Muda sahihi wa kijana kujenga ni upi?

Muda sahihi wa kijana kujenga ni upi?

Mzunde

Senior Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
141
Reaction score
104
Jamani mwenzenu nipo katika nyumba yakupanga kwa miaka mitano (5) sasa tangu nimeoa naishi kwenye nyumba ya kupanga, ndugu wananiandama nijenge afu mwenyewe naona bado muda wangu wa kujenga.

Sasa, naomba jamani tuambiane hapa ni upi muda sahihi wa kujenga hasa kwasisi tuliopo Dar.
 
Utakapo feel pinch ya maumivu ya kulipa Kofi utajenga tu
 
Muda sahihi wa kijana kujenga Ni pindi anapopata ela.

Nimeishi miaka 3 kwenye nyumba ya kupanga. Miaka 2 Nimeishi katika nyumba 1, na Mwaka 1nimeishi nyumba nyingine. Baadaye nikajenga nyumba yangu.
 
Hamna muda sahihi ilihali ushaanza kujitegemea broo , we ukiona uchumi umekaa vizuri jenga , wekeza miladi , tuliosubiri umri ndo tufanye mambo yamegeuka...

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Hao ndugu zako wanakuandama na kukulazimisha ujenge ili waje kuishi kwako.Shituka
Watajazana balaa, mf ,mimi wananiambiaga kabisa ile nyumba yako ikiisha ntakuletea mwanangu aje aishi kwako..
 
Jamani mwenzenu nipo katika nyumba yakupanga kwa miaka mitano (5) sasa tangu nimeoa naishi kwenye nyumba ya kupanga, ndugu wananiandama nijenge afu mwenyewe naona bado muda wangu wa kujenga.

Sasa, naomba jamani tuambiane hapa ni upi muda sahihi wa kujenga hasa kwasisi tuliopo Dar.
Muda sahihi ni pale utakapokuwa na

Q.uwezo wa kujenga(kumudu gharama),

2.akawa unajitambua kuwa unahitaji nyumba,

3.na ukawa upo tayari kujenga nyumba hiyo.

Ukikosa moja kati ya hayo basi hujengi mpaka utakufa
 
Jamani mwenzenu nipo katika nyumba yakupanga kwa miaka mitano (5) sasa tangu nimeoa naishi kwenye nyumba ya kupanga, ndugu wananiandama nijenge afu mwenyewe naona bado muda wangu wa kujenga.

Sasa, naomba jamani tuambiane hapa ni upi muda sahihi wa kujenga hasa kwasisi tuliopo Dar.
Muda sahihi wa kujenga nyumba ni unapokuwa na uwezo (fedha) wa kujenga.
 
Jamani mwenzenu nipo katika nyumba yakupanga kwa miaka mitano (5) sasa tangu nimeoa naishi kwenye nyumba ya kupanga, ndugu wananiandama nijenge afu mwenyewe naona bado muda wangu wa kujenga.

Sasa, naomba jamani tuambiane hapa ni upi muda sahihi wa kujenga hasa kwasisi tuliopo Dar.
Ondoa kwanza ujinga, ndio jenga nyumba.... Kwa akili za kushikiwa inabidi upange tu milele
 
Jamani mwenzenu nipo katika nyumba yakupanga kwa miaka mitano (5) sasa tangu nimeoa naishi kwenye nyumba ya kupanga, ndugu wananiandama nijenge afu mwenyewe naona bado muda wangu wa kujenga.

Sasa, naomba jamani tuambiane hapa ni upi muda sahihi wa kujenga hasa kwasisi tuliopo Dar.

Kama ni nyumba za biashara unaweza kuanza kujenga mda wowote ukiwa na hela. Ila nyumba ya kuishi nashauri uanze kujenga baada ya kufikisha angalau miaka 35 - 40, uwe umeshaoa na umeshajua familia yako itakuaje kwa maana ya idadi ya watoto nk. Pia katika umri huo unakua umeshajua hasa ni nyumba ya aina gani unataka kwa kipato utachokua nacho wakati huo. Kinyume na hapo unaweza kujikuta kila mwaka unafanya marekebisho kuongezea vyumba au kubadilisha muonekano.
 
Jamani mwenzenu nipo katika nyumba yakupanga kwa miaka mitano (5) sasa tangu nimeoa naishi kwenye nyumba ya kupanga, ndugu wananiandama nijenge afu mwenyewe naona bado muda wangu wa kujenga.

Sasa, naomba jamani tuambiane hapa ni upi muda sahihi wa kujenga hasa kwasisi tuliopo Dar.
mimi nianza kujenga nikiwa nina 25
 
Jamani mwenzenu nipo katika nyumba yakupanga kwa miaka mitano (5) sasa tangu nimeoa naishi kwenye nyumba ya kupanga, ndugu wananiandama nijenge afu mwenyewe naona bado muda wangu wa kujenga.

Sasa, naomba jamani tuambiane hapa ni upi muda sahihi wa kujenga hasa kwasisi tuliopo Dar.
Jenga ukiwa na nguvu na uwezo....huo muda unaoona bado ukifika utakuwa huna uwezo wa kujenga tena
 
Haaaaa, kura yako kesho ya muhimu sana Boss wangu, tunataka mabadiliko ya kweli
Huna usongo kuliko mimi mkuu. Sijui ni kwa nini lakini hisia zote zinanituma niamini kuwa mwisho wa uovu umekaribia. Hata kama siyo kwa sanduku la kura kesho lakini kuna kitu kisichotegemewa kitakwenda kutokea ili kuiokoa Tanzania. Kumekuwepo na utapeli wa hali ya juu wa wenye nguvu kumkebehi Mungu waziwazi kwa kujifanya ni wafuasi wake wema wakati gizani ni wauaji wakubwa. Ukishaona watu wamelewa madaraka kiasi cha kumkebehi Mungu ujue mwisho uko karibu kabisa.
 
Back
Top Bottom