sahihi

  1. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa Mwanamke kupiga picha na rafiki wa mume na kuzitunza katika simu yake?

    Naomba msaada wa mawazo wakuu, Mama Ngina wangu nikiwa niko safari, kukawa na hafla huku nyuma ya jirani yetu. Nimekuta wife kapiga picha akiwa pamoja na rafiki yangu na mwanangu mdogo. Ni picha zaidi ya kumi, ila ajabu hana hata picha yangu kwenye simu yake. Hapa niko chumbani nazikagua na...
  2. JamiiForums Tanzania Ni maamuzi gali uliyafanya Mwanzoni yalikuumiza ila baadaye ukaona umefanya maamuzi sahihi?

    Binafsi nakumbuka nikiwa chuo rafiki yangu sana tu alikuja nimkope laki 1 na nusu, jana yake nilikuwa nimepokea kiasi flani na yeye alikuwa anajua, nikamwambia ile kishaji tu pesa sina na ya jana niliyopata ni ya msosi na mambo ya chuo na madeni, Alizoea kuja kupiga stori na ucheshi ila kuanzia...
  3. JamiiForums Tanzania "Mshtakiwa hakutakiwa kujibu chochote kwa sababu mahakama haina mamlaka ya kusikiliza kesi za aina hiyo". Sasa kwanini hawawapelekagi mahakama sahihi?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Kwa kipindi cha muda mrefu nimekuwa nikikutana na statement hii katika media za hapa nchini hususan linapokuja suala la serious crimes kama mauaji, ujambazi au uhujumu uchumi. "Mshtakiwa hakutakiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa baba wa kambo na baba mzazi (biological father) kwa pamoja kuhudhuria katika sherehe ya harusi ya binti yao? Ni busara ipi itumike?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Je, ni sahihi kwa baba wa kambo na baba mzazi (biological father) kwa pamoja kuhudhuria katika sherehe ya harusi ya binti yao? Ni busara ipi itumike? HIKI KISA NI KIREFU SANA ILA NINAOMBA KUANDIKA KWA...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya Humphrey Polepole kuteuliwa kuwa Mbunge. Je, nani kuchukua nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ndani ya CCM?

    Baada ya Rais Magufuli kumteua Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi yake ya Katibu Itikadi na Uenezi ndani ya CCM ni rasmi sasa uko wazi kwani mheshimiwa Rais alishaweka utaratibu wake kwamba viongozi hawawezi kuvaa kofia mbili katika uongozi. Taarifa...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee, Mwenyekiti wa BAWACHA aidha ajiuzulu au aondolewe haraka kabla hajaleta madhara kwa Chama

    Nidhamu katika taasisi yeyote ile ni jambo la msingi sana, iwe sehemu ya kazi iwe jeshini, kwenye biashara, pesa zako bila nidhamu huwezi kufanikiwa. Kiongozi anapoenda kinyume na maamuzi halali ya taasisi ni aidha anajiuzulu au anafukuzwa. Halima Mdee amekiuka maamuzi halali ya Kamati Kuu...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Zitto: Mtu sahihi wa kumjibu Prof. Kabudi ni Lissu

    Katika muda wangu kwenye siasa mtu sahihi kumjibu Kabudi huwa ni Tundu Lissu. Lissu anaijua vizuri historia na amejisomea vya kutosha kwa mawanda makubwa. Kabudi akimwonaga Lissu anaufyata kabisa. Nataraji Lissu will react to Kabudi’s in a manner fits- Zitto Kabwe on Twitter
  8. S

    JamiiForums Tanzania Picha ya mwili wa Alphonce Mawazo huwa inanifanya niwaone waliochagua kuwa wapagani wako sahihi kujitenga na unafiki wa sisi tunaojidai kumjua Mungu

    Leo ikiwa ni siku ambayo kamanda Mawazo aliuwawa mwaka 2015,picha za mwili wake ukiwa umevujaa dama zimesambaa huko twitter kama kumbukumbu ya tukio hilo la kinyama. Waliotenda unyama ule sijui kama waliowahi kamatwa, ila kibaya ni watu wa chama fulani kutojali unyama huu na kutumia nguvu...
  9. JamiiForums Tanzania Niwasahihishe wapotoshaji wanaodhani Rais Magufuli amekiuka sheria kuwateua mawaziri (Prof. Kabudi na Dkt. Mpango)

    Na Elius Ndabila 0768239284 Baada ya Mh Rais kuwateua Mawaziri wawili, yaani Waziri wa Mambo ya nje Prof Kabudi na Waziri wa Fedha Prof Mpango kumezuka watu wanaoandika mtandaoni kuwa Rais amevunja katiba ambayo inasema Rais atateua Mawaziri na Manaibu Mawaziri kwa kushauriana na Waziri mkuu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kufuta ushirika wa G32 ni njia sahihi ya kufufua KNCU Kilimanjaro?

