Mechi ya Simba vs Kagera imeahirishwa kwa sababu ya severe flu

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
19,586
14,137
Hii iwafikie popote mlipo hasa ambao hamjachanja 👇.

Source- The citizen.

Screenshot_20211220-171351.png
 
"Usiumwe ukipata ugojwa"

Hii sentence ngumu kuimeza hii,

ila niletee Gwajimaaa, niletee Gwajimaaa, niletee Gwajimaaa!!
Iko hivi, Kwa SASA tuna Chanjo ya TB, Basically, ukipima watu at randomly, utagundua wengi Wana TB, Ila Hawaumwi, Chanjo haikufanyi usipate Ugonjwa, rather in train your Immune System namna kumalizana na Virus ama Bacteria wa Ugonjwa Wakiingia Mwilini.
This is how vaccine works, kwa Lugha ya Ki Mtaani, Your Immune System ni Kama National Defense Force (Jeshi la Ulinzi la Taifa), Vaccination ni Kama training ya Askari wa Jeshi la nchi yako ya namna ya kum Contain adui fulani, kwa Contex ya Vaccination, Immunity Systm ni Askari wa Kinga ya Mwili, Chanjo ni Trainer wa Askari wako na Virus ama Bacteria ni Adui.
Sasa kuwa More specific, una m study adui (Virus), na kujua weak point yake ambayo ikiwa attacked anakufa, au anakuwa hana Madhara, hii ndio kazi ya Wataalamu, wakishajua, wama develop Chanjo,ambayo ni tarining to your imune System kuwa akija adui huyu (e.g corona virus), piga eneo la chini ya kiuno chake unakuwa umemalizana nae, Mwili ukielewa (Immune System ikielewa), in Future, Huyo virus akiingia Mwilini, Kinga ya Mwili tayari inakuwa inajua namna ya kumu attack huyo adui.
 
Nani kakufanganya wachezaji wa Simba hawajapewa jab...???

Umesahau hao wachezaji na wale wa Yanga ndio walikuwa moja ya Watanzania wa kwanza kupokea chanjo kuunga mkono juhudi...
Wangapi wapo isiiyuu, au wanahali mbaya, au ni hali ya kawaida tu.
 
Back
Top Bottom