sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Komwe (frontal bossing): Sababu ni zipi? Ni njia zipi za kuzuia ili mtoto asiwe na komwe?

    Kwa wenye uzoefu na malezi/uzazi... Kila mzazi hutamani shape nzuri ya kichwa kwa watoto wake. 1. Je, ni kweli kuwa 'UTOSI' kufunga mapema sana husababisha komwe (forehead kuwa kubwa)? 2. Je, ni kweli kuwa 'CHANGO LA MTOTO' husababisha komwe? 3. Ni njia zipi (kienyeji au kitaalamu)...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

    Ukweli lazima usemwe, kuna tatizo gani kutambua juhudi za hayati Magufuli kwenye mradi huu wa umeme (JNHP), hasa kwenye hotuba zenu? Wazo lilikuwa la Mwalimu Nyerere akashindwa, awamu zilizofuata kuanzia ya pili mpaka ya NNE, hawakuwa na habari na mradi huo, waliupa kisogo. Hayati Magufuli kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Hadi hapa Yanga ni Bingwa Msimu huu wa 2023/2024, Kwa Sababu Kuu hizi 2.

    Habari Mwana-Jukwaa La Sports. Nianze Kwa kusema Soka La Afrika linatofauti Kubwa sana Na Soka La Ulaya ambapo uwekezaji ni Mkubwa na Mchezo huu umepiga hatua kubwa sana. Ulaya kwenye Nchi zenye Ligi Kubwa na Maarfu kama Vile England,Spain,Italy,Ujerumani,Ufaransa,Ureno,Uholanzi na Mataifa...
  4. JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025 isiwe sababu ya Rais Samia kumtumia Hayati Magufuli kama chambo ili kuwavuta Watanganyika wasiomkubali

    Naona anataka kuwaaminisha watanzania kuwa na yeye pia ni Rais wa Wanyonge. Eti atakuwa anasikiliza wananchi mmoja mmoja kero zao. Mbona alipochukua urais wa kurithi hakufanya haya mapema? Akakumbatia kundi la wahuni? Alipoona hakubaliki akamteua Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu. Akaona...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Sababu plate number za 3D kupigwa marufuku

    Sijui ni nani alianzisha Plate Number za 3D lakini ukweli ni Kwamba Ubunifu huu Ulipokelewa vizuri mtaani kiasi Cha Wabunifu Kuanza kuneemeka utundu wao. Lakini Kabla Asali hiyo haijakolea mdomoni Utamu umeingia mdudu Serikali Kupitia Jeshi la Polisi wamepiga Marufuku matumizi ya Plate Number...
  6. X

    JamiiForums Tanzania Sababu 12 kwanini usimsamehe mwanamke msaliti…

    Ni mwanamume mjinga na mpumbavu tu ndiye anayemsamehe mwanamke msaliti. Tuangazie sababu 12 kwa nini usimsamehe huyo malaya msaliti. 1. Alitongozwa, akakubali, wakapanga siku, wakakutana, akamvulia chupi chuma kikapenya. Malaya wako akakudanganya siku hiyo labda kuna mahali alienda kumbe...
  7. JamiiForums Tanzania Akili za kibiashara kwa Watanzania ni za kutafuta, ndio sababu tuna Watanzania wachache matajiri

    Uchumi wa Tanzania kwa asilimia kubwa upo kwa wageni. Yes! Matajiri wengi waliopo Tanzania sio watanzania kwa asili, wengi wana asili za nchi nyingine. Hii ni kwasababu hatuna akili za biashara kabisa. Niliposoma gazeti hili la majira kuhusu sakata linaloendelea ndio nikaona shida zaidi. Agha...
  8. JamiiForums Tanzania Sababu 5 za kupungua kiwango cha mbegu za kiume!

    Kiwango cha mbegu za uzazi za kiume wakati wa tendo la ndoa la kujamiiana kimeshuka kwa 51% katika kipindi cha karibu miaka 50 iliyopita. 1. Uzito mkubwa wa mwili. Mtu mwenye kitambi na uzito mkubwa huwa na mafuta zaidi kati uume, korodani na mirija ya mbegu na kuadhiri utengenezaji wa mbegu...
  9. JamiiForums Tanzania Vikoba imekua sababu kubwa iliyowaingiza akina dada kwenye biashara ya kuuza mwili

    Hi guys… VIKOBA NI NINI? ni mfumo wa kuweka na kukopa kwa wanachama waliojiunga kwa pamoja na kuunda kikundi kwa malengo ya kujikwamua kiuchumi. Ni na ni sahihi ya kua vikundi hivi vimekua na matokeo chanya kijamii, na familia kiujumla Ila kwa bahati mbaya kwa mkosaji wa kipato kwa muhusika...
  10. JamiiForums Tanzania Suala la mzee Mwinyi kuzikiwa Zanzibar wala lisifanywe la kisiasa, pitieni hapa msome muelewe sababu

