sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, ni sababu gani ya Kisayansi hufanya maua ya alizeti kugeukia mashariki wakati wa kuchanua?

    Nimekuwa safarini tangu mwezi March katika mikoa mbalimbali, nilichokiona humo njiani ni alizeti kuchanua ziki face upande wa mashariki, nimeiona hii Singida, Dodoma, Iringa, Morogoro, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro. NB: Naomba michango yenye kuelimisha tafadhali.
  2. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu ya sisi Yanga kutojumuishwa African Super League ingawa tuna sifa ya kuwemo

    Hii dhambi waliyoifanya Simba itawatafuna, inafahamika kuwa Simba wametumia ujanja wa kuweka pandikizi la huyu mdada kule CAF ili aweze kucheza kazi zote chafu ikiwemo hii ya kuisagia kunguni Yanga SC ambayo ndio club inayofanya vizuri Africa Mashariki na kati kwa miaka hii ya sasa, Mwanadada...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wengi Duniani wamekuwa wakiishi zaidi ya miaka sabini; Tanzania ni kama vile viongozi wanaanza kuishi chini ya miaka sabini; Tumekosea wapi?

    Ukisoma vitabu vitakatifu utabaini viongozi wengi walibarikiwa vipawa, nguvu na maisha marefu. Utabaini viongozi wengi wanaombewa waishi sana; utabaini kwamba viongozi wengi walikuwa wana ulinzi wa Mungu naturally. Ulinzi huu usionekana ulikuwa unawasiaidia viongozi husika kuyaona maisha ya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Sababu Fainali za CAF Kuchezwa nyumbani na ugenini

    📝Watu wengi Sana wamekua wakijiuliza ni kwanini falinali za kilabu bingwa afrika na zile za shirikisho zinapigwa home and away mpaka Leo na wengine wakaenda mbali zaidi na kusema mfumo huoo ni wa hovyo sana Bora mechi iwe inapigwa moja tu kwenye neutral ground. 📝 Majib ya swali hili na lawama...
  5. JamiiForums Tanzania Unadhani ni sababu ipi kati ya zifuatazo inapelekea Umeme Kukatika Mkapa Stadium Mechi zikiendelea?

    1. Meneja wa Uwanja anatafutiwa sababu aondolewe na awekwe anayetakiwa na BMT Mpya 2. Ushirikina / Kutumia muda huo Kupuliza Dawa ( Sumu ) katika Vyumba vya Timu Pinzani ili iwalevye na wakirejea Uwanjani wawe Laini na Wachovu wapigwe Nyingi. 3. Ni hujuma ya kutaka Kuwachonganisha Mawaziri wa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Watu wa CAF wanaumia Simba ilivyotolewa kwenye mashindano kwa sababu hii

    Kama unafuatilia mtandaoni account za CAF champions league, tangia Simba imeanza kufanya vizuri mashindano ya kimataifa, ni kama CAF au wanaoendesha account za CAF wana ushabiki fulani kwa Simba na kama wanaumia hivi inapotolewa Siongei kishabiki, Hata Yanga nafikiri itakuwa hivyo hivyo...
  7. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kwanini Nchi hii hatutaendelea hata Miaka Milioni 1 ijayo

    Kuna mwanajeshi mhaya alisema yeye Kwenye Kozi hakupiga doso(mazoezi makali), baba yake alikuwa mstaafu wa jeshi, alitoa fungu mtoto wake akawa anadoji doso tu. Sasa najiuliza tu, Vita vikizuka mwanajeshi Kama huyo si atakuwa wa kwanza kufa? Chuo nilichosoma Mimi, Kuna mzee(Dean of students)...
  8. JamiiForums Tanzania Sababu za kwanini Simba ni bora kuliko Yanga

    Kuna sababu nyingi zinazoweza kufanya watu wengi kuamini kwamba Simba ni timu bora kuliko Yanga. Hata hivyo, ni muhimu kuzingatia kwamba michezo ni mchezo na matokeo yake yanaweza kutofautiana kutokana na mambo mengi, kama vile hali ya wachezaji. Hapa ni baadhi ya sababu ambazo zinaweza kufanya...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Yanga Watoa Sababu za Winga Mtukutu Morrison kutocheza Nigeria 🇳🇬

    Y YANGA imeeleza sababu ya winga wake Bernard Morrison 'BM33' kutotumika kwenye mchezo wa kwanza robo fainali Kombe la Shirikisho dhidi ya Rivers United uliopigwa kwenye Uwanja wa Godswill Akpabi nchini Nigeria. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Yanga kupitia kwa Kocha msaidizi Cedric Kaze...
  10. JamiiForums Tanzania Sababu gani zinafanya Taifa letu lisiwe na Uraia Pacha?

    Kwa wenye uelewa kuhusu uraia pacha naomba ufafanuzi kidogo. Maana Tanzania uraia pacha hatuna hii imekaaje, au ndo maana tunafeli kisoka? Maana baadhi ya nchi yenye uraia pacha kwenye soka zinatamba mfano Morroco.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kuna watu kwa sababu ya tamaa, wamezika taranta zao! Nape anakuwaje Waziri?

