safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Mabasi kutoka Dar kwenda Mpanda, Katavi yanazuiwa kuendelea na safari yakifika Sikonge, Tabora?

    Wadau tumetoka Dar na Bus la HAPPY NATION saa 12 asubuhi na tumefika hapa Sikonge, Tabora Bus limezuiwa kuendelea na safari eti mpaka saa 12 asubuhi, eti kwa sababu njiani kuna mapori makubwa. Kwa maoni yangu hii si sawa kabisa, yaani pamoja na jitihada kubwa za serikali kukamilisha barabara...
  2. JamiiForums Tanzania Kurudishiwa nauli baada ya basi kusitisha safari

    Leo basi la Shabib VIP la saa 8 toka Dar (Shekilango) kwenda Dodoma, abiria walitakiwa wabadirishiwe basi na walitakiwa walifuate Stendi ya Magufuli, Mbezi. Sijui kama walifanikiwa kusafiri au la. Ila mkatisha tiketi (mdada) pale Shekilango alikiona cha moto. Jana, basi la Buti la Zungu la saa...
  3. JamiiForums Tanzania Safari yangu ya kijijini

    Siku mbili tatu zilizopita, nilijaribu kutembelea vijiji kadhaa katika mikoa mitatu; nilichokutana nacho huko ni kama ifuatavyo:- Vijana wamepungua vijijini Kuna vijana wachache sana, waliobaki vijijini; nilikuwa natembea umbali mrefu sana bila kukutana na mtu/kijana. Katika mita sq 2000 naweza...
  4. JamiiForums Tanzania Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

    . Katika harakati zangu za kujikomboa na umasikini, niliamua kufanya ziara ya kusaka fursa Mpya nchini Congo. Nilikua tayari nimeshapata masimulizi mengi ya upatikanaji wa madini ya dhahabu na Rubi. Ni mnamo mwaka Juzi mwanzoni nikiwa mji wa Uvira amabapo jilikutana najamaa Akiwa na jiwe alilo...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Safari za nje ya nchi

    Inakuaje sikuizi watu wengi wanataka kusafiri nje sanasana kwa ajili ya kazi. Magroup ni mengi na wahamasishaji ni tele pia. Sasa nikupashe labda uwe na ndugu zako nje au umepata mpenzi la sivyo watakao tokea kukusaidia ni wachache. Nyakati zimebadika njia rahisi ya kwenda nje ni either utalii...
  6. JamiiForums Tanzania Safari ya kuusafirisha mwili wa Mtanzania Nemes Tarimo kutoka Urusi hadi Tanzania inaanza 24 Januari, 2023

    Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Familia ya Mtanzania Nemes Raymond Tarimo (34) ambaye alifariki wakati akipigana upande wa Jeshi binafsi la Urusi la Wagner Group dhidi ya Ukraine, zinaeleza kuwa safari ya kuurejesha mwili wake Nchini Tanzania inatarajiwa kuanza kesho Jumanne Januari 24, 2023...
  7. JamiiForums Tanzania Mlango umefungwa hakujawahi kuwepo na safari ya mwezini

    Mwenyezi ni Mkubwa na daima uwongo hauwezi kukaa juu ya ukweli, Gwiji mkuu wa teknolojia na safari za anga anayejitegema Ellon Musk ambaye pia ni mmiliki wa satelite za space X ameufunga mlango huo baada ya kusema safari ya kwenda mwezini mwaka 1969 ilikuwa ni kitu kisicho cha kawaida na ni kama...
  8. JamiiForums Tanzania Safari za ndege za masafa marefu zinaweza kuathiri vipi mwili wako?

    Qantas imetangaza kuwa itazindua safari za ndege za moja kwa moja kutoka pwani ya mashariki ya Australia hadi London, Uingereza kutoka mwisho wa 2025, na muda wa ndege wa zaidi ya saa 19. Kwa kulinganisha, ndege za sasa huchukua saa 24, lakini kwa kuunganisha ndege, imegawanywa katika safari...
  9. JamiiForums Tanzania Safari ya Simba kwenda Dubai haipo kiuweledi

    Habari..... Simba baada ya kutolewa kwenye michuano ya Mapinduzi wakapanga safari ya Dubai. Hii safari ipo kisanii sana, kiukweli kutokana na ufinyu wa muda sidhani kama ilikuwa sahihi kwa Simba kwenda Dubai. Wachezaji hawana miili ya chuma kuna wasaa wanahitaji kupumzika lakini unawasafirisha...
  10. JamiiForums Tanzania Good bye my love safari njema

    Wapenzi watazamaji , na mnaomchukia unique flower kipenzi changu kinasafiri Kiko hapa mswety I love u so much safari njema.💕❤️ My heart beat My kindness My unique flower my life my water . Come back soon 2weeks ni mbali sana mwaa💞💞💞🥰
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume wote pitieni hapa kujifunza kitu

