Hili sakata la akina Halima Mdee na wenzake ndo linadhihirisha udhaifu wa CHADEMA kama taasisi!

Fumadilu Kalimanzila

JF-Expert Member
Dec 10, 2016
1,651
5,126
Ukiangalia kwa makini utaona CHADEMA ni Chama dhaifu sana ambacho hakina dira yoyote zaidi kutanguliza siasa za kibabe, maslahi binafsi, ukabila,ukanda na siasa za utoto utoto tu!

CHADEMA kwa zaidi ya miongo mitatu (miaka 30) imeshindwa kabisa kujenga taasisi imara yenye mifumo imara na chain of command inayoeleweka!

Kimeshindwa hata kujenga ofisi ya Makao Makuu licha ya mabilioni ya ruzuku kilichopokea toka serikalini na mabilioni ya wafadhili kilichopokea na kutafunwa na wajanja wachache kupitia ujanja ujanja wa eti kukopesha CHAMA na baadaye kujilipa.

Leo kina Halima Mdee na wenzake wanaenda kuvuliwa Ubunge ili watu waweke wake zao, hawara zao na watu wengine wa ajabu ajabu kujaza nafasi hizo.

Vijana wengine humu ni mbumbumbu hawajui chochote zaidi ya kuitwa tu makamanda uchwara wakati wengine wanapiga maisha kupitia hizi siasa za kijinga jinga!

Umeona Godbless Lema na Ezekiah Wenje baada ya kushindwa Ubunge na kuelemewa na madeni wakakimbilia Canada kulelewa kwa kusingizia kutishiwa maisha!

Hivi nani amtishie maisha Lema au Wenje baada tu ya kushindwa Ubunge?!

Ukiangalia vizuri utaona wanawake wote makini ambao wamejengwa na kujijenga vizuri kisiasa ndani ya CHADEMA wako kwenye hao Wabunge 19.

Sasa kwani adhabu ni lazima muwafukuze uanachama na hakuna adhabu zingine?!

Acheni hizo, kina Mbowe wamekula mabilioni mangapi ndani ya CHADEMA kwa ujanja ujanja na hamjawafukuza uanachama?!

Kama Taifa tusikubali siasa hizi za kijinga jinga ndani ya Taifa kwani zinajenga precedent mbaya sana katika maendeleo ya demokrasia na ukombozi dhidi ya wanawake.
 
Kutapatapa ni dhihirisho kuwa haki itatendeka mke wa mtu naye ana haki ya kuongoza sio magumegume tu. Shetani hawezi kubadirika kuwa mstaarabu hata siku moja. Tuache haki itendeke dhambi daima ni utumwani huwezi kuwa na amani moyoni wasiwasi hutawala siku zote.
 
Ukiangalia kwa makini utaona CHADEMA ni Chama dhaifu sana ambacho hakina dira yoyote zaidi kutanguliza siasa za kibabe, maslahi binafsi, ukabila,ukanda na siasa za utoto utoto tu!

CHADEMA kwa zaidi ya miongo mitatu (miaka 30) imeshindwa kabisa kujenga taasisi imara yenye mifumo imara na chain of command inayoeleweka!

Kimeshindwa hata kujenga ofisi ya Makao Makuu licha ya mabilioni ya ruzuku kilichopokea toka serikalini na mabilioni ya wafadhili kilichopokea na kutafunwa na wajanja wachache kupitia ujanja ujanja wa eti kukopesha CHAMA na baadaye kujilipa.

Leo kina Halima Mdee na wenzake wanaenda kuvuliwa Ubunge ili watu waweke wake zao, hawara zao na watu wengine wa ajabu ajabu kujaza nafasi hizo.

Vijana wengine humu ni mbumbumbu hawajui chochote zaidi ya kuitwa tu makamanda uchwara wakati wengine wanapiga maisha kupitia hizi siasa za kijinga jinga!

Umeona Godbless Lema na Ezekiah Wenje baada ya kushindwa Ubunge na kuelemewa na madeni wakakimbilia Canada kulelewa kwa kusingizia kutishiwa maisha!

Hivi nani amtishie maisha Lema au Wenje baada tu ya kushindwa Ubunge?!