    SERIKALI KUFUTA USHIRIKA WA G32 NI NJIA SAHIHI YA KUFUFUA USHIRIKA WA KNCU MKOANI KILIMANJARO? Wakuu hongereni na majukumu ya kila siku naomba niwaletee yanayojiri Mkoani kwangu kuhusu masuala ya Ushirika ambao ilikuwa na mchango mkubwa sana wa kiuchumi wa Mkoa wa Kilimanjaro. Hivi karibuni...
  11. JamiiForums Tanzania Vijana tujifunze kuchuja lugha za kilaghai kutoka kwa viongozi wa kisiasa wanapoomba kura na kufanya uamuzi sahihi na bora

    Huu ni uzi wa wazo yakinifu kwa fikra mrejeo, Kama mada inavyosema, watu walilaghaiwa wakalaghaika kwa ulaghai wa kilaghai mwisho wa sike mchumba kabebwa na ambaye aliwaangukia akikiri yeye ni kama wao, hana kitu, wanamfahamu, hatanii na akatoa tahadhari harusi waliyoahidiwa kesho yake...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa mwanaume wa miaka 46 kumuoa binti wa miaka 23?

    Msaada hivi mwanaume mwenye umri wa miaka 46 anaweza akamuoa msichana mwenye umri wa miaka 23? Nini madhara yake na kitakacho mkuta mwanamke au mwanaume ni kipi au? Ushauri na mapendekezo
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 John Mnyika: CHADEMA haijakaa na Tume ya Uchaguzi(NEC) na haina mpango wa kuteua wabunge Viti Maalum

    1. Kamati Kuu CHADEMA haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti Maalum mpaka sasa 2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC. 3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha Tume ya Uchaguzi ifanye uteuzi haramu na Bunge likabariki. By JJ MANYIKA
  14. JamiiForums Tanzania Je, upi ni uamuzi mzuri na sahihi kati ya kuizima simu usiku au kuiacha ikiwa inawaka? Kupata taarifa mbaya (msiba) Vs Kupewa ujumbe mwema (Uvamizi)?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania; Je, upi ni uamuzi mzuri na sahihi kati ya kuizima simu usiku au kuiacha ikiwa inawaka? Kupata taarifa mbaya (msiba) Vs Kupewa ujumbe mwema (Uvamizi)? Kuna siku moja mwaka juzi rafiki zangu waliwahi...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumtongoza Msichana mbele ya mama yake?

    Habarini wana Jamii Forums leo nimeona nishare na nyinyi hii mda maana wanawake ni viumbe ambao hawaeleweki kabisa. Kuna siku niko kwenye basi maeneo ya majohe hapa SSM sasa nikakutana na dada mmoja kazur balaa ikabidi nianze kutafuta timing nikasema huyu kituo chochote akishuka nashuka nae...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kumtambulisha Kassim Majaliwa kuwa ni Waziri Mkuu Mstaafu?

    Nawauliza watu wa itifaki kama ni halali kwa kipindi hiki cha mpito kumtambulisha Waziri mkuu wa awamu ya 5 Mh Kassim Majaliwa kama Waziri Mkuu Mstaafu. Naomba majibu Tafadhali. Maendeleo hayana vyama!
  17. I

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

    Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana. Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store). Hivi kwa akili za kawaida unawezaje kufungia play store? Kwamba hata apps ambazo hazihusiani na twitter nazo tusi download...
  18. JamiiForums Tanzania Muda sahihi wa kijana kujenga ni upi?

    Jamani mwenzenu nipo katika nyumba yakupanga kwa miaka mitano (5) sasa tangu nimeoa naishi kwenye nyumba ya kupanga, ndugu wananiandama nijenge afu mwenyewe naona bado muda wangu wa kujenga. Sasa, naomba jamani tuambiane hapa ni upi muda sahihi wa kujenga hasa kwasisi tuliopo Dar.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kumtongoza mmama mtu mzima au aliekuzidi rika kimuonekano?

    Ni Ijumaa nyingine tena wadau bado tunaendelea kupambana na haya maisha tafu leo nimekuja na jambo apa mezani tulidiscuss kwa kina Unajua katika life hisia hazina adabu hata kidogo na kamwe siwez kushangaa kumwona babu anatongoza kidada nk lakini kwa bibi kumtongoza kijana hii haijakaa sawa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni sahihi Mgombea kuendelea kuzindua miradi wakati wa kampeni?

    Sheria za Tanzania zinasemaje kuhusu kufanya shughuli za serikali wakati wa kampeni? Je, sheria inakubali au hakuna mwenye uthubutu kukemea? Sheria inasemaje kuhusu ahadi ya ajira? Hii siyo rushwa ya UCHAGUZI? Tunavyofahamu ajira nimchakato wa kiutumishi na lazima ziwe kwenye bajeti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…