    Kama wewe ni mwanaume na unaamini sifa inayokutambulisha ni ndevu au uzito wa sauti ama kuwa tu na viungo vya kiume,kuna kitu kikubwa umepungukiwa. Labda nikwambie jambo jamaa yangu , umezaliwa kwa sababu na usijisahau kabisa kwenye hii dunia. Unajisahau kwa kuwa unapuuzia vitu vya msingi...
  12. JamiiForums Tanzania Pata pochi, mabegi ya shule na safari begi kwa bei nafuu

    Hello wadau karibuni hapa ni mabegi na pochi kali kwa bei nafuu. Pochi 15000 mabegi ya shule 20000, safari begi 30000 karibuni Sana. Namba zangu za simu 0692436124, napatikana Moshi mjini mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa.
  13. JamiiForums Tanzania Sharjah safari park, mbuga ya wanyama iliyotengenezwa UAE kudumaza utalii wa Tanzania

    Waarabu wanaua mbuga zetu kwa kasi sasa hivi mtu akiwa zake mapumziko Dubai hana haja ya kuja Tz anaenda zake Sharjah safari park anaona wanyama wote waliopo hapa Pia jamaa wameamua pia majina ya Tanzania kuyahamishia huko mfano Kuna Serengeti kuna Ngorongoro Kuna mji umejengwa kama Zanzibar...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

    Kuna ndege kubwa sana ilitua na kuondoka uwanja wa ndege wa Kilimanjaro tarehe 22 December! Ndege ile ni miongoni mwa madege makubwa matano tu duniani (MAXIMUM S AIR CARGO) inaitwa Antonov AN -225 Dege hilo kama likiamua kubeba watu basi ni wastani wa watu siyo chini ya elfu tatu na zaidi...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: ATCL yafilisika rasmi, haina ndege za kutosha baada ya ndege tatu kukamatwa. Wanaghairisha safari bila taarifa

    ATCL inasmemekana imefikisja rasm baada ya ndege 3 kukamatwa Kwa SBB ya madeni wakati ndege zingine zikiwa mabovu..hivyo kuasabaisha safari nyingi kufutwa bila kutoa taarifa Kwa wateja.Hapa mwanza..bukoba na chato wasafiri wanapigwa danadana kama enzi za fast jet.Je serikali kwanini inatidhika...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Dunia ya ujasusi: Je, safari ya Zelenskiy Marekani ina siri gani?

    Igweeeeeee kumekucha kumekucha... Ulimwengu wa kijasusi unazidi kushika kasi kama mithili ya radi. Safari ya Rais wa Ukraine ni safari ya kijasusi pia ni safari yenye ujumbe mzito kwa Putin na Washirika wake kuwa Marekani wako tayari kwa vita mpaka tone la mwisho wa dam wakati Putin hatokuwepo...
  17. JamiiForums Tanzania Safari ya Kilimanjaro/Arusha 24 December

    Habari za Jumapili wandugu, kwa sisi ambao tupo mbali na familia tunajua umuhimu wa kuwajulia hali kipindi hiki cha sikukuu. Kama kuna mtu anasafiri mahali popote tarehe 24 mfano, kwa wafanya kazi na angeitaji mtu wa kusaidiana naye gharama, hemu tuweke ratiba zetu unaweza kumsaidia mtu...
  18. JamiiForums Tanzania Safari Kuelekea Ikwiriri Tamasha la Bi. Titi Mohamed

    SAFARI KUELEKEA IKWIRIRI TAMASHA LA BI. TITI Juma hili kuelekea Tamasha la Bi. Titi lilikuwa na shughuli nyingi kwangu. Ingia toka ya waandishi na makamera yao ya TV yakishushwa kutoka kwenye magari ikawa jambo la kawaida nje ya nyumba yangu. Napokea simu baada ya simu. Haukupita muda...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Je, ilikuwa bora kununua ndege badala ya mabehewa na vichwa ili kufanya safari za treni kwenda Mwanza, Kigoma na Moshi?

    Kulikuwa na ubishi humu ndege za Dreamliner na Airbus ziliponunuliwa, kwamba hilo lilikuwa jambo la manufaa kwa wananchi wa Tanzania. Hilo nimelipinga siku zote, kwa sababu unaposema manufaa kwa Watanzania, Watanzania wepi wanaopanda hizo ndege? Na hata ukisema wengine wanafaidika indirectly...
  20. JamiiForums Tanzania Safari yetu wana JamiiForums Udzungwa Mountains National Park, Mwanihana Peak na Sanje Waterfalls

    Noela Shoo ni binti mdogo kwa umbo lakini she is so tough in action. Wadada na wamama Tunaopenda hiking tumekuwa tukiongozwa mara nyingi na wanaume, na kama ujuavyo changamoto zinazokabili mbuga na hifadhi zetu, vyoo ni mpaka ukute camp, kwa hiyo ukiwa njiani huwi comfortable sana. This...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…