Ukiangalia vizuri utaona wanawake wote makini ambao wamejengwa na kujijenga vizuri kisiasa ndani ya CHADEMA wako kwenye hao Wabunge 19.

Sasa kwani adhabu ni lazima muwafukuze uanachama na hakuna adhabu zingine?!

Acheni hizo, kina Mbowe wamekula mabilioni mangapi ndani ya CHADEMA kwa ujanja ujanja na hamjawafukuza uanachama?!

Kama Taifa tusikubali siasa hizi za kijinga jinga ndani ya Taifa kwani zinajenga precedent mbaya sana katika maendeleo ya demokrasia na ukombozi dhidi ya wanawake.
Kwa uhuni uliofanyika achilia mbali kuwaweka wake na Hawara zao, hata wakiwaweka paka na mbwa wao ni fureshi tu kuliko uhuni ule wenye baraka za waliofanya uchafuzi katika uchaguzi ule.
 
Hao c 19wasicheleweshwe hata sekunde kitendo walichokifanya ni unforgivable hasa bwana yule mwenye sauti ya kilevi haiwezekani watu wamekuwa wana cdm for more than 20 yrs wanaamua kukiuka utaratibu wa chama kwa kushirikiana na maadui wa chama kuforge nyaraka ili wapate ubunge simply kulikuwa na mtu mzito kwa ulevi wa wa madaraka aliwaaambia liwe jua au mvua mtaendelea kuwa wabunge kwa kuwa mama Samia ni mtu anayeheshimu katiba yetu wajiandae kuquit off .No matter atawekwa nani bora afuate procedures zilizopo nothing more lasivyo cdm watafuga ubovu huo
 
Umeandika kwa hasira sana! Tatizo nini?
Ukiangalia kwa makini utaona CHADEMA ni Chama dhaifu sana ambacho hakina dira yoyote zaidi kutanguliza siasa za kibabe, maslahi binafsi, ukabila,ukanda na siasa za utoto utoto tu!

CHADEMA kwa zaidi ya miongo mitatu (miaka 30) imeshindwa kabisa kujenga taasisi imara yenye mifumo imara na chain of command inayoeleweka!

Kimeshindwa hata kujenga ofisi ya Makao Makuu licha ya mabilioni ya ruzuku kilichopokea toka serikalini na mabilioni ya wafadhili kilichopokea na kutafunwa na wajanja wachache kupitia ujanja ujanja wa eti kukopesha CHAMA na baadaye kujilipa.

Leo kina Halima Mdee na wenzake wanaenda kuvuliwa Ubunge ili watu waweke wake zao, hawara zao na watu wengine wa ajabu ajabu kujaza nafasi hizo.

Vijana wengine humu ni mbumbumbu hawajui chochote zaidi ya kuitwa tu makamanda uchwara wakati wengine wanapiga maisha kupitia hizi siasa za kijinga jinga!

Umeona Godbless Lema na Ezekiah Wenje baada ya kushindwa Ubunge na kuelemewa na madeni wakakimbilia Canada kulelewa kwa kusingizia kutishiwa maisha!

Hivi nani amtishie maisha Lema au Wenje baada tu ya kushindwa Ubunge?!

Ukiangalia vizuri utaona wanawake wote makini ambao wamejengwa na kujijenga vizuri kisiasa ndani ya CHADEMA wako kwenye hao Wabunge 19.

Sasa kwani adhabu ni lazima muwafukuze uanachama na hakuna adhabu zingine?!

Acheni hizo, kina Mbowe wamekula mabilioni mangapi ndani ya CHADEMA kwa ujanja ujanja na hamjawafukuza uanachama?!

Kama Taifa tusikubali siasa hizi za kijinga jinga ndani ya Taifa kwani zinajenga precedent mbaya sana katika maendeleo ya demokrasia na ukombozi dhidi ya wanawake.
 
Ukiangalia kwa makini utaona CHADEMA ni Chama dhaifu sana ambacho hakina dira yoyote zaidi kutanguliza siasa za kibabe, maslahi binafsi, ukabila,ukanda na siasa za utoto utoto tu!

