safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Daladala inayofanya safari zake Kawe - Mbagala yaungua moto kabisa eneo la Mtongani

    Imeungua yote hadi imeshindwa kujulikana namba za usajili wake. Bado chanzo hakijajulikana.
  2. Nini kiliua safari za moja kwa moja za mashirika ya ndege ya Ulaya kama Scandinavian Airlines na Lufthansa?

    Mambo vp jamiiforums. Nini kiliua safari za moja kwa moja (Direct Flight) za kuja Tanzania kwa mashirika ya ndege ya Ulaya kama Scandinavian Airlines System (SAS) pamoja na Lufthansa ya Ujerumani? Mbona mkongwe mwenzao KLM bado anakujaga? ========== ========== Jana nikiwa nimepaki gari yangu...
  3. Uhamiaji Tanzania: Bila dhumuni la safari hakuna kupewa pasi ya kusafiria (Passport)

    Hii ndio taarifa mpya kutoka Uhamiaji iliyotolewa leo na Msemaji wake Paul Mselle. Paul Mselle amesema haya... Pasi ya kusafiria ni 'document' ya kiusalama na ni haki ya kiusalama na ni mali ya Serikali, pale ambapo mtu ataitumia vibaya basi anaweza akanyang’anywa Pasi ya kusafiria sio...
  4. Zambia walipojaribu safari ya mars na moon: na mwanaanga wao alipoishia kupata mimba (1960s)

    Haikuwa tu Amerika na Umoja wa Kisovyeti katika mbio za kuufika Mwezi na Anga za mbali katika miaka ya 1960. Kifungu cha habari katika jarida la Time 1964 kilichoelezea kuhusu uhuru wa Zambia kilijumuisha habari nyingine kuhusu mtu mmoja ambaye hakufurahi sana juu ya sherehe hizo za uhuru...
  5. Safari za Treni ya Mwendokasi kuanza Agosti mwaka huu, 2021

    Hayo yamesemwa na Waziri wa ujenzi na uchukuzi Leonard Chamriho. Ameyasema haya baada ya kamati ya kudumu ya bunge ya miundo mbinu kutembelea na kukagua ujenzi wa mradi wa Sgr kipande cha Dodoma mpaka Dar es salaam. Hivyo amesema kuwa safari za Dar mpaka Morogoro zitaanza mwezi Agost baada ya...
  6. A

    Natafuta kazi kama Secretary, Switchboard, Safari Consultant, Receptionist au customer service nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10

    Hi, Mimi ni mwanamke wa miaka 35 naishi dar ni mlemavu wa miguu ni (disability) nina uzoefu wa zaidi ya miaka kumi kwenye kazi za Receptionist, Customers service, Switch board operator, Safari Consultant na Personal Assistant naombeni msaada wa kunisaidia kupata wanaotoa ajira asanteni sana...
  7. J

    ATCL kuanza safari za China tarehe 20/03/2021, wasafiri kupimwa Corona mara mbili ndani ya saa 48 kabla ya safari

    Hii ni habari njema kabisa kwa shirika letu la ndege. Mkurugenzi mkuu wa ATCL amesema shirika lake litaanza safari za China tarehe 20 mwezi huu. Bwana Matindi amesema wasafiri watalazimika kupima Corona mara mbili katika muda wa saa 48 kabla ya kuanza safari. Chanzo: ITV habari Maendeleo...
  8. Mambo tata kuhusu NASA na safari ya mwezini: Ni kweli Neil Armstrong alisilimu baada ya kusikia Adhana mwezini?

    HAYA NDIYO MAMBO TATA KUHUSU NEIL ARMSTRONG NA SAFARI YA MWEZINI Jana nlifanikiwa kuangalia video , baada ya shirika la anga la MAREKANI, NASA kufanikisha kupeleka chombo cha utafiti katika sayari nyekundu (MARS) Chombo hicho kilichopewa jina la Perseverance Rover ambapo kiliondoka Duniani...
  9. Safari na pisikali bila tongozo.

    Amani kwenu! Moja ya weaknesses I had was jigjig But after 13hrs bila tongozo na pisi kali aliyekaa next seat naamini Yesu kanibadili. Ilikuwa mwiko nikae na pisi kali jirani safarini mpaka tunafika asiliwe kimasihara no matter with her status. Ila ndani ya safari hii sikuwa na mzuka zaidi ya...
  10. Wale wanafunzi waliohamishia NGURDOTO toka Njiro, kuhamishwa tena.... tetesi zinasema, safari hii ni Arusha University

    Inasemekana kwamba, wamiliki wa hotel ya Ngurdoto, wamewapa chuo cha uhasibu Arusha, siku zisizozidi 90 kuwa wamewahamisha wanafunzi wote walihamishiwa hapo Ngurdoto kutokea Njiro Compus. Tetesi zinasema kuwa sababu kubwa ni uharibifu uliokwishatokea toka wanafunzi hao wahamie hapo Ngurdoto hadi...
  11. Changamoto wakati wa Covid19: Safari ya basi kwa sasa kutoka Tunduma mpaka Afrika Kusini