    Watanzania tupeane pole kwa msiba huu mzito katika taifa letu. Kuna watu wanashangazwa na hili swala la kuamua kuhamisishia msiba wa mzee Mwinyi Zanzibar, wakidai kuwa mzee huyo alikuwa asha usia kuwa akifariki akazikiwe kwao Mkuranga walipozikiwa na kulazwa wazazi wake na babu zake. Wengi...
  11. JamiiForums Tanzania Wachezaji wa nje wanafeli kwa sababu hawajui uzito na historia ya vilabu wanavyokuja kuchezea

    Kwa historia za vilabu vya Simba na Yanga, ni rahisi sana kuchukua mchezaji kutoa pembe yoyote ya Tanzania na atakuwa anajua moja kwa moja uzito wa nafasi aliyopewa. Hii ni tofauti kwa wachezaji wa nje. Mchezaji wa nje anaweza kuwa ameisikia sikia timu fulani ikisumbua sumbua ila ule uzito wa...
  12. JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelitangazia taifa msiba wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi leo Februari 29, 2024. Rais amesema "Ndugu wananchi, kwa majonzi makubwa nasikitika kutangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Story za Mayele kuteseka Pyramids FC. Sababu ni hii

    alot of financial drama.
  14. JamiiForums Tanzania Mitume hawakuvaa kanzu au kufuga ndevu kwa sababu ya Uislamu

    Back in history, many years ago... Kulikuwa hakuna teknolojia, hivyo wengi walikuwa hawanyoi ndevu... Muislamu kusema kufuga ndevu ni culture ya uislamu, sio kweli... Maana nimekuta Sheikh anasema, watu wote kwenye biblia ni waislamu, mpaka yesu... Na ndio maana hata kwenye Movie za Yesu...
  15. D

    JamiiForums Tanzania UBUYU: Sababu ya ugomvi wa kocha wa CB Belouzidad na mchezaji wake. Hii ni skendo kubwa kwa mpira wa Algeria

    short story : kocha alimpiga Na chupa ya maji mchezaji. for more details here
  16. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu asema Tanzania inakopa kwa sababu inaweza kulipa

    Serikali imesema nchi inaendelea kukopa fedha kwa ajili ya utekelezaji miradi ya kimkakati kwa sababu ina uwezo wa kulipa. Kauli hiyo imetolewa leo Ijumaa Februari 23, 2024 na Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba, akisema kadri nchi inavyokuwa tajiri ndivyo viwango vyake vya madeni huwa vikubwa...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Enyi marafiki wa mitandaoni, huwa hatuwakwepi wala haturingi, hizi ni sababu zinazopelekea kukataa kuonana na kuwa marafiki wa kujuana zaidi

    1. Background za maisha tofauti - mtu unakuta ni tajiri ama anajiweza kiuchumi, ni maarufu, katokea familia ya wazito, nk. anakwepa machawa na wapambe wasio na urafiki naye bali unafki, mtu huyo anaona heri mjuane mitandaoni kuepuka kero hii, lakini pia kuna wivu na chuki ya maendeleo inaweza...
  18. JamiiForums Tanzania Kipindi cha Covid-19 ilipunguza magonjwa ya milipuko kama kipindupindu, red-eyes na typhoid sababu ya kila sehemu kulikuwa na ndoo za kunawa mikono

    Ugonjwa wa covid19 ulipoingia tulijaribu kuweka mbinu nyingi kila mtu kujua atajisaidia vipi ili kujiokoa na gonjwa ili sitosahau mpaka malimau yakapanda bei. Serikali ikaweka mpango maalumu wa kila sehemu kuhakikisha kuna ndo ya maji safi na kila sehemu utakapo kwenda kunawa mikono kabla ya...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA Mbeya: Lissu asema hatujamkimbia Makonda kwenye Mdahalo, ni jambazi anatakiwa kuwa gerezani

    Maandamano ya CHADEMA yanaendelea Mbeya sasa hivi https://www.youtube.com/watch?v=IBSOyiuU4Nk Tundu Lissu: - Tutaandamana mpaka tutakapopata Katiba mpya, mfumo mpya wa uchaguzi, mpaka tutakapowaondoa madarakani hawa wanaotunyonya. - Hatuandamani kwa sababu tunataka kujifurahisha, au kufanya...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa dola nchini: Je, haiwezekani sababu ni kupungua kwa fedha za wafadhili kama sio matumizi ya dola katika kulipa madeni ya nje ya nchi?

    Japo mimi sio mtaalamu wa mambo ya kifedha, lakini napata wasiwasi kuwa sababu ya upungufu wa dola hapa nchini inaweza kusababishwa na ama kupungua kwa fedha za wahisani kama sio matumizi ya dola katika kuhudumia deni la taifa sababu ambazo zinaweza kuwa ni ngumu kuziweka hadharani iwapo kweli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…