CHADEMA kwa zaidi ya miongo mitatu (miaka 30) imeshindwa kabisa kujenga taasisi imara yenye mifumo imara na chain of command inayoeleweka!

Kimeshindwa hata kujenga ofisi ya Makao Makuu licha ya mabilioni ya ruzuku kilichopokea toka serikalini na mabilioni ya wafadhili kilichopokea na kutafunwa na wajanja wachache kupitia ujanja ujanja wa eti kukopesha CHAMA na baadaye kujilipa.

Leo kina Halima Mdee na wenzake wanaenda kuvuliwa Ubunge ili watu waweke wake zao, hawara zao na watu wengine wa ajabu ajabu kujaza nafasi hizo.

Vijana wengine humu ni mbumbumbu hawajui chochote zaidi ya kuitwa tu makamanda uchwara wakati wengine wanapiga maisha kupitia hizi siasa za kijinga jinga!

Umeona Godbless Lema na Ezekiah Wenje baada ya kushindwa Ubunge na kuelemewa na madeni wakakimbilia Canada kulelewa kwa kusingizia kutishiwa maisha!

Hivi nani amtishie maisha Lema au Wenje baada tu ya kushindwa Ubunge?!

Ukiangalia vizuri utaona wanawake wote makini ambao wamejengwa na kujijenga vizuri kisiasa ndani ya CHADEMA wako kwenye hao Wabunge 19.

Sasa kwani adhabu ni lazima muwafukuze uanachama na hakuna adhabu zingine?!

Acheni hizo, kina Mbowe wamekula mabilioni mangapi ndani ya CHADEMA kwa ujanja ujanja na hamjawafukuza uanachama?!

Kama Taifa tusikubali siasa hizi za kijinga jinga ndani ya Taifa kwani zinajenga precedent mbaya sana katika maendeleo ya demokrasia na ukombozi dhidi ya wanawake.
Sasa huo ubunge walipewa na hawara yao ndugai au hilo ni halali.

Una bichwa empty chizi
 
Kama Taifa tusikubali siasa hizi za kijinga jinga ndani ya Taifa kwani zinajenga
precedent
mbaya sana katika maendeleo ya demokrasia na ukombozi dhidi ya wanawake.

Mbumbumbu mkubwaprecedent ndo nini
 
Unapo andika ndugu yangu ujaribu kurudi nyuma na ujiulize
1.Je hao unao watetea walitenda kosa au hawakutenda kosa
2. Kwa kuwa hao 19 wengi wao walianza kuwa viti maalumu kupitia CHADEMA je unataka kusema walikuwa wake au mahawara wa viongozi? Kwa mfano Mdee, Esther Matiko na Jesca Kishoa
Mwisho usilete post humu kama unawapelekea chekechea wasio na uwezo wa kuchambua mambo.
 
Kama Taifa tusikubali siasa hizi za kijinga jinga ndani ya Taifa kwani zinajenga
precedent
mbaya sana katika maendeleo ya demokrasia na ukombozi dhidi ya wanawake.

Mbumbumbu mkubwaprecedent ndo nini
Wewe ndo mbumbumbu usiyejua hata maana ya precedent! Precedent maana yake ni muktadha kwa kiswahili.
Kamanda mbuzi wewe!
 
Ukiangalia kwa makini utaona CHADEMA ni Chama dhaifu sana ambacho hakina dira yoyote zaidi kutanguliza siasa za kibabe, maslahi binafsi, ukabila,ukanda na siasa za utoto utoto tu!

CHADEMA kwa zaidi ya miongo mitatu (miaka 30) imeshindwa kabisa kujenga taasisi imara yenye mifumo imara na chain of command inayoeleweka!

Kimeshindwa hata kujenga ofisi ya Makao Makuu licha ya mabilioni ya ruzuku kilichopokea toka serikalini na mabilioni ya wafadhili kilichopokea na kutafunwa na wajanja wachache kupitia ujanja ujanja wa eti kukopesha CHAMA na baadaye kujilipa.

Leo kina Halima Mdee na wenzake wanaenda kuvuliwa Ubunge ili watu waweke wake zao, hawara zao na watu wengine wa ajabu ajabu kujaza nafasi hizo.

