SAIKOLOJIA YA HASIRA NA UFALME WA MUNGU
"A Rhapsody For Kingdom Anger Management Strategies"
Amani Na Salama 🙏
Mimi sijambo na Karibu.
MASWALI YA KUJIULIZA.
1.Umewahi kuwa na hasira?
2.Huwa unapata hasira Mara kwa Mara?
3.Ukiwa na hasira huwa unafanyaje?
4. Je, Kuna ndugu, jamaa au marafiki...