya dunia Uingereza ilipatwa na upungufu mkubwa sana wa mafuta ya kula. Wakakaa chini wakaumiza vichwa wafanye nini. Wakakubaliana kulima karanga kwenye koloni lao la Tanganyika. Mipango ikafanywa, eneo linalofaa likatafutwa, wakapata huko Kondoa. Wakanunua matrekta...
  8. Katika hili Sakata nimegundua Hiphop kwa wa Tanzania siyo Uhalisia, haina issue na pia Waimbaji ni wanafiki

    Zamani nlikuwa namwona Fiq Q ni mmoja ya wasanii wanaojielewa....nlidhani kichwani ana akili. Fid Q kama upo humu. Kwa kweli nlikuwa namkubali sana.. Ila hili sakata la Steve Nyenyere limenishtua ni kunifanya nigundue kumbe hamna kitu kichwani. Yaani kwa Mistari ya Fid Q ilivyo ya kigumu ya...
  9. F

    Hili sakata la akina Halima Mdee na wenzake ndo linadhihirisha udhaifu wa CHADEMA kama taasisi!

    Ukiangalia kwa makini utaona CHADEMA ni Chama dhaifu sana ambacho hakina dira yoyote zaidi kutanguliza siasa za kibabe, maslahi binafsi, ukabila,ukanda na siasa za utoto utoto tu! CHADEMA kwa zaidi ya miongo mitatu (miaka 30) imeshindwa kabisa kujenga taasisi imara yenye mifumo imara na chain...
  10. TAKUKURU yaingilia kati sakata la Makonda na GSM. GSM aliripoti hati ya kiwanja kupotea

    Serikali imesema inalichunguza sakata la aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM) la kugombea kiwanja Na.60 kilichopo Regent Estate Manispaa ya Kinondoni jijini hapa. Akizungumza mwisho wa wiki iliyopita, Wakili wa GSM, Alex Mgongolwa...
  11. Mbowe kuachiwa Huru: Leo mshitaki, mshitakiwa na refa, wote wanasherehekea

    Michezo ya kisiasa huwa iko complex kiasi kwamba huzalisha conspiracies nyingi. Kwa bahati mbaya na kwa heshma ya msemo wa "the majority are always not right" huwa tunaangalia kile tu tunaona(patent). Mi kwa mtazamo wangu 1. Serkali na CCM kama chama tawala ndo washindi No moja katika sakata...
  12. D

    Sakata la Zumaridi na namna alivyokamatwa na polisi ni kichefuchefu, sheria haikuzingatiwa

    Mhalifu hawi mhalifu hadi pale itakapothibitika! Sakata la mfalme Zumaridi (Kiongozi wa kanisa la Zumaridi huko Mwanza) Linaacha midomo wazi kwa wapenda haki na utii wa sheria! Sipo hapa kumtetea Mfalme Zumaridi, Bali nashangaa namna ya uharamu wa ukamtaji! Taratibu za ukamataji kwa mujibu wa...
  13. IGP Sirro afunguka sakata la Mtwara

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amesema haikuwa kazi rahisi kuchunguza, kuwakamata na kufikishwa kortini maofisa saba wa jeshi hilo mkoani Mtwara kwa tuhuma za kumuua mfanyabiashara wa madini na kumpora mamilioni ya fedha. Alisema ugumu wa suala hilo ulitokana na kuwahusisha...
  14. JWTZ: Daima tutamlinda na kumtii Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu

  15. B

    Kujiuzulu kwa Ndugai: Hongereni CHADEMA na NCCR japo haikutosha

    Amefurushwa Mh. Ndugai kiongozi wa mhimili kinyume cha katiba. Katika hali ya kusikitisha, ni Chadema na NCCR pekee ndiyo angalau wamefahamika wanasimama wapi kwenye kadhia hii: Bado hakuna matamko yoyote rasmi ya kupinga au hata kukemea vikali kabisa ukiukwaji mkubwa huu wa haki za Mh...
  16. Sakata la Spika Ndugai; CCM imeonesha kiwango cha chini cha Uongozi

    CCM kama chama kikongwe na kilichodumu kwa mda wa miaka, ni chama kinachoaminika kuwa na uongozi imara na makini. Binafsi nimeshangaa kuona namna gani umeshindwa kushugulikia swala la Spika na Rais. Maswala haya ni ya mihimili miwili, Spika anatakiwa alindwe kwa nguvu na kama anavyolindwa Rais...
  17. Lazaro Nyarandu na Bilionea kutoka Uingereza Katika Sakata Wilson Airport Nairobi

    Wakati joto la uchaguzi wa Kenya likipanda Aliyekuwa Waziri wa Utali wa Tanzania Nyarandu ameonekana akiwa na Bilionea wa Uingereza pamoja na msaidizi wa Ruto kwa jina Sudi wakizuiwa kwenye uwanja wa ndege Nairobi. Inasemekana Nyarandu na Bilionea huyo walitokea Tanzania kwa ndege ya kukodi na...
  18. B

    Sakata la Ndugai: Mashabiki wako mkao wa Kula

    Siasa si ushabiki, wala vita vya kisiasa si lelemama. Haipo shaka aina za kina Lissu, Mbowe na wa namna hiyo ni machampioni kweli kweli. Si haba pia kwa kina Polepole, Kinana, Makamba au kina Membe kwa wakati wao. Kwa hakika nao walijaribu. Wa kuzingatiwa katika vita huwa ni maadui na...
  19. K

    Sakata la kanisa linalopiga muziki kutwa kucha Tabora labainika kutokuwa na kibali, lapewa notisi. Kigogo wa Wilayani ahongwa ahaha kulifungulia

    Katika hali ya kushangaza kanisa lililotikisa mkoani Tabora kwa karibu miaka miwili kupiga muziki kwa sauti kubwa sana, mahubiri ya kashfa kwa dini zingine kuhubiri mahubiri ya ndoa hadharani limebainika kutokuwa na kibali wala usajili wa kuendesha ibada mkoani Tabora. Licha ya malalamiko ya...
  20. Sakata la viongozi wa CCM kulazwa mahabusu lachukua sura mpya

    Babati. Sakata la kukamatwa na polisi na kulazwa mahabusu kwa viongozi wawili wa CCM wilayani Babati Mkoa wa Manyara, kwa madai ya kumpiga askari Polisi limechukua sura mpya baada ya mashuhuda wa tukio hilo kudai kuwa polisi huyo hakupigwa. Viongozi waliokamatwa na kulazwa mahabusu katika kituo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…