Ni sahihi kwa mwanaume wa miaka 46 kumuoa binti wa miaka 23?

Brightg

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
373
660
Msaada hivi mwanaume mwenye umri wa miaka 46 anaweza akamuoa msichana mwenye umri wa miaka 23? Nini madhara yake na kitakacho mkuta mwanamke au mwanaume ni kipi au?

Ushauri na mapendekezo
 
btw,

Ndoa kwa maoni yangu mimi haigusi umri la msingi wameamua wawili, na wazazi/walezi wa pande mbili wamekubaliana basi hakuna shida.
umri upi wa mwanume ungemfaa huyu binti aolewe naye, yani mwanaume angefaa kuwa na maximum ngap ili ikae sawa
 
Back
Top Bottom