Kiwanda cha Silaha cha Rwanda. Wapo mbali sana hawa jamaa

Kiwanda cha Silaha cha Rwanda. Wapo mbali sana hawa jamaa

Diego Santana

Senior Member
Joined
May 10, 2025
Posts
147
Reaction score
214
Rais Paul Kagame akitembelea kituo cha Shirika la Uhandisi na Uzalishaji la Rwanda (REMCO) wakati wa maonyesho katika Kongamano la Kimataifa la Usalama la Afrika (ISCA), lililoanza Jumatatu, Mei 19 mjini Kigali.

Rwanda yaanza kuonyesha silaha zilizotengenezwa na kampuni ya ndani ya REMCO katika hatua ya kujenga sekta ya ulinzi ya nchi hiyo.

Screenshot_20250520-170231_1.jpg
 
Back
Top Bottom