sahihi

  1. JamiiForums Tanzania Wakati mwingine, wanaosema "Mungu wabariki Wazungu" wako sahihi

    Hope angelikuwa wapi leo kama asingeonwa na Mzungu kutoka Denmark? Ilitokea huko Nigeria mwaka 2016. Mzungu kutoka Denmark alimwokota mtoto wa kiume mitaani aliyekondeana sana kwa kukosa huduma muhimu. Si kwamba huyo mtoto hakuwa na wazazi wa damu, bali alitelekezwa kutokana na shinikizo la...
  2. JamiiForums Tanzania Mzazi jukumu lako ni kunifundisha jinsi ya kufanya maamuzi sahihi na sio unifanyie Maamuzi

    MZAZI JUKUMU LAKO NI KUNIFUNDISHA JINSI YA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI NA SIO UNIFANYIE MAAMUZI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wewe ni wewe. Mimi ni Mimi. NI kweli wewe ni mzazi na mimi ni mtoto. Lakini hiyo haimaanishi kuwa wewe ni Mimi. Utabaki kuwa mzazi lakini hautakuwa mimi na mimi sitakuja...
  3. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa mwanaume kuhubiri ama kusali akiwa amefunika kichwa chake?

    Ndugu zangu. Hata sasa tumeshuhudia anguko la mwanadamu katika nyakati hizi za Neema ya Mungu ya Wokovu kupitia damu ya Thamani ya Yesu Kristo... Manabii wa uongo walikuwepo tangu nyakati za Torati Yeremia 14 4. Kila mwanamume, asalipo, au anapohutubu, naye amefunikwa kichwa, yuaaibisha kichwa...
  4. JamiiForums Tanzania Tafuta taarifa sahihi ya chama au mgombea kabla ya kuamua kumchagua

    Uchaguzi ni moja ya misingi muhimu ya demokrasia ambapo wananchi wanapata fursa ya kuchagua viongozi wanaowaongoza. Hata hivyo, ili kufanya maamuzi ya busara na yenye tija, ni lazima wananchi wapate taarifa sahihi kuhusu vyama vya siasa na wagombea wao. Taarifa sahihi hapa inamaanisha habari...
  5. JamiiForums Tanzania Ni sahihi mke na mme au wapenzi kutaniana kwa kutukanana matusi?

    Kuna baadhi ya wanandoa na wapenzi kutaniana kwa kutukanana matusi tena matusi mengine ni ya ajabu sana Na wanawake wanapenda sana kutumia matusi kwa wenza wao Kama matani Mifano ni mingi,mfano ikiwa mwanamke anataka kufahamu mumewe alipo atampigia simu au sms "Weee bwege uko wapi? Wewe kenge...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi....VAR ilikuwa msaada sahihi kwa mwamuzi kuamua lile ni goli?

    Habari za asubuhi wakuu...Ni siku nyingine mpya kabisa na matukio hayakosekani wadau wa soka...twende kwenye mada Moja.....VAR Sio msaada sahihi wa kuamua kama mpira umevuka mstari wa goli au la! Pili....Teknolojia sahihi ya kuamua kama mpira umevuka mstari wa goal Inaitwa goal line decision...
  7. JamiiForums Tanzania Yawezekana kitabu cha Mhubiri ndio uhalisia sahihi wa maisha

    1. Mwandishi anaonekan ni mtu aliekua na wadhfa na mali, wapo wanasema mwandishi ni Mfalme Suleman ila wengine wanakataa. 2. Pamoja na mafanikio hayo, anaonekana amejawa na msongo wa mawazo na alie "disappointed"sana, mara nyingi husema " ...ni sawa na kufukuza upepo." 3. Anaonekana hana imani...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Jokate Mwegelo ni kiungo sahihi cha utendaji UVCCM

    Anaandika Humphrey Shao wa Msakuzi Kaskazini. kiongozi ni lazima awe ni yule anayejishugulisha kufikri kwa sababu ya watu na awe anaendana na watu anawaongoza naona huu ndio Mtazamo uliomuongoza Dkt. Samia Suluhu Hassan kumchagua Mdada Mtanashati Ndugu Jokate Urban Mwegelo kuongoza jumuiya...
  9. JamiiForums Tanzania Bunda: Auawa na mkewe kwa kuchomwa kisu, kung'atwa sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo sehemu za siri pamoja na ulimi

    Ofisa Kilimo katika kata ya Neruma wilaya ya Bunda mkoani Mara anayefahamika kwa jina la Julius Rubambi ameuawa kwa kuchomwa kisu na kung'atwa ulimi na mkewe kutokana na wivu wa kimapenzi huku mkewe Elizabeth Stephen akijeruhiwa vibaya na kulazwa hospitali ya Kibara. Inasadikika kuwa chanzo...
  10. JamiiForums Tanzania Ni wakati sahihi sasa wa kurudishwa kwa mali kale yetu iliyopo Ujerumani

