sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais wa Argentina akataa kwenda kuangalia mechi ya fainali ya nchi yake na Spain sababu hakwenda kuangalia mechi za mwanzoni

    Rais wa Argentina, Javier Milei, amesema hatahudhuria fainali ya Kombe la Dunia itakayozikutanisha Argentina na Uhispania, akieleza kuwa uamuzi huo unatokana na imani yake. Akizungumza kuhusu mchezo huo unaosubiriwa kwa hamu na mamilioni ya mashabiki duniani, Milei amesema hataki kubadili...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba sababu kwanini niendelee kutumia mafuta zaidi ya 400K kila mwezi wakati ninaweza kubadili gari itumie gesi ya 60K hadi 100K kwa mwezi

    Tuchukulie mfano wa mtu anayesafiri km 30 hadi 35 kila siku ndani ya mji. Kwa mwezi (siku 30), atakuwa amesafiri takribani km 900. Petrol - 4000 kwa lita Gesi - 1545 kwa Kg Sasa tuangalie upande wa gesi. Kwa gari la CC 1900, mfano Nissan X-Trail, kwa mafuta inaweza kukulamba lita 1 kwa km...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Huenda "Kuumbwa kwa watu" ndio sababu halisi iliyomfanya shetani amuasi Mungu

    Ukisoma story ya ENKI na ENLIL unaweza kupata picha ya ninacho kisema hapa. Huenda hii Ikawa ndio sababu halisi kwanini shetani alimuhasi Mungu... Shetani hakupendezwa na mpango wa Mungu kumuumba binadamu na kuja kumtesa hapa duniani.. Ndio maana akaamua kuanzisha uasi huko mbinguni...
  4. JamiiForums Tanzania Nipe sababu moja ya wewe kutokunywa/kutumia pombe

    Mimi: Ladha inanishinda.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wasira: Serikali yetu ni halali kwa sababu imechaguliwa na wananchi

    Makamu Mwenyekiti wa CCM, Nephew Wasira akizungumza katika mahojiano na TBC leo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ukikosa msimamo utaona kama watu wanakupenda kumbe wanakutumikisha kwa sababu hujui kusema ' hapana "😔

    Tukome kupima upendo kwa idadi ya mambo tunayofanya kwa watu na tupime upendo kwa idadi ya watu wanaotuheshimu tunaposema "hapana". Ukikosa msimamo, utatumika mpaka uchoke ila ukiujenga msimamo utaheshimiwa hata na wale waliokuwa wanakutumia jana Kumbuka: Mlango usioweza kufungwa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nini sababu ya ofisi za umma kuweka kondomu kwenye korido?

    Wadau wa JF sina shida na nyie nina shida na hizi ofisi za umma kuweka condom dispensers kwenye korido. Hii imekaa sawa kweli wadau? Mimi naona haijakaa poa sana sana ni kuhalalisha ufusika maofsini tu. Kwa mtindo huu tutegemee kuongezeka kwa matukio ya rushwa ya ngono pia na kuchapiwa wake...
  8. JamiiForums Tanzania Mchange: Mnyika aliacha kugombea Ubungo mwaka 2015 kwasababu hakukubaliana na ujio wa Lowassa CHADEMA

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mwanaharakati wa kisiasa, Habibu Mchange, amedai kuwa aliyekuwa Mbunge wa Ubungo, John Mnyika, aliamua kutogombea tena nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kutokana na kutokubaliana na uamuzi wa CHADEMA kumpokea aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward...
  9. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete Apinga KATIBA Mpya, Apinga kuachiwa kwa Lissu , yote haya ni sababu ya 'Urais' aloandaliwa anaona unapepea peeeee

    Huyu Jamaa Sasa ndio kajionyesha yeye ni Mtu wa Aina gan. Tulidhani labda ni Matumizi tu mabaya ya Nafasi ya Baba yake... Huyu Mtu ana uchu wa Madaraka, Mtu aliyetayari kufanya lolote ili mradi Awe Rais.
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia usihangaike na maridhiano, hawa hawakutaki tu kwa sababu zao

    Walikukataa hata kabla hujawa Rais. Hawakutaka uapishwe kuwa Rais baada ya kifo cha Rais Magufuli, hawakutaka ugombee nafasi ya urais, hawakutata uchaguzi ufanyike. hata baada ya uchaguzi hawakutaka uapishwe na hata baada ya kuapishwa hawataki uongoze nchi na nchi isitawalike. Maridhiano nao...
  11. JamiiForums Tanzania Ni muda wa kujitafakari kwa kina kama taifa sababu dalili sio nzuri haiwezekani GenZ na Millenials wote wasiipende serikali iliopo madarakani

    Jana nilikuwepo pale Mlimani City kwenye usiku wa Bongo fleva, audience ilikua ni vijana wa zamani (millenials) kwa wingi. Na hao hao ndio waliozomea pale Mwana FA alipoingiza mambo ya serikali. Ukiingia mtandaoni na mitaani utakuta GenZ hawaikubali kabisa serikali. Je tunaelekea wapi kama...
  12. JamiiForums Tanzania Ipi imekuwa sababu ya ongezeko la ununuaji wa midoli ya maumbo ya ngono na buttplugs hapa Tanzania?

