rwanda

Rwanda ( (listen); Kinyarwanda: u Rwanda [u.ɾɡwaː.nda] (listen)), officially the Republic of Rwanda (Kinyarwanda: Repubulika y'u Rwanda; Swahili: Jamhuri ya Rwanda; French: République du Rwanda), is a country in Central Africa and one of the smallest countries on the African mainland. Located a few degrees south of the Equator, Rwanda is bordered by Uganda, Tanzania, Burundi, and the Democratic Republic of the Congo. Rwanda is in the African Great Lakes region and is highly elevated; its geography is dominated by mountains in the west and savanna to the east, with numerous lakes throughout the country. The climate is temperate to subtropical, with two rainy seasons and two dry seasons each year.
The population is young and predominantly rural, with a density among the highest in Africa. Rwandans are drawn from just one cultural and linguistic group, the Banyarwanda, although within this group there are three subgroups: the Hutu, Tutsi and Twa. The Twa are a forest-dwelling pygmy people and are often considered descendants of Rwanda's earliest inhabitants. Scholars disagree on the origins of and differences between the Hutu and Tutsi; some believe differences are derived from former social castes within a single people, while others believe the Hutu and Tutsi arrived in the country separately, and from different locations. Christianity is the largest religion in the country; the principal language is Kinyarwanda, spoken by most Rwandans, with English and French serving as additional official languages. The sovereign state of Rwanda has a presidential system of government. The president is Paul Kagame of the Rwandan Patriotic Front (RPF), who has served continously since 2000. Today, Rwanda has low levels of corruption compared with neighbouring countries, although human rights organisations report suppression of opposition groups, intimidation and restrictions on freedom of speech. The country has been governed by a strict administrative hierarchy since precolonial times; there are five provinces delineated by borders drawn in 2006. Rwanda is one of only two countries in the world with a female majority in the national parliament, the other country being Bolivia.
Hunter-gatherers settled the territory in the stone and iron ages followed later by Bantu peoples. The population coalesced first into clans and then into kingdoms. The Kingdom of Rwanda dominated from the mid-eighteenth century, with the Tutsi kings conquering others militarily, centralising power and later enacting anti-Hutu policies. Germany colonised Rwanda in 1884 as part of German East Africa, followed by Belgium, which invaded in 1916 during World War I. Both European nations ruled through the kings and perpetuated a pro-Tutsi policy. The Hutu population revolted in 1959. They massacred numerous Tutsi and ultimately established an independent, Hutu-dominated republic in 1962. A 1973 military coup saw a change of leadership, but the pro-Hutu policy remained. The Tutsi-led Rwandan Patriotic Front launched a civil war in 1990. The presidents of Rwanda and Burundi, both Hutus, were killed when their aircraft was shot down on 6 April 1994. Social tensions erupted in the 1994 genocide that followed, in which Hutu extremists killed an estimated 500,000-1,000,000 Tutsi and moderate Hutu. The RPF ended the genocide with a military victory.
Rwanda's developing economy suffered heavily in wake of the 1994 genocide, but has since strengthened. The economy is based mostly on subsistence agriculture. Coffee and tea are the major cash crops for export. Tourism is a fast-growing sector and is now the country's leading foreign exchange earner. Rwanda is one of only two countries in which mountain gorillas can be visited safely, and visitors pay high prices for gorilla tracking permits. Music and dance are an integral part of Rwandan culture, particularly drums and the highly choreographed intore dance. Traditional arts and crafts are produced throughout the country, including imigongo, a unique cow dung art.
Rwanda has been governed as a unitary presidential system with a bicameral parliament ruled by Rwandan Patriotic Front since 1994. The country is member of the African Union, the United Nations, the Commonwealth of Nations, COMESA, OIF and the East African Community.