    Habari za majukumu na amini sasa hivi ni wakati sahihi wa kurudishwa kwa Mali kale yetu mifupa ya dinosaur ambaye alipatikana katika safu ya vilima Vya Tendenguru Lindi (1907-1913) ambayo kwa miaka hiyo ilipelekwa ujerumani kwa kuwa hatukuwa na sehemu ya kuhifadhi mifupa hiyo. Sasa hivi kama...
  11. JamiiForums Tanzania Nani sahihi wanajukwaa Kuoa

    Ni natumai wanajukwaa mko wazima kabisa ninakipengele hapa ninahitaji mawazo yenu nipone mwenzenu .Nimebahatika kuwa na mahusiano na mabint watatu kihistoria wakwanza niliachan nae alinisaliti taarifa zikatwanyika hata mahali napofanya shughul huyu aliitwa joyce ni mtu wa maarifa ya utafutaji...
  12. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Mwamposa kuimba wimbo wa taifa kanisani kwake?

    Leo nimemsikia kwa masikio yangu mawili mtume Mwamposa akiimba wimbo wa taifa kanisani kwake Kawe, jijini Dar es Salaam. Tukumbuke wimbo wa taifa ni moja ya nembo na alama za taifa. Wimbo huu unaimbwa nyakati maalumu, kwa mfano kabla ya Rais kulihutubia taifa na wakati timu ya taifa...
  13. JamiiForums Tanzania Makonda alikuwa sahihi sana kwao

    Kwa aina ya uongozi wa CCM hasa kipindi hiki cha awamu ya sita Makonda alikuwa sahihi sana katika nafasi ya uenezi. Bila shaka aliitendea nafasi hili hata wapinzani naamini wanafahamu kabisa. Sijajua kwa sababu gani kaondoshwa na yupi ataletwa kuzimba pengo. Aliifufua CCM wenda kuliko hata...
  14. JamiiForums Tanzania Tumsaidie Rais Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

    Nafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama! Tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake! Wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
  15. R

    JamiiForums Tanzania Si sahihi kupeleka watu walioshindwa katika mikoa ya kimkakati kama Arusha na Songwe

    Mikoa ya Arusha na Songwe ni malango ya biashara nchini. Inahitaji watu wenye capacity yakuweka watu pamoja kuliko watu waliofeli. Unapokuwa na kiongozi aliyefeli kisiasa ni vigumu kiongozi huyo kufanya vizuri kwenye jukwaa la utumishi wa umma. Chongolo na Makonda wapo kwenye frustration...
  16. JamiiForums Tanzania Ni sahihi Rais kutajwa kwenye kila kitu?

    Habari wanajukwaa. Kumeibuka mtindo kila mtu anapopata nafasi ya kuongea kumsifia Rais hata kwa yale ambayo Rais hausiki wala hayajui. Mfano Mrisho Ngasa alipoalikwa Kwenda Ivory Coast kama Legendary kipindi cha AFCON alipohojiwa alianza kumshukuru Rais Samia. Binafsi yangu naona hii ni aina...
  17. JamiiForums Tanzania Utafutaji wa pesa unaathiri afya za watu, mfumo sahihi wa maisha unabadilika

    Maisha wanayoyataka Taasisi za kidunia ni aina ya maisha ya utumwa ambapo wanaforce kila jambo liwe fursa na kwa sababu hii ndiyo ugumu wa maisha unazidi kuongezeka. Imagine zamani mtu anatoka home saa 12 asubuhi halafi anarudi 5 kutoka shamba, anapata muda na familia yake, muda wa kupata...
  18. JamiiForums Tanzania Ni kweli mwanamke akikupa pesa wivu unaongezeka?

    "Mwanamke akikupa pesa yake wivu wake unaongezeka maradufu, na anataka uwe wake peke yake, yaani ni kusema achilia mbali kutaka kumiliki moyo wako lakini pia anataka na roho yako. "Pesa ya mwanamke ina masimango sana, ukizoea kupewa pesa na mwanamke kubali kudharauliwa."
  19. JamiiForums Tanzania Yupo sahihi au anaongea Uongo kuhusu wanawake wa Kyela?

    Kama una date dem wa kinyakyusa hakikisha hatokei Kyela. Wanawake wa Kyela wana viburi sana alafu wanabishana sana, anaweza kukufokea hadharani ukabaki unajilaumu kwanini ulioa. Alafu wanapiga juju hao balaa, unaweza jikuta unamtumikia.
  20. JamiiForums Tanzania Huyu yupo sahihi kweli?

    Je, yuko sahh au mimi ndiyo sijui??
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…