    Hivi ni baadhi ya vitu ambavyo hatukuwahi kutarajia Watanzania tutaingiamo ila kwa bahati mbaya tayari tumo. Wanawake wanatumia hadi buttplugs zenye vibrator (ice breaker), vibrator device vya kutekenya (uke) na midoli ya mfano wa uume mkubwa. Sasa najiuliza ni kwamba watu hawaridhiki kingono...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Profesa Elgidius Ichumbaki: Tanzania tumefika hapa tulipo kwa sababu tumekuwa wazito kutoa maoni

    Akizungumza wakati wa kufungua Jukwaa la Demokrasia Tanzania, leo Julai 09, 2026, Mwenyekiti wa Chama cha Wasomi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam-UDASA, Profesa Ichumbaki ameeleza kuwa mkwamo uliopo Tanzania ni kwa sababu ya watu kuacha kutoa maoni.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Je Haaland ni Albino? Mdau atoa sababu ya kitaalamu kwanini watu wengi wanadhani Haaland ana features za kiafrika ndani ya ngozi ya mzungu.

    Watu wengi wamekuwa na maoni kwamba Erling Haaland ana muonekano kama wa mwafrika. Sura ya Haaland ni features za kiafrika isipokuwa ngozi na nywele ndio vya mzungu. Wengi wanamfananisha na wa Afrika kutoka West Africa.. ( Rapper Fat Joe ni moja Kati ya watu ambao sio wa Afrika lakini wana...
  15. JamiiForums Tanzania Nimempa wife talaka kwa sababu kila akiongea anasema, "ushanifahamu ehh", sitaki mambo ya Jose Mara effect!

    Yaani Kila akiongea chochote utasikia anasema, "ushanifahamu ehh". Aende kwa huyo Jose Mara aliyemuiga. Nyambafu! 😎 Al-mukheef, adriz de mbusii.
  16. L

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio Sababu Wamiliki Wa Kampuni Hujikuta na Madeni ya Kodi

    Umeshawahi kujiuliza kwanini asilimia kubwa ya watu waliosajili Kampuni Hujikuta na madeni makubwa ya malimbikizo ya Kodi? Kwa takwimu zilizotolewa 51.58 ya wamiliki wote wa Kampuni Wana madeni makubwa yanayotokana na malimbikizo ya Kodi. Na hii inasababishwa na mambo mawili; 1. Kutoku file...
  17. M

    JamiiForums Tanzania 7/7 hakuna watu, Serikali imefanikiwa kuyaua maonesho kwa kutengeneza hofu isiyo na sababu, wafanyabiashara wanalia

    Serikali imefanikiwa kutengeneza hofu isiyo na sababu kwa kujaza maaskari kwenye maadhimisho ya 7/7 bila sababu ya msingi kwa kuwa maandamano yaliyopangwa hayakuwa yamesemwa kama yatakuwa ya barabarani au ya watu kulala ndani, huenda yalikua ya kulala ndio maana sehemu kubwa wamelala na kuua...
  18. JamiiForums Tanzania Christians, hii ndiyo sababu walikuja Afrika!

    pamoja na upotoshaji mwingi unaofanywa na communists na muslims khs sababu za ujio wa Christians barani Afrika, lkn sababu KUU ilikuwa ni ku-push back on islam conquest of the continent. ikumbukwe kwamba there's no way afrika ingebakia neutral hivyo ilikuwa ni aidha iende islamic yote kuanzia...
  19. JamiiForums Tanzania Navyozidi kuwa mtu mzima nagundua kuwa mapepo huwa yapo katika jamii duni, ukishafanikiwa utayaita afya ya akili

    UKishafanikiwa utayaita afya ya akili. Utamwaisha mtoto wako milembe mapema mnooo Ukifika kule utagundua afya ya akili ya mwananadamu ni uwanda mpana sanaa wakati huku mtaani afya ya akili inapimwa kwa kiwango cha kuokota makopo na kukimbia sokoni matako wazi.
  20. JamiiForums Tanzania Ni kweli kulikua na makosa ya kibinadamu kwa waamuzi LAKINI SIO SABABU YA KUKOSA UBINGWA

    Nimemsikiliza jana Crecentius Magori (Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba) alihojiwa na Azam baada ya mechi yao na Azam FC kuisha anasema kusingekua na makosa ya kibinadamu hata ligi ya NBC wangebeba. kwenye ligi ya NBC na kombe la shirikisho CRDB Tanzania bara kumekua na malalamiko kadha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…