sahihi

  1. JamiiForums Tanzania Aliamua kujioa baada ya kusubiri mwanaume sahihi kwa miaka 20

    Septemba 2017, mwanamke Laura Mesi, mwalimu wa mazoezi ya viungo wa Italia mwenye umri wa miaka 40, alifanya jambo ambalo lilivutia dunia: alijioa yeye mwenyewe kwenye sherehe ya harusi kamili, akivaa nguo nyeupe, akiwa na wapambe wa harusi na wageni 70 walioungana kusherehekea pamoja naye...
  2. JamiiForums Tanzania Wazee wa grammar, lipi ni jibu sahihi kati ya haya?

  3. Q

    JamiiForums Tanzania TUJADILI: Mbinu gani sahihi itumike kuiondoa CCM madarakani?

    Kwa muundo wa CCM na serikali yake ulivyo bila katiba mpya huwezi kuiondoa kwa njia ya sanduku la kura. Je, tuendelee ku-push kuandikwa kwa katiba mpya kwa njia za amani hadi tuipate? Je, tu-push Maridhiano ya kitaifa? Je, tuendeleze maandamano ya MO29 yalipoishia au tuyaboreshe. How. Je...
  4. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuwaeleza wazazi wako kiasi cha mshahara unachopokea?

    Wakuu, nimepata kazi! 🎉 Lakini baada ya furaha yote, dada yangu ameniambia kuwa ni lazima niwaambie wazazi wetu kiasi cha mshahara wangu ninachopokea. Akaniambia, “La sivyo, itaonekana unawadharau.” Hapo ndipo swali moja lilipoanza kuzunguka kichwani mwangu… Hofu imenijia: je, ni sahihi...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Trump yupo sahihi, Maduro alituma magari ya polisi kuwakanyaga waandamanaji waliomkosoa

    Binafsi naungana na Trump kuwaonya viongozi wote katiri, wenye kiburi na wasioheshimu haki za wananchi wao. Mwaka 2019, wananchi wa Venezuela waliandamana kupinga matumizi mabaya ya mali za umma, utekaji, kupotea kwa wakosoaji, ukosefu wa ajira na utawala wa sheria, Maduro aliwajibu...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano Kati ya China na Afrika waweka mwelekeo sahihi wa kuboresha kilimo barani Afrika

    Moja kati ya maeneo yanayotajwa kuwa na uwezekano mkubwa wa kuliondoa bara la Afrika kwenye changamoto za umaskini na usalama wa chakula ni kuboresha sekta ya kilimo. Kutokana na bara la Afrika kuwa na ardhi kubwa inayofaa kwa kilimo, idadi kubwa ya watu wanaojishughulisha na sekta ya kilimo, na...
  7. JamiiForums Tanzania Profesor Janabi asisitiza kuzingatia ulaji sahihi kipindi cha sikukuu, hasa kuepuka pilau na nyama

    Mkurugenzi wa shirika la afya duniani ( WHO) ukanda wa Africa, Professor Janabi Amesisitiza wananchi kuepuka pilau na nyama Kwakuwa ni Milo yenye madhara kiafya Pia ameshauri watu kuacha kutumia soda na beer 🍺 siku hiyo Badala yake ameshauri watu wale matunda, mboga za Majani na maji mengi
  8. JamiiForums Tanzania Ni kweli "Katiba ni kijitabu tuu" katiba ya kweli ni mimi na wewe kubadilika kuwa waadilifu. Hiyo ndio katiba mpya

    Ni kweli "KATIBA NI KIJITABU TUU" KATIBA YA KWELI NI MIMI NA WEWE KUBADILIKA KUWA WAADILIFU. HIYO NDIO KATIBA MPYA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kisheria Katiba ni zaidi ya kitabu. Hii ni kweli. 2. Lakini Kifalsafa Katiba ni kijitabu tuu. Haina tofauti na Biblia au Quran. Kwamba ni...
  9. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akataa kuuza utu wake kwa hongo. Majaji hawataki kuingia kwenye rekodi mbaya. Samia akosa namna sahihi ya kuachana na kesi ya mtu huyu..!