    Kuanzia Tunduma ambapo niligonga passport kwa kulipia chanjo ya Corona Kama dereva wa Roli ambayo ilikua Tsh 10,000 nikapanda bus asubuhi ambayo ilifika Lusaka siku hiyo hiyo usiku wa saa mbili power tools kampuni ya Zambia, nikalala pale hotel zao mpaka asubuhi baadae nikaelekea eneo la...
  12. B

    Ndugu Polepole, nitajie kituo Cha mabasi cha Wilaya au mkoa chenye Hoteli yenye hadhi Kama hoteli binafsi zinazohusu abiria wa safari ndefu

    Kuna hoja ameiwasilisha Polepole kwenye television (chanel 10) kipindi cha papo kwa papo nakuungwa mkono na Mhe Waziri kwamba mabasi badala ya kwenda kwenye hoteli zenye hadhi na chakula salama wawapo safarini Basi mabasi hayo yasimame kwa muda mrefu stand watu wale chakula nakupata huduma...
  13. Simulizi : Safari Ndefu Kuelekea Kaburini

    Simulizi : SAFARI NDEFU KUELEKEA KABURINI Mwandishi : NYEMO CHILONGANI Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 Muda ulikuwa ukizidi kwenda mbele huku dereva wa gari ndogo aina ya Prado akiwa amesimama nje ya gari hilo huku akimsubiri msichana mrembo, Patricia Thomson aweze kutoka ndani...
  14. Kampuni ya mabasi ya NEW FORCE yaanzisha Safari za mchana Dar-Mbeya/ TUNDUMA

    Habari njema kwa wasafiri na abiria wa mikoa ya nyanda za juu kusini magharibi. Kampuni ya mabasi ya NEW FORCE yaanzisha Safari za mchana. Hii Ni habari njema Sana. Pruuuuu mpaka Maka
  15. M

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lasitisha mafunzo ya kujitolea

    JKT YASITISHA MAFUNZO DODOMA: JANUARI 19, 2021 JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza kusitisha kwa muda mafunzo ya jeshi hilo ya kujitolea kwa mwaka 2020/2021 mpaka hapo itakapotangaza tena. Kutokana na kusitishwa kwa Mafunzo hayo JKT imewataka vijana walioripoti makambini kurejea...
  16. M

    Kukurupuka katika usajili kwa Simba na Yanga ni kiashiria kuwa tuna safari ndefu sana

    Usiku huu nilianza kuona tetesi za usajili wa Chikwende! Kama ni kweli, hiki ni Kielelezo kingine cha kukosa weledi katika menejimenti ya Soka! Inawezekana Rais alikuwa sahihi aliposema Tatizo la doka la Tanzania ni Simba na Yanga! Katika hiki kinachoitwa uwekekezaji katika hizi timu mbili...
  17. Katika dunia ya sasa, mheshimu sana yule anayefunga safari kuja kukutembelea "physically"

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wa humu JamiiForums. Katika dunia ya sasa ambayo watu huweza kujuliana hali kwa njia ya simu/mitandao, muheshimu sana yule anayefunga safari kuja kukutembelea "physically" Kuna mwalimu wangu mmoja alikuwa anaitwa Adonijah yeye alikuwa anatufundhisha somo...
  18. Elimu kwa Umma: Tumia Wakala kwenye Safari za Ndege au Huduma za Hoteli kuepuka hasara na kuharibu ratiba zako

    Ndugu WanaJF, Kwa mara nyingine tena tunakuja na uzi mahsusi kwa wote wanaofanya safari kwa njia ya anga. Huu ukiwa ni mwendelezo wa mtiririko wa threads zetu za Elimu kwa Umma ambapo tunakusudia kuelimisha wasafiri na wanaotarajia kusafiri kuhusu mambo mbalimbali ili safari zao ziwe salama na...
  19. Safari ya binadamu kutoka Afrika Mashariki

    Kisayansi inasemekana binadamu ali evolve kutoka kwenye mnyama anayefanana na sokwe. Mnyama huyu alikuwa na ngozi nyeupe na alikuwa na manyoya mengi. Aliishi kwenye misitu ya Afrika Mashariki. Kutokana na shughuli za kutafuta chakula huyu bwana akahama kutoka msituni na kwenda kwenye nyika za...
  20. Hivi ATCL kufanya safari za ndege Chato, hakutaliletea hasara kibiashara Shirika hilo?

    Siku chache zilizopita tulimsikia Mtendaji Mkuu wa shirika la ndege la ATCL, Ladislaus Matindi akiutangazia Umma wa watanzania kuwa shirika lake la ndege, kuanzia tarehe 9/01/2021 litaanza safari zake za ndege za kwenda kijijini Chato. Ninavyojua Mimi ni kuwa unapokuwa kwenye biashara ni lazima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…