safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu watumishi wa serikali watumie SGR kwa safari kati ya Dar na Dodoma.

    Pindi reli ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma itakapokamilika serikali iweke muongozo madhubuti kwamba watumishi wote wa umma kuanzia mawaziri hadi wale wa chini kabisa watumie treni hiyo kwa safari za Dar-Dodoma badala ya gari au ndege. Hii itasaidia kuokoa gharama za mafuta, manunuzi ya...
  2. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania SoC04 Hadi Kiu Lishe: Safari ya Kuimarisha Upatikanaji wa Maji Tanzania

    Tanzania, yenye utajiri mkubwa wa vyanzo vya maji kama mito mikubwa na maziwa, bado inakabiliwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi wake. Licha ya rasilimali hizi kubwa za maji, maeneo mengi, hasa vijijini na baadhi ya miji mikubwa, bado yanakabiliwa na uhaba...
  3. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Safari 1- 4 Yanga

    Mzinze anamwaga maji tu Shekhan anatia vitu 😀 huyu dogo Mfaume aliyefunga goli la kwanza yuko vizuri sana. Engineer afikirie kumleta kikosi cha kwanza Mchezo upo Live TBC 1
  4. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC04 The Circular Safari: Reimagining Tanzania's Tourism Through Zero-Waste Adventures

    The Circular Safari: Reimagining Tanzania's Tourism Through Zero-Waste Adventures Imagine the thrill of a Serengeti safari: a pride of lions feasting on a recent kill, a majestic elephant silhouetted against the setting sun, and the breathtaking vastness of the savannah. Now, picture this...
  5. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Bila Rushwa: Safari ya Kujenga Taifa Bora

    Tanzania, kama nchi nyingine nyingi, imekumbwa na changamoto ya rushwa kwa muda mrefu. Hata hivyo, inawezekana kufuta kabisa tatizo hili kwa kutumia mikakati madhubuti. Mataifa mbalimbali, hasa barani Afrika na kwingineko, yameweza kupiga hatua kubwa katika kupambana na rushwa, na Tanzania...
  6. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo na safari ya kuifikia nchi ya ahadi

    Tanzania ni nchi inayopatikana ndani ya bara la Africa na ipo kwenye ukanda wa Afrika ya mashariki pia kusini mwa jangwa la sahara,ni nchi inayoundwa na nchi mbili ambazo ziliamua kuungana mnamo tarehe 26/04/1964. Muungano huu ulifanyika kwa Jamhuri ya watu wa Tanganyika na Jamhuri ya watu wa...
  7. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Mapenzi na Hekima: Safari ya Yohana Mayunga wa Musoma

    Jina langu ni Yohana Mayunga, mzaliwa wa Musoma, mkoa wa Mara. Katika maisha yangu, nimejifunza mengi kupitia methali, misemo, mafumbo, na nahau. Hizi ndizo nguzo zinazoniongoza katika safari yangu ya maisha. Nimepitia changamoto nyingi, lakini hekima za wahenga zimeniongoza na kunipa mwanga wa...
  8. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Safari ya Maanguko: Jinsi Betting Ilivyomfikisha Alex Kwenye Umasikini na Safari Yake ya Kuinuka Tena

    Hapo zamani za hivi karibuni, kulikuwa na kijana mmoja aitwaye John. John alikuwa na rafiki yake wa karibu sana aitwaye Alex. Alex alikuwa kijana mwerevu, mwenye kipaji, na mwenye ndoto kubwa za kufanikiwa maishani. Alipokuwa shuleni, Alex alikuwa akiota kuwa mfanyabiashara mkubwa na kupata...
  9. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Viongozi Waliokuwa Ndugu wa Giza: Safari za Damu na Machungu

    Ndugu wa Giza ni maneno yanayofaa kuwataja viongozi hawa, waliotumia mamlaka yao kama mapanga makali kukata haki na ustawi wa watu wao. Kila mmoja wao aligeuka kuwa kivuli cheusi kilicholeta maafa makubwa katika historia ya ulimwengu. Hawa ndio viongozi waliotumbukiza dunia katika jahanamu ya...
  10. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania P Square: Safari ya Mapacha kwenye Muziki, Migogoro na Maridhiano

    Katika ardhi ya Jos, jimbo la Plateau, Nigeria, tarehe 18 Novemba 1981, mapacha Peter na Paul Okoye walizaliwa. Kama nyota wawili wakongwe waliovutwa kwa nguvu ya ajabu, walionyesha vipaji vyao vya muziki na dansi tangu utoto wao. Wakiwa na ndoto kubwa kuliko anga, Peter na Paul walichochewa na...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kwako Mhe.Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT: Ikikupendeza shiriki katika ufunguzi wa safari ya SGR, Dar- Moro 14/06/2024.

