Unai Emery
Member
- Nov 19, 2019
- 79
- 62
Hii dhambi waliyoifanya Simba itawatafuna, inafahamika kuwa Simba wametumia ujanja wa kuweka pandikizi la huyu mdada kule CAF ili aweze kucheza kazi zote chafu ikiwemo hii ya kuisagia kunguni Yanga SC ambayo ndio club inayofanya vizuri Africa Mashariki na kati kwa miaka hii ya sasa,
Mwanadada Barbara Gonzalez alijifanya kuacha kazi ya utendaji mkuu Simba SC ili kutupoteza maboya na wao kwenda kutusiribia kule CAF ili tusipate ushiriki wa Ligi hii kubwa na yenye thamani kuliko zote kwa ngazi ya vilabu hapa Afrika.Kwasasa huyu mdada ana nafasi kubwa kule CAF maana anaingia katika vikao vingi vya maamuzi
Kiasili msimu huu yanga nasi tulipaswa kuwemo kutokana na perfomance yetu katika michuano ya kimataifa na ya ndani........
TUSUBIRI AIBU ITAKAYOLETWA NA WENZETU MAKOLOKOCHO