    Sauti yake, manjonjo yake na mwonekano wake, ni MC mashuhuli, eti leo ni waziri? Tanzania tuna tabu sana! Tegemeeni bando kupanda kila uchwao na mitandao kuwa chini zaidi Hatusemi kwa ubaya, ni ili tu, wao wajaribu kujitahidi saana kuendana na wakati, Tanzania sio sehemu ya kujaribishiana...
  12. T

    JamiiForums Tanzania CCM, nani mwenye sababu za kwa nini Watanzania ni masikini wakati nchi imezungukwa na Utajiri kila kona?

    Kwanza tukubaliane sote kwamba, kila mwenye kutokukidhi mahitaji yake binafsi na ya familia yake, na kwamba umasikini alionao umechangiwa kwa asilimia kubwa sana na viongozi wa chama cha CCM ambao hawana ubunifu wowote wa kuwatoa wananchi kwenye umasikini uliopo. Wanakosaje Ubunifu? Ni kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Sababu zipi zinapelekea wanawake wahehe na wabena kusifika kuwa wife material?

    Muhimu: Sifa ya kabila flani huwa haimaanishi ni watu wote bali ni umaarufu wa kuwa na wawakilishi wengi kiasi cha kusifika, hivyo haimaanishi kwamba wanawake wote wahehe / wabena ni wife material, Naomba tuelewane sifa hizi ni za kwenye maisha ya ndoa, huwezi fananisha uchumba wa sekondari /...
  14. JamiiForums Tanzania Uraia pacha huenda ndiyo sababu ya Sababu vita ya wenyewe kwa wenyewe Sudan

    Kila mmoja lazima ashangae kuzuka vita vya mara kwa mara nchini Sudan. Hii ni nchi ya kiislamu na ina wasomi wengi wa hali ya juu wa dini hiyo. Kumbe ina raia jumla 16000 wa Marekani wengi wao wakiwa ni raia pacha, yaani nusu ni wamarekani na nusu ni wasudan. Wakati vita vimepamba moto raia hao...
  15. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu ya mimi kutokuwa na huruma na Ndugu

    Baba yangu alifariki wakati nikiwa Mtoto mchanga hivyo nililelewa na Mama tu naye hakuwa na uwezo hivyo nilisomeshwa na wasamaria wema. Mtu pekee Aliyekuwa na uwezo wa kiuchumi ni dada aliyeolewa na yeye hakutaka mazoea kabisa. Kwa jinsi maisha yalivyokuwa magumu, nilipofika Chuo nikawa...
  16. JamiiForums Tanzania Sababu za Simba kushinda Jumamosi ni hizi hapa. Yanga acheni Polimi Lai!!

    Simba Jumamosi saa 10 jioni itacheza mchezo wake wa Nusu Fainali dhidi ya Wydad. Simba itashinda mechi hiyo kwa sababu zifuatazo. 1. Simba haina cha kupoteza kwenye mechi hiyo kwa ivo itacheza kwa kila njia bila ya kuwa na hofu ya kufungwa. 2. Simba haina tena shinikizo kwenye Ligi ya ndani...
  17. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua: Transfoma za Wanaume Mlima Kenya zimezima kwa sababu ya pombe

    Nyeri, Kenya Naibu Rais ameachilia kombora la utani kwa wanaume wa eneo la Kati, akidai wameshindwa na majukumu muhimu ya ndoa kwa sababu ya kutekwa na ulevi. Bw Gachagua alisema wanaume wa Mlima Kenya wamekuwa mateka wa pombe, hasa ile haramu. Alisema athari za pombe zimewalemea kiasi cha...
  18. JamiiForums Tanzania Sababu zinazopelekea wanawake wengi kutokupata wapenzi

    Hizi zinaweza kuwa sababu kuu, zinazowafanya wanawake wengi wasiwe na wapenzi wa kiume:- Kuwajibu wanaume wanao watongoza kwa lugha ya ukali Kuwadharau wanaume wanao watongoza kimuonekano na kumjibu kwa dhihaka Kuwadharau na kuwapuuza wanaume wenye kipato kidogo, wasiokuwa na mali kwa sasa...
  19. JamiiForums Tanzania Nape ataja sababu madeni ya TTCL

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ametaja sababu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kupata hati chafu mfululizo kuwa ni urithi wa matatizo ya hesabu za kifedha yaliyoanza wakiwa na mbia wao kabla Serikali haijarudishiwa umiliki wa shirika hilo. Nape...
  20. JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza kumjua mtu aliyejiua kwa sababu ya Mapenzi

    Hii tukio nimelikumbuka baada ya kutumiwa picha yangu ya zamani na mmoja wa watu tuliokuwa tukiishi mtaa mmoja. Nakumbuka nikiwa kidato cha tatu; asubuhi moja ya Februari 14, majira ya saa nne asubuhi, kilio kilisikika kutoka katika nyumba moja. Ilikuwa sauti ya kilio kikubwa kutoka kwa mama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…