View More On Wikipedia.org
  1. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Israel bila Marekani na sawa na M23 bila Rwanda

    Niaje waungwana Ukiangalia vita anazopigana Muisrael pale Mashariki ya kati, utakubaliana na mimi kwamba anazopigana zina mkono mkubwa wa Marekani. Kuanzia silaha, bajeti ya jeshi, madawa ya kutibu majeruhi wa kivita, vyote vinatoka vinatoka Marekani. Inawezekana hata hao wanajeshi wanaopigana...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania UPDATE yangu kuhusu Tetesi za Rais wa Rwanda Paul Kagame kuugua na kufa huko Munich Germany

    Nimefanya mawasiliano na Waandamizi kadhaa wa Rwanda (naomba nisiseme wa eneo gani na ni akina nani) na wamenihakikishia kiukweli kabisa kuwa Rais wa Rwanda Paul Kagame haumwi na hajafa na kusema kuwa wanaoaambaza Taarifa hizi za Kipropaganda ni Wakongomani kupitia Rais wa Congo DR Tshisekedi na...
  3. R

    JamiiForums Tanzania DRC Congo na Rwanda yakubaliana kuanza hatua za kuandaa mkataba wa makubaliano ya amani

    Tarehe 18 Juni 2025, timu za wataalamu kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Jamhuri ya Rwanda ziliweka saini ya awali kwenye maandiko ya Mkataba wa Amani, tukio lililoshuhudiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia masuala ya kisiasa, Allison Hooker. Hatua hii...
  4. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania JTC yatembelea mto Kagera ambao ni sehemu ya mpaka wa Tanzania na Rwanda

    NGARA Leo tarehe 10 Juni 2025 Kamati ya Pamoja ya Wataalamu ya Uimarishaji Mpaka wa Tanzania na Rwanda (JTC) imetembelea eneo la mto Kagera lililopo wilayani Ngara mkoa wa Kagera ikiwa ni sehemu ya mpaka wa kimataifa. Eneo hilo la mto Kagera lililotembelewa ni sehemu ya mpaka wa kimataifa...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ushaidi ambao RWANDA ni muhusika wa M23

    Raisi kagame japo kukana sana kutokuhusika na kundi la M23.Sasa ushahidi ni huu hapa https://www.youtube.com/watch?v=-do8Y7Gw7NM
  6. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Rwanda Kujitoa ECCAS

    Rwanda quits Central African bloc in dispute with Congo Rwanda has said it would withdraw from the Economic Community of Central African States (ECCAS), underscoring diplomatic tensions in the region over an offensive this year by Rwanda-backed M23 rebels in eastern Congo. Kigali had expected...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hutajachelewa. Tuwaige jirani zetu Rwanda kuhusu utapeli kwenye dini

    Uwepo wa dini za kitapeli haswa vikundi vya wakristo vimepigwa marafuku haswa vile vinavyodanganya wazi wazi kama uwezo wa kufufua mfu baada ya kufariki. Ni muda muafaka kwa serikali kusimama kama serikali bila kuangalia sura ya mtu .
  8. bab-D

    JamiiForums Tanzania Nataka kujiendeleza University of Rwanda

    Wakuu, natamani kujiendeleza kimasomo, nimeona chuo Rwanda kimenifaa( UNIVERSITY OF RWANDA) Hasa kwa ada Ila kwa huko mda unaongezeka toka miaka mitatu huku kule ni minne, swali TCU watakikubali baada ya kurudi?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Tuyaseme kwa nia njema, kuepusha yaliyotokea Rwanda: Watu vifua vimejaa chuki na hasira za visasi, watawala mnaweza kufuta hasira hizo , bado muda upo

    Watu vifua vimejaa chuki na hasira za visasi. Watawala bado mna muda wa kuepusha genocide kama za Rwanda! Sikuona sababu ya kumuua/kumpoteza/kumficha and the like Mdude na wenzake wengi ambao hatujui kama bado wako hai!
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania CCM wakilifisadi taifa kujinufaisha binafsi, Rwanda wazialika Taasisi za UN kuhamishia Ofisi zake nchini mwao

    Wakati Viongozi wa CCM na Serikali wakilifisadi Taifa kwa kiwango cha kutisha huku Wananchi wa Tanzania wakizidi kuwa masikini kila siku na vijana wa Tanzania wasio na ajira wakizidi kuongezeka, jirani Rwanda anazidi kuonesha ni kwa namna gani sasa ana akili kuliko wana Afrika Mashariki wote...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Silaha cha Rwanda. Wapo mbali sana hawa jamaa

    Rais Paul Kagame akitembelea kituo cha Shirika la Uhandisi na Uzalishaji la Rwanda (REMCO) wakati wa maonyesho katika Kongamano la Kimataifa la Usalama la Afrika (ISCA), lililoanza Jumatatu, Mei 19 mjini Kigali. Rwanda yaanza kuonyesha silaha zilizotengenezwa na kampuni ya ndani ya REMCO katika...
  12. Scared