Vijana wengine humu ni mbumbumbu hawajui chochote zaidi ya kuitwa tu makamanda uchwara wakati wengine wanapiga maisha kupitia hizi siasa za kijinga jinga!

Umeona Godbless Lema na Ezekiah Wenje baada ya kushindwa Ubunge na kuelemewa na madeni wakakimbilia Canada kulelewa kwa kusingizia kutishiwa maisha!

Hivi nani amtishie maisha Lema au Wenje baada tu ya kushindwa Ubunge?!

Ukiangalia vizuri utaona wanawake wote makini ambao wamejengwa na kujijenga vizuri kisiasa ndani ya CHADEMA wako kwenye hao Wabunge 19.

Sasa kwani adhabu ni lazima muwafukuze uanachama na hakuna adhabu zingine?!

Acheni hizo, kina Mbowe wamekula mabilioni mangapi ndani ya CHADEMA kwa ujanja ujanja na hamjawafukuza uanachama?!

Kama Taifa tusikubali siasa hizi za kijinga jinga ndani ya Taifa kwani zinajenga precedent mbaya sana katika maendeleo ya demokrasia na ukombozi dhidi ya wanawake.
Mbona unalialia Sana🙄
 
Usijali TULIA ACKSON atawalinda kama NISAMEHE MIMI NIMEKOSA MIMI alivyowalinda
 
Baraza Kuu linakutana tarehe 25.04.2022 usianze kulia mapema, tulia muda wenu ufike.
 
Ukiangalia kwa makini utaona CHADEMA ni Chama dhaifu sana ambacho hakina dira yoyote zaidi kutanguliza siasa za kibabe, maslahi binafsi, ukabila,ukanda na siasa za utoto utoto tu!

CHADEMA kwa zaidi ya miongo mitatu (miaka 30) imeshindwa kabisa kujenga taasisi imara yenye mifumo imara na chain of command inayoeleweka!

Kimeshindwa hata kujenga ofisi ya Makao Makuu licha ya mabilioni ya ruzuku kilichopokea toka serikalini na mabilioni ya wafadhili kilichopokea na kutafunwa na wajanja wachache kupitia ujanja ujanja wa eti kukopesha CHAMA na baadaye kujilipa.

Leo kina Halima Mdee na wenzake wanaenda kuvuliwa Ubunge ili watu waweke wake zao, hawara zao na watu wengine wa ajabu ajabu kujaza nafasi hizo.

Vijana wengine humu ni mbumbumbu hawajui chochote zaidi ya kuitwa tu makamanda uchwara wakati wengine wanapiga maisha kupitia hizi siasa za kijinga jinga!

Umeona Godbless Lema na Ezekiah Wenje baada ya kushindwa Ubunge na kuelemewa na madeni wakakimbilia Canada kulelewa kwa kusingizia kutishiwa maisha!

Hivi nani amtishie maisha Lema au Wenje baada tu ya kushindwa Ubunge?!

Ukiangalia vizuri utaona wanawake wote makini ambao wamejengwa na kujijenga vizuri kisiasa ndani ya CHADEMA wako kwenye hao Wabunge 19.

Sasa kwani adhabu ni lazima muwafukuze uanachama na hakuna adhabu zingine?!

Acheni hizo, kina Mbowe wamekula mabilioni mangapi ndani ya CHADEMA kwa ujanja ujanja na hamjawafukuza uanachama?!

Kama Taifa tusikubali siasa hizi za kijinga jinga ndani ya Taifa kwani zinajenga precedent mbaya sana katika maendeleo ya demokrasia na ukombozi dhidi ya wanawake.
Alisikika kalumanzila mmoja akilalamika toka pande za Lumumba
 
Mbona kama nawe ni miongoni mwa COVID-19?Unawatetea kwa kuwa in wanawake au lingine?Hao unaowatetea wanafahamu kujitetea na wengine ni wasomi wazuri wenye uwezo Wa kujieleza kuliko wewe,kulikoni?
Unafahamu kwa mini walifukuzwa Uanachama?Walighushi barua za kuwatambulisha bungeni,msamaha wanaombewa na CCM!
 
Back
Top Bottom