Je, hizi sauti za Sabaya kwenye hii video ni za kweli au ni za kutengeneza?

Haya ni mazungumzo ya simu baina ya anaedaiwa kuwa ni Godbless Lema na Ole Sabaya, Je, hizi sauti ni authentic?


Hapa Lema alikuwa anamrekodi Sabaya spate attention na amefanikiwa

Nimependa maneno ya Sabaya "Lema we muhuni na Mimi pia muhuni"

Kumbe Lema ni muhuni tu ila kamuotea muhuni mwenyewe, ila pia najiuliza kwanini Lema kawahusisha wachaga kwenye mazungumzo yake,

Ni mpango uliosukwa??
 
Haya ni mazungumzo ya simu baina ya anaedaiwa kuwa ni Godbless Lema na Ole Sabaya, Je, hizi sauti ni authentic?


Hiyo clip ni ya ukweli ilishazunguka sana mitandaoni enzi sukuma og akiwa hai. Na hii clip ni moja ya kigezo kilichompandisha chati sabaya kwa marehemu sukuma og kwamba sabaya ni loyal kwake piga ua.
 
Akosaye husamehewa
Utavuna ulichopanda mkuu .
Hata Kwenye dini ,tunatakiwa tutende mambo mema, ukitenda mabaya hata Mungu akusamehi anakupeleka motoni.
Sabaya kitambo aliambiwa atubu aombe msamaha akakata akatamba yeye muhuni wa mjini mjanja Sana hashindwi kitu.
Juzi mahakamani kakutwa na hatia anaambiwa ajitetee jamaa lilivyo lipumbavu na lijinga eti linajitetea lina mchumba na limeshalipa mahari.
Yaani limeshindwa hata kujitetea vitu vya maana kwamba labda Nina wazazi ni wazee wananitegemea Mimi,
Lisabaya lilikuwa linajiona lijanja kumbe ni lifala la mwisho
Yaani kabisa Mahakamani unajitetea eti Una mchumba umeshalipa mahari jamaa ukweli kichwani nilikuwa tupu.
Magufuli ameharibu Sana utawala wa hii nchi mpuuzi yule kwa kuweka madarakani vichaa aina ya sabaya
 
Back
Top Bottom