Wakati Watu wengi wakiamini sababu kuu ya vita Ethiopia ni ukabila, Jambo hilo siyo kweli.
Sababu kuu ya vita ya Ethiopia ni maslahi mapana ya mabeberu. Hii ni baada ya kutishika na msimamo wa Ethiopia haswa katika utekelezwaji wa miradi ya maendeleo.
Je, ni vipi Ethiopia inatishia maslahi...