    JamiiForums Tanzania Serikali usiingilie mpira mechi itapelekwa Rwanda

    Naona watu wasiowajua CAF vizuri inawaambia serikali ifanye udanganyifu Ili mechi isichezwe New Amani Nasema kama mnataka kujichanganya mkacheze mechi Kwa Kagame iambieni serikali itie ngumu hapo ki uhlisia jamaa wanajua chore kinachoendelea bongo
  13. U

    JamiiForums Tanzania Nimeangalia Ramani ya Afrika mashariki, Burundi na Rwanda ni ndugu zetu kabisa

    Nilikuwa naangalia Ramani ya Africa mashariki. Nikaangalia kwa makini Ramani ya Tanzania, unyoofu wake na kulinganisha unyoofu huo na Nchi zote zinazotunguka.Ni wazi Rwanda na Burundi ni Ndugu Zetu Kabisa. Sijui ilikuwaje Mwalimu akawafata Wanzanzibari na kuwaacha hawa ndugu zetu. Hawa...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais wa Burkina Faso akithubutu tu kufanya Ziara nchi moja ya Kipuuzi Afrika Nitamdharau mazima, ila akienda Rwanda na Uganda nitampongeza sana

    Ataendaje katika hiyo nchi ambayo kwa sasa ina Wapumbavu, Wezi, Washamba, Washirikina na Wauwaji ni wengi sana?
  15. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Rwanda kupokea wahamiaji kutoka Marekani (kwa Trump) si tishio kwa usalama wa Afrika Mashariki?

    Serikali ya Rwanda imetangaza kwamba iko katika mazungumzo ya awali na serikali ya Rais Donald Trump kuhusu kuwapeleka nchini Rwanda wahalifu waliokamilisha adhabu zao magerezani nchini Marekani. Kauli hii imezua maoni mseto nchini Rwanda na hata kwa africa mashariki watu wenye historia ya...
  16. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Rwanda kuidhamini Athletico Madrid, Tanzania tuamke

    Hawa jamaa wamedhamiria kukuza utalii kweli kweli. Miaka michache ijayo huenda ikaongoza kuwa na wageni wengi kuliko nchi zenye raslimali nyingi za utalii. Sector ya utalii Tanzania nimuhimu tuamke, angalau tuwekeze makatika matangazo ya kidigitali yani kila mtu atakayetaka kupata taarifa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kenya isilinganishwe na Tanzania, Rais anaweza kuuawa kama Panya? Uganda na Rwanda ni nchi za kujifunzia. Kenya ilikuwa ya Moi

    Kuna wapumbavu wanalinganisha great nation na Kenya, ni aibu. Watanzania jifunzeni kdg, historia ya nchi yetu tofauti kabisa na Kenya. Sisi msimamo wetu kuiokoa Afrika wakati wakenya walikuwa wanainjoy mali za waingereza. Two different things. Nchi yetu ardhi ni mali ya serikali. Km wakenya...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Rwanda ni tafsiri halisi ya vile reli ilivyo ndogo ila inaweza kubeba matreni, uwezo wao katika medani za kivita unakuwa kwa kasi, sio wa kuwabeza.

    Hawa jamaa wanazidi kujijenga kijeshi kwa speed ya radi, uwezo wao wa sasa sio wa miaka 10 au 20 iliyopita, wame transform mambo mengi, Jeshi la Rwanda limewezesha kuondoka kwa wanajeshi wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) kutoka eneo la mashariki mwa DRC, kwa kuwasindikiza...
  19. Mr Putin

    JamiiForums Tanzania Rwanda na Atletico Madrid

    Hii Kinshasa wakiona sijui itakuwaje👇🤣
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Kisiasa kati ya DRC na Rwanda kwa ajili ya Amani, Utulivu na Maendeleo ya Kiuchumi Mashariki mwa DRC

    Kati ya Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Serikali ya Jamhuri ya Rwanda (Washiriki), kwa kuunga mkono njia ya kuelekea amani, utulivu, na maendeleo ya pamoja ya kiuchumi katika eneo la mashariki mwa DRC, na kurejesha uhusiano wa kawaida wa kidiplomasia kati ya Washiriki. UHURU WA...
Back
Top Bottom