    Ukitaka kuelewa ni kwanini risasi 42 alizopigwa Tundu Lissu Septemba 7, 2017 na 16 zikaingia mwilini mwake hazikupata ruhusa za kuondoa uhai wake, basi jibu unaweza kulipata wakati huu kwa kuangalia mtiririko wa matukio kumhusu.. Simulizi ya Wakili Dr Rugemeleza Nshala (unaweza kufuatilia...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wanakosa taarifa sahihi juu ya mikopo inayotolewa na halmashauri kwa ajili ya kujiajiri, hali inayowarudisha nyuma kiuchumi na kuchangia

    Ukosefu wa Uhamasishaji wa Kutosha: Wengi wa vijana hawajui kuwa halmashauri hutenga asilimia 10 ya mapato yake ya ndani kwa mikopo ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu (kila kundi asilimia 4, 4, Viongozi wa halmashauri hawafanyi kampeni za kutosha kuwafikia vijana katika kata, vijiji au...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanamke sahihi wa kuoa: mapenzi yenu 10%, Malezi 80%, zinazobaki ni utimamu wa akili

    Ushauri huu nilipewa na rafiki yangu ambae ni mtu wa india wakati bado tupo vijana, mwanamke sahihi wa kuoa sio yule unaempenda sana, lakini mapenzi lazima yawepo angalau kwa asilimia kumi, ukiangalia katika nchi ambazo zina ndoa nyingi zinadumu sana basi india ndo inaongoza duniani, japokua kwa...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Wakala wa Vipimo Tanzania na Zambia kushirikiana kusimamia matumizi sahihi ya vipimo

    Wakala wa Vipimo Tanzania na Zambia kushirikiana kusimamia matumizi sahihi ya vipimo Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) na Zambia (ZMA) zimesaini mkataba wa miaka mitatu (3) wa kushirikiana katika usimamizi wa matumizi sahihi ya vipimo ambapo utekelezaji wake umeanza mara tu baada ya kusainiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi hii kauli

    Watu wengi au karibia watu wote hutumia hii kauli. Je ni sahihi? Nilimkuta hayupo Unamkutaje mtu alafu mda huo huo anapotea Wajuzi wa lugha tupeni muongozo, hii imekaaje?
  14. JamiiForums Tanzania KERO Msaada wa NIDA Verification kugoma kwenye kusajili Kampuni au Shirika, licha ya Taarifa kuwa sahihi

    Hello Wakuu. Nimekua najaribu kusajili NGO yangu kupitia mfumo wa NIS jamii. Lakini kila nikifika kuverify NIDA yangu naandikiwa "something is wrong, please try again" Nimeenda office ya NIDA wilayani nimehakiki kila taarifa na kuangalia status za NIDA inaonesha haina shida wala kukosewa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi vijana kutumia simu na kompyuta kujisomea kuliko kutumia vitabu?

    Vijana wa siku hizi hawasomi vitabu kabisa. Unakuta kijana iwe chuoni au sekondari anatumia simu kutafuta material na anaona sawa. Vijana wengi wananiambia wanajisomea nyumbani kwa kutumia simu. Wanagugo ili kupata material wanayotaka. Je, simu na kompyuta zinadumaza akili?
  16. JamiiForums Tanzania Je, tumejichanganya na kizazi kisicho sahihi?

    Kwa kimombo tungesema! Did we mess up with wrong generation? Jibu linaweza kuwa ndio ama hapana kulingana na mitazamo, fikra na maono! Ila kiuhalisia watoto wa mjini wanasema tumeingia cha city.. Sio cha kike! Tulijisahau sana! Tukadhani wao ndio sisi na mawazo yetu ni yao! Hiki ni kikazi cha...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Kuna haja watu kujiunga na mitandao ya kijamii kwa taarifa zao sahihi za NIDA hasa JF

    Kumekuwa na tabia za watu kutoa taarifa za uongo na kuchangia vitu vya uongo kwe mitandao ya kijamii hasa JF kwakuwa wana uhakika hawawezi kukamatwa hivyo kuharibu malengo halisi ya jf na mitandao mingine kama kutukana na kutumia lugha chafu kufikisha au kuchangia hoja/mada. Sasa dawa yao ni...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Leo wazi kabisa Samia anajisifia kwa alichokifanya oktoba 29 ilikuwa ni sahihi kwa watanzania

    Katika hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyoitoa leo Disemba 2, 2025 katika mkutano wake na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam, Samia Suluhu Hassan emeonyesh wazi kuwa kilichotokea oktoba 29 kilipangwa na serikali na kilikuwa ni sahihi ikiwa ni njia ya kuwazuia wananchi...
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Nawapongeza vyombo vya habari nchini, mpo sahihi sana, sio lazima tuige mtindo wa kuishambulia nchi yetu

    Waandishi wa Habari mlikuja kulalamika kwamba wananchi wanawashambuli kuhusu kukaa kimya, baada ya statement hii ya semaji Gerson Msigwa mna lipi la kusema? ==== Kuhusu vyombo vya habari vya Tanzania, Msigwa ameanza kuvipongeza kutokana na kazi nzuri wanayofanya kwa weledi na umakini mkubwa na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Upi ni muda sahihi kumeza dawa za minyoo?

    Huwa nachanganyikiwa kwa kweli. Maana utakuta unaambiwa unatakiwa kutafuna asubuhi kabla ya kula. Huku wengine wakisema hata kama umekula ni sahihi. Je , upi ni wakati sahihi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…