Kuna tabia nimeiona kwa baadhi ya watu kwenye maisha ya kawaida. Siyo mara moja nimekutana na scenario ya unakuta mtoto wa kiume/mwanaume anamchukia baba yake kwa sababu alimwacha mama yake akiwa mdogo au akiwa tumboni.
Utasikia, “Unajua mimi hatuna maelewano na mshua/mzee kwa sababu...
Kuna tukio nimekutana nalo maeneo fulani eti binti kamfumania Baba yake tena anapiga mayowee watu wajae washuhudie akijua anamkomesha baba yake kumtia aibu kingine eti anapambania ndoa ya Mama yake.
Nikajiuliza vipi kimaadili hili jambo limekaa sawa kweli? au tuishi kiutandawazi kuitikia mapokeo?
Wakuu
Katika jamii nyingi za Kiafrika, hasa katika mila na desturi za Kiswahili, kuna maadili yanayoongoza mahusiano kati ya mwanaume, mke na familia ya mke.
Wapo baadhi ya watu wanaona kuwa si sahihi kwa mwanaume kulala ukweni na wengine wanaona hakuna shida yoyote.
Tuzungumze kidogo kama...
SEHEMU AMBAYO HAIKUPI UHURU SIO SEHEMU SAHIHI.
Maisha mazuri ni yale yanayokupa uhuru wa kuishi vile unavyotaka bila shinikizo kutoka upande wowote wa dunia.
Ikiwa katika mahusiano, kazi/ajira au katika maisha ya kila siku kama vile urafiki na familia unapoona hakuna uhuru using'ang'anie...
Tumekuona baada ya miaka 5, tumekusikia nadhani UNADHANIA aliyekuhoji no dampa,
Tafakari chukua hatua NAKUHAKIKISHIA Iko siku utajibu ilo kwa kiufasaha
Hivi ukiagiza chai ya maziwa halafu ukaletewa maziwa na majani ya kuchovya(teabags) pembeni hapo unakuwa umepewa chai ya maziwa au ni maziwa yaliyowekewa majani ya chai?
Mimi nafikiri chai ya maziwa ni lazima majani na maziwa vichemshwe pamoja jikoni, tofauti na hapo ni utapeli tu.
Huu mjadala wa kupigiwa na kutopigiwa makofi msibani ni mgumu kama msiba ulivyo mgumu.
Waziri Mkuu Mh. Mwigulu kasema yeye binafsi hahitaji kupigiwa makofi. Kama kupendwa, akiishapendwa na mkewe, INATOSHA. Namuunga mkono.
Tatizo linaweza kuwa maeneo haya:
1. Je waliopigiwa makofi mengi...
Kwenye kada za maendeleo ya jamii serikali wanaajili NTA level 4,5 na 6
Lakini kwa upande wa shahada za maendeleo ya jamii mara nyingi nafasi hizo hakuna.
Kwasasa mimi nimemaliza shahada ya maendeleo ya jamii je ni sawa kusoma NTA level 5 mwaka mmoja ili niweze kuomba KAZI kwa cheti husika...
Hi Everyone
Tunasikia mara kwa mara wataalamu wa afya wakituelekeza kula mlo kamili:
Mboga za majani, matunda, protini, nafaka zisizokobolewa na maji ya kutosha.
Lakini kuna eneo moja ambalo halizungumzwi sana - namna chakula hicho kinavyoandaliwa.
Unaweza kula mlo kamili, lakini kama...
Wasira anadai mauwaji yalikuwa sahihi wakati ni kinyume cha sheria na wali uwawa hadi watoto na wajawazito.
kwa sheria za nchi na kimataifa hakuna mauwaji sahihi tuna sheria za nchi na mahakama mbali na hayo mauwaji yaliyo fanyika hayakulenga wahalifu bali watoto na wanawake ambao hawakuwa...
Hivi wanaume mnataka kuoa au mmeoa hamjawah kuona mchango wa wake zenu.
Hivi kuna kazi ngumu kama kubeba mimba, kuzaa na kulea watoto?.
Mwanaume tambua majukumu yako. Ukitaka 50/50 basi na wewe kuwa tayari kubeba mimba.
Hudumia mke/mpenzi wako kadri ya uwezo wako acha upepo wa maswali ya hovyo.
Katika ulimwengu wa leo wa mitandao ya kijamii, mipaka kati ya faragha na maonesho imefutika. Kisa cha binti mmoja maarufu wa mtandaoni, anayeonekana ni slay queen, kimeibua mjadala mzito kuhusu utu, uzazi na maadili ya kizazi cha kidijitali.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, aliamua...
Wakuu mwenye experience na hiki kitu please anisaidie niunganishe hii saa na Simu kwani itakua rahisi hata kuset mda pale nitakapokua nasafiri kwenda nje au kurudi Tanzania.
Picha tunayoitumia kwenye vitabu haionyeshi uhalisia wa hali ya waafrika miaka hiyo ya 1905. Yaani hii picha haikufaa kabisa kuendelea kutumika. Hiyo ni picha ya kuchorwa na mkono. Picha inamuonyesha Kinjeketile kama Mtu mwenye kitambi/kiribatumbo, yupo tumbo wazi, anamduara ule kichwani...
Watu wenye ushawishi wanapoongea hadharani na kutumia maneno yenye kuleta taharuki mara nyingi wanaonekana kuzungumza moja kwa moja kwenye media badala ya njia rasmi.
Je, hii ni kwa sababu hawajui njia sahihi za kufikisha malalamiko kwa viongozi husika, au tayari wamejaribu njia hizo na...
Wakuu samahani Sana nimekosa Title sahihi ya hili tukio,
Dogo baada ya kumaliza form four mwaka huu, ametoka mkoani na kuja Dar es salaam kwa mara ya kwanza siku ya Jumatano tarehe 28 January 2026.
Amepata ajali na kupoteza uhai, amerudisha kuzikwa mkoani Jumatano ya Tarehe 04 February 2026...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.