    Kwako, Rais wa JMT Mhe.Samia Suluhu Hassan, Nimefarijika kusikia siku ya kesho reli ya SGR itaanza safari rasmi ya Dsm-Moro. Tangu awali tulisikia kelele nyingi juu ya mradi huu wengine walifikia hatua kusema ni 'White Elephant Project' kwa maana ni mradi usio na faida zozote na ambao hautaleta...
  12. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Urusi kuanzisha safari za moja kwa moja Moscow - Tanzania ✈️

    Russia imetangaza mwaka huu inaanza safari za moja kwa moja toka Moscow hadi Tanzania, Kuwait, Saudi Arabia, na Indonesia ✈️ This year Russian airlines will launch direct flights to Tanzania, Kuwait, Indonesia and Saudi Arabia - Ministry of Transport. --- In a move aimed at enhancing...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania TANZIA UPDATE: Makamu wa Rais wa Malawi afariki katika ajali ya Ndege

    Rais wa Malawi, Dk Lazarus Chakwera ametangaza kupatikana ndege ya Jeshi la Malawi iliyokuwa imembeba makamu wa Rais wa nchi hiyo, Saulos Klaus Chilima (51) ikiwa imepata ajali katika msitu wa Chikangawa. Ndege hiyo ilioondoka Lilongwe saa 3:17 asubuhi jana Juni 10, 2024 na ilipangwa kutua...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini kiongozi wetu mkuu hajawahi kukosa USD za kufanya safari za nje ya Nchi ilhali wafanyabiashara wanakosa USD kwenye MABENKI?

    Salaam, Shalom!! Kila Kona ya nchi yetu Kwa sasa, dollar imekuwa mtihani, hazipatikani hata Kwa tochi, Mfanyabiashara mwenye pesa za kitanzania, akienda benki kubadili Tshs Ili apewe USD Kwa ajili ya kuagiza bidhaa nje ya Nchi, anaambiwa dollar hamna. Analazimika kuzitafuta mtaani na kuzipata...
  15. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Safari ya kuifikia miundo ya mitaala na maendeleo kwa jamii endelevu ya Tanzania ili sayari yetu, watu wasasa na wajao, kwa leo hata keshokutwa

    Katika falsafa ya kibudha, lengo la elimu linafunganishwa kwa karibu na lengo pana la maisha ya mwanadamu, ambao ni kupatikana kwa mwanga au ukombozi kutoka katika mateso na kukomaa kiakili kitabia, na utashi wa kuitumia hekima kwa mtu binafsi. Kulingana na Ubudha, sababu kuu za mateso na...
  16. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Kivuko cha Uraibu: Safari ya John kuelekea Mabadiliko

    John alikuwa kijana mdogo mwenye ndoto nyingi. Lakini ndoto hizo zilifunikwa na kivuli cha uraibu wa madawa ya kulevya. Alikuwa amejikwaa kwenye dimbwi la matumizi ya madawa ya kulevya kwa miaka mingi, akijaribu kutafuta faraja katika ulimwengu uliopotoshwa. Siku zilipita, na kila siku...
  17. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Elimu ni safari

    Nilipokuwa mdogo wazazi wangu hawakuacha kunisisitiza nizingatie masomo kwani elimu ni ufunguo wa maisha. Wazazi waliamini wakitupeleka shule nzuri na kutupatia elimu bora basi maisha yetu yatakuwa ya kujitosheleza kuliko yao. Kipindi cha likizo wakati wanafunzi wengine wakiwa nyumbani sisi...
  18. B

    JamiiForums Tanzania #TSCLIVE: Safari Tanzania, Wildscreen Festival Tanzania

    06 June 2024 Matunda ya Tanzania Royal Tour kuwashirikisha wananchi ili kuleta mguso chanya kwa waishio karibu na maliasili hizo pia wadau wa sekta ya utalii #TSCLIVE: SAFARI TANZANIA, WILDSCREEN FESTIVAL TANZANIA https://m.youtube.com/watch?v=AyZUZjtIPxg
  19. itakiamo

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI safari hii sijui wamezingatia nini

    Selection za mwaka huu sijui wamezingatia nini, unakuta mtoto alijichagulia masomo yake ya Arts mara anapelekwa Science, na aliyechagua masomo ya science. Mdogo wangu hana raha hapa alichagua masomo ya Arts ila amepelekwa PGM Songea Boys. Mods please msiunganishe Uzi wangu 😭 , huu Uzi unajitegemea
  20. Termux

    JamiiForums Tanzania SoC04 Safari Ya Mabadiliko Katika Sekta ya Elimu na tekinolojia

    Ili Tanzania ipige hatua kubwa katika sekta ya elimu na teknolojia ndani ya miaka kumi ijayo kuanzia sasa 2024 mpaka 2034, yafuatayo yanapaswa kufanyika: 1. Kuwekeza katika Miundombinu ya Teknolojia - Kujenga na kuboresha miundombinu ya intaneti mashuleni na vyuoni. - Kuweka vituo vya...
